DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,470
Kuna watu wamempigia chapuo huyu Pacome, mara sijui anastahili uMVP mara hivi, cha kushangaza huyu jamaa aliitwa timu ya taifa kwa mara ya kwanza katika mazingira ya kutatanisha akiwa majeruhi baada ya hapo kwishnehi, hatusikii tena hizo habari.
Ametoka katika msimu ambao mashabiki maandazi wamempigia kampeni ya UMVP ila taifa lake wala halimuwazii.
Wengine mapema sana tuliwahi kusema kuna viashiria vya matumizi ya madawa ya kusisimua misuli.
Ametoka katika msimu ambao mashabiki maandazi wamempigia kampeni ya UMVP ila taifa lake wala halimuwazii.
Wengine mapema sana tuliwahi kusema kuna viashiria vya matumizi ya madawa ya kusisimua misuli.