Kwanini Oman wamewatosa Wazanzibari?

Sante umenena

Mkuu hawa watu wananchekesha sana, wengi wao ata Dar hawajafika kisha wanaizungumzia zenjy kama wanaijua. Bahari wakivuka wanashangaa. Nawaona wakija zenjy katika boti dah, wanaona kama wanakuja ulaya kumbe apo tu.
 

Tanzania nchi tajiri nje ya muungano? Hahahaa acha utani, zanzibar ilikuwa tajiri mpaka ikikopesha mataifa kabla ya muungano. Miji ya pwani yenyewe mmejengewa na zanzibar. Eti 96% mnatulisha. Kwa kipi? Vitu viko jirani tu apo ghali kuliko tunavoenda kuchukua india uko. Zenjy bila ya muungano itafika mbali sana, muhimu isiongizwa kutoka dodoma tu. Kujenga hamjui, nyie wenyewe mna njaa, walimu wenu mnashindwa kuwalipa mtaweza wapi kuhudumia smz serikali yenu?

Sawa sisi tunakaa katika migahawa lakini tunamazungumzo ya busara, nyie mnaokesha mabaa na kuziacha familia zenu vipi? :-D
 

Umenena vizuri sana! Hawa WATANGANYIKA urithi wao ni POMBE "bia ya safari lager na ya Kilimanjaro"
 
Mkuu hawa watu wananchekesha sana, wengi wao ata Dar hawajafika kisha wanaizungumzia zenjy kama wanaijua. Bahari wakivuka wanashangaa. Nawaona wakija zenjy katika boti dah, wanaona kama wanakuja ulaya kumbe apo tu.

Wakiona boti wanaona Ndio ndege, kama ulaya
 

Attachments

  • 1411239758258.jpg
    36.1 KB · Views: 113
  • 1411239780168.jpg
    10.1 KB · Views: 108
  • 1411239796558.jpg
    12.4 KB · Views: 105
  • 1411239816973.jpg
    9.7 KB · Views: 106
  • 1411239851009.jpg
    9 KB · Views: 99
  • 1411239867018.jpg
    9.4 KB · Views: 103
Ni znz ndiko nilikoona mwanaume anamtongoza mwanaume mwenzie. the way mwanaume anavyomtongoza mwanamke. Nilishangaa sana siku hiyo.

Labda alikuona umejichubua na kuweka wave sasa akajua ndio mmoja wapo umekuja kutafuta soko la kiua chako!?

Kumbukeni wazanzibar kwa 99% ni waislamu na dini yao ndio dini pekee ambayo moja ya makatazo yake ni hilo jambo na limeekewa amri na adhabu Kali sana na mungu wao sasa mzanzibar kwa uhalisia wake hilo jambo hata kuliwazia hawezi.

Jee mnajua kwa nini wazanzibar wengi wanauchukia muungano na hawautaki tena hata kuusikia???

Ni kwasababu kama hizo za kumiminika kwa wingi mashoga, machangudoa na majambazi!!

Wakati watanganyika walipokuwa wanaenda kwa passport ZNZ haya mambo yalikuwa hakuna kabisa na hata huu utitiri wa kila hatua kumi linaanzishwa kanisa hata kama halina waumini na badala yake wanasafirishwa kila J'mosi na J'pili kwa meli kutoka Tanganyika ili waende wakasali na kuyajaza jaza! Sasa wazanzibar wameshayachoka haya ndio maana wanataka nchi yao ili wawe na uwezo wa kudhibiti mambo Kama haya.
 
oman ni moja ya nchi maskini duniani labda ni hao wazanzibar wanaodhan kua kila mwarabu ni tajiri au kila nchi ya kiarabu ni tajiri, kuna nchi za kiarabu maskini sana kama hao oman na yemen!!!

Ndio maana pesa yao ni kama shilingi ya Tanzania, pumbafff
 
Swali la msingi liko pale pale

Kwa nini Serikali ya Oman haijawasaidia ZNZ hata kujenga infrastructure za maana?

Hivi Oman kwa mwaka inawapa ZNZ kiasi gani na wameinvest kiasi gani?

Leteni facts toka records za wizara ya fedha ya Zanzibar.
 
Wakristo wa Tanzania ni kichefuchefu. Saa nyingine wanaongea mambo mpaka unashangaa ni hawa kweli wanaodaiwa wamesoma sana? Hivi wanaohalalisha ushoga mpaka wanasimikwa Kuwa maaskofu ni akina nani?


uarabu ni uarabu na uislam ni uislaam , uarabu hauwezi kuwa uislaamu na uislaam hauwezi kuwa uarabu? sasa kuna mjinga mmoja hapa anachanganya uislaamu wake na uarabu mpaka anakera
 
swali la msingi liko pale pale

kwa nini serikali ya Oman haijawasaidia ZNZ hata kujenga infrastructure za maana ?

