Kwanini Oman wamewatosa Wazanzibari?


100% unasema kweli!

Mwengine anakuja na maneno ambayo hata mwendawazimu hawezi kuyatamka! Eti wazanzibar wengi hawana kazi hivyo wanategemea ndugu zao walioko ulaya kuwaletea Michele, maharage na mambo mengine!!! Huku mchangiaji wa hoja hii akisahau kuwa katanguliza neno "NDUGU ZAO" sasa suala ni hili:- Kama asiponisaidia ndugu zangu wakati nina shida sasa ninani mwengine atakaenisaidia!?? Au anataka tuwe na udugu Wa Samaki kujuana ndani ya sufuria!!!???

Kumbuka Zanzibar haina raslimali kama ambazo watanganyika wanazo! Lakini hiyo raslimali chache zilizopo Zanzibar "karafuu, mwani na utalii" basi maisha ya mzanzibari yako afadhali kulinganisha na ya mtanganyika!! Tembelea vijiji vyote vya Zanzibar huwezi kumkuta mzanzibar anaishi kwenye nyumba ambayo ni full suti ya udongo a.k.a TEMBE.
 
.

wazanzibari njooni mumjibu huyu na haya maswali yake
 
Watanzania kutoka mikoa ya bara (upcountry) ni watu wenye dharau sana dhidi ya watu wa Zanzibar na hata Tanganyika wa mikoa ya Pwani. Wao ndio wanataka kujiona ndio wasomi na wasio maskini wakati majority ya watu wa huko wana umaskini wa kutisha na wala kuta za darasa hawazijui! Yaani wale wasomi wachache kutoka Kilimanjaro na Kagera na wachache zaidi kutoka Mbeya ndo basi tena wanataka kusema watu wa huko ni wasomi na hawana shida wakati tunaishi nao humu uswahilini na majority ya hata hao "waliosoma" wakiwa wanapata monthly pay ya sh. 600K... halafu bado wanakuja wapumbavu hapa na kujiona wao ni bora wakati wakirudi vijijini kwao wengine wanafikia kwenye nyumba zisizo hata na madirisha huku zingine zikiwa zimekandikwa na kinyesi cha ng'ombe!
 
.

wazanzibari njooni mumjibu huyu na haya maswali yake
Kama angekuwa anataka majibu ya hayo maswali angewasiliana moja kwa moja na Wizara na sio kuyaleta hapa coz' hata yeye akiulizwa maswali hayo hayo kwa upande wa bara hawezi kuwa na majibu! Maswali mengine ni ya kuendeleza ubishi usio na maana na hata ukimuuliza huyo si ajabu akawa Mluguru manake ndo wapenda ubishi hao!
 
.

wazanzibari njooni mumjibu huyu na haya maswali yake

Unataka ajibiwe mara ngapi au wewe umeshamuona jamaa ni kichwa hivyo masuali yake hayajibiki kirahisi!??

Wacha kumfikiria ni zaidi kumbe sivyo! Majibu alishapewa na ndio maana ukamuona yuko kimya! Na wewe Kama uayahitaji hayo majibu basi haya hapa yapitie kwa umakini mkubwa ili uelewe kila kitu.

Soma hapa:-


http://www.zanzibarassembly.go.tz/budget/2014/ministerial/HOTUBA-WIZARA-FEDHA-2014.pdf
 

Wazanzibari wanna sifa kubwa ya kuwa detailed kwenye kupanga hoja zao.

Lakini baada ya kuulizwa maswali mepesi wameshindwa kuja kujibu maswali ambayo wamepewa ruksa wayapeleke kwenye discussion forum ya wazanzibari ya mzalendo.net

Patiently waiting for data and info to my questions.
 

Hayo sio majibu ya maswali

Alichoweka ni link

Ninachotaka hapa ni majibu kisha chini aweke sources za hayo majibu yake
 
Hahahahahahahahahahahahaahahahaahahaaa......dah kweli mtu mweusi ni kiumbe cha hovyo kuliko viumbe vyote vilivyomo duniani..!!

