Kwanini Paschal Mayalla amekuwa mnafiki?

Alexism

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2011
Posts
3,423
Reaction score
2,046
Wanabodi,kama kuna mtu ambae hapo siku za nyuma hasa awamu ya nne alionekana kuwa mahili wa kuhoji Serikali na kuisahihisha ni pamoja na Bwn.Paschal Mayalla. Watu wengi waliweza kumfuatilia na kujifunza mengi hasa kwenye vipindi vya runinga chini ya PPRA nk.

Lakini pia wakati wa mwanzoni Paschal Mayalla aliweza kuhoji mambo mazito ila kwasasa amekuwa mtu wa kuandika propaganda za kinafiki,fitna na kutumia nguvu kusherekea

Imefika muda mpaka Paschal Mayalla amekuwa muabudu mtu nasio MUNGU. Paschal Mayalla amezikana akili zake na kuanza kuandika vitu vya ajabu sana.

Amewawahi kuandika kuwa Kabila la Wasukuma ndiyo wapewe nchi na nafasi za kazi kwasababu wasukuma (kabila lake) ni wachapakazi. Huu ni unafiki na ukabila wa khali ya juu,pia amekuwa akiandika mengi kuhusu Makinikia na juzi katoa taarifa kuwa tarehe 10.07.2019 ni mwisho wa ACACIA kitu ambacho ampaka leo ni ndoto hii imezimwa huu niunafika.

Sasa leo Paschal Mayalla anasema Tanzania haikuwahi kutawaliwa na kiongozi mwenye upendo.

Basi hii ikimanisha kuwa viongozi waliotangulia wote walikuwa roho mbaya.

Paschal ameamua kuwa mnafki kwenye awamu hii. POLE SANA WAZAZI
 
Kumtetea Msukuma mwenzake (ingawa JPM siyo msukuma per se)
 
Njaa imemzidia
 
a
ANATAKA uteuzi
 
Pascally ni njaa inamsumbua tu hakuna lugha rafiki unayoweza kuitumia kumuelezea Pascally
 
we kijana tumesoma shule may be hata kabla ya walimu wako hawajazaliwa, leo unatufundisha alama!
 
Shida Paskali anaonekana mnafki kwa namna unavyo muelewa wewe na sio namna ninavyo muelewa mimi

Tatizo ndio linaanzia hapo
Justice should not only be done but should manifestly be seen to be done... tunataka hilo lonekane, siyo mamo ya kumwelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…