Hivi Oman kwa mwaka inawapa ZNZ kiasi gani na wameinvest kiasi gani?

Leteni facts toka records za wizara ya fedha ya znz

Ukweli ni kwamba oman imeshindwa kuisaidia zanzibar kifedha kutokana na mkono wa buyu Tanganyika lazima fedha zipite kwake katika bank kuu.
Hivyo fedha hizo kufika zanzibar ni asilimia 4.5 japokuwa fedha ni mradi wa zanzibar.

Kama mtakumbuka ile ishu ya fedha bilioni 200 kutoka emirate ambazo za ujenzi wa airport ya zanzibar, zilitakiwa kutiwa saini na waziri wa mambo ya nje zije zanzibar, membe alikataa na serikali ya muungano, na walitaka fedha hizo zingie bank kuu tanzania, zanzibar ilikataa hilo,kwani fedha ni za zanzibar, hivyo suala hilo liligonga ukuta.

Ndio ukaona wazanzibari wanataka mamlaka kamili, moja ya mambo ambayo yanarudisha nyuma ni hilo.
 
ndio maana pesa yao ni km shilingi ya tz,pumbafff

Kwa akili kama hizi wazungu watawaibia raslimali zenu sana huku CCM ikiendelea kuwaburudha wanavyotaka!!!

Hebu angalia hapa kipato chako wewe na cha muomani halafu utajua kuwa wewe ni ZUZU maana unalinganisha thamani ya maziwa na togwa.

http://www.nairaland.com/1309868/list-poorest-richest-country-world

https://www.gfmag.com/global-data/economic-data/the-poorest-countries-in-the-world
 
swali la msingi liko pale pale

kwa nini serikali ya Oman haijawasaidia ZNZ hata kujenga infrastructure za maana ?

Hivi Oman kwa mwaka inawapa ZNZ kiasi gani na wameinvest kiasi gani?

Leteni facts toka records za wizara ya fedha ya znz

Omani itaisaidia vipi ZNZ kwa lazima ikiwa ikiwa watanganyika ambao ndio wanaojifanya serikali ya muungano zimewajaa roho mbaya kwa Zanzibar.

Watanganyika hawapendi ZNZ Kama nchi kuendelea hivyo huzuia misaada yote inayokuja kwa jina la ZNZ au umesahau kadhia iliyomkuta Salmin Amour pale alipojiunga na OIC!??
 

Ww ulitaka mibaba yote ihudumie bar kufungulia wazungu bia na viroba ndio ungewaona wamaana?
 
Waznz ni watumwa. Watabakj kuwa watumwa na wanalilia utumwa. Utunwa wa akli,utumwa wa dini, utumwa wa ujinga.

Pamoja na watumwa hawa,Tanganyika haiwezi kuwaachia kwaajiii ya stability. Pia ua!!

Remember where you came from
 

Asili yako wap we au ndo kwa yesu Wtf
 

:thumbup::thumbup:
 
Mtoa made eleza vizur na umesoma io mnaita history..... Uthiariwe na utash wako speak ukwel ulizia watu wanao kaa znz wanakwambia and tatzo ni mfumo wa utawala
 


Issues mbili hapa unazungumzia

1. Msaada

2. Investments (FDI)

Siamini kuwa Wahisani hawapeleki misaada znz kwa sababu haifiki kwenye miradi husika ingekuwa hivyo USA, INDIA, CHINA, UK na znginezo wasinge kuwa wanapeleka misaada ya maendeleo znz Kama unazo fact based evidence kuwa Oman walitaka kujenga hospital ya 10MILLION USD na serikali ya Tanganyika ikakataa tulee tuone hapa

Kuhusu FOREIGN DIRECT INVESTMENTS (FDI) kwenda znz siamini kuwa serikali ya ZNZ inakatazwa kusign bilateral au multilateral agreements za investment projects na serikali ya OMAN kwa sababu Membe kawakataza

ingekuwa hivyo mbona wa CHINA wametoa finance ya airport znz na kazi inaendelea? sasa Oman wameshindwa vipi hilo?

tusipeane majibu mepesi

kama una document yoyote ya kuback up hija zako plse tuleteee
 

Labda hii itakusaidia kujua namna ya Omani inavyowekeza ZNZ na Tanzania kwa ujumla.

Pia utafahamu jinsi Zanzibar inavyofaidika na kuwapo na mahusiano ya damu na waomani