Alaaaa....ila wale wamarekani weusi wakiitwa nigga tu tayar wamebaguliwa na hadi nyinyi kamavi huku munalalamika kuhusu racism...loh mtakufa na vijiba vya rohoo...uarabu unawaumaaa na badoo
 
Hayo sio majibu ya maswali

Alichoweka ni link

Ninachotaka hapa ni majibu kisha chini aweke sources za hayo majibu yake

Sasa hiyo link ina kitu gani!!!??

Ni link ambayo IMO hotuba nzima ya waziri Wa fedha wa Zanzibar huu ya bajeti ya 2014/2015, hivyo ifungue utapata majibu yako yote na utajua vyanzo vya mapato ya Zanzibar na nani anaisaidia Zanzibar kibajeti.

Kama hii huitaki sasa unataka tutowe ya kichwani ambayo sio ya kweli!? Wengine sio kawaida yetu kubuni mambo ya uongo.
 

Kashavaa jezi achana nae
 
Basically wazanzibari wa JF wameshindwa kujibu simple primary school questions.

Lakink tungeuliza maswali kuhusu maalim seif au qabus wangeleta mpaka DNA sequence zao.

Hawa ndio tegemeo la znz
 
Una majibu ya maswali sawa na hayo kwa upande wa bara? Mada kama hizi ni za kutumia human brain na sio kutaka data as if tunafanya dissertation data ambao hata wewe mwenyewe hauna kwa upande wa bara. Ukisikia mtu anaitwa msomi lakini hajaelimika basi ndo watu dizaini yenu! Nakurejeshea baadhi ya maswali wewe mwenyewe ututupatie majibu hapa jamvini with genuine data source link:

  • Tutajie 5 major infrastructure projects in Tanganyika
  • Kila project ina worth kiasi gani?
  • Nani katoa financing ya hizo projects?
  • Kati ya hizo zipo ziko financed na UK or German?

Toa kwanza majibu ya hayo maswali. Nawamba Wa-Zanzibar wafanye declaration kwamba hawana majibu ya huyu jamaa lakini badala yake nao wamtake huyu Msomi Mtanganyika mwenzangu atoe majibu ya maswali haya kwa upande wa Tanganyika. Na kwavile tunasema Zanzibar ni mnyonyaji, mheshimiwa nakuongezea swali la ziada:
  • Pato la Mtanganyika kwa sasa ni kiasi gani?
  • Na kama isingekuwa unyonyaji unaofanywa na Zanzibar, pato la Mtanganyika kwa mwaka lingekuwa kiasi gani?

Jibu kwanza hayo maswali ili tuthibitishe kwamba hata maswali uliyouliza ni relevant kwa mjadala huu.
 

Historia ya wazanzibari haijaanza baada ya kuja warabu wa Oman,historia ya zanzibar inasema kuwa wenyeji zanzibar waliwaita warabu wa Oman kuja kuwasaidia kupigana na Wareno..

Sijakufahamu nini umekusudia kwa kusema kuwa Waoman hawaja invest katika na infatructure na maendeleo mengine ya Zanzibar,Mwengereza na Mjarumani kaitawala kwa muda mrefui tu Tanganyika sasa kwanini hatuwaoni hatuwaoni waingereza na wajarumani kuja kutengeneza infastructure na maendeleo mengine hapo Tanganyika

Halafu unatakiwa ujue kuwa sultan wa Zanzibar alipopinduliwa hakukimbilia Oman bali alichukuliwa kama mkimbizi UK,kwanini hakukukimblia Oman,,,,, kwasababu alikuwa sio muomani alikuwa ni mzanzibari mwenye asili ya kiomani

Binafsi sioni vibaya kwa Mchaga kujinasibu kuwa kuwa yeye ni mchaga
 

Safi mkuu maana wakati mwengine suali hujibiwa na suali, hata YESU nae aliulizwa suali majibu yake yakawa ni suali.

Kapewa link yenye hotuba nzima ya waziri wa fedha Zanzibar ya 2014/2015 asome ili spate majibu ya suala lake lakini hataki! Bado tu anaendeleza ubishi wa watu wasiotahiriwa.
 

Mada sio kuhusu Tanganyika mada ni kuhusu znz.
 
Napita tu, maana nilipata wakati mzuri sana pale seed international airport oman
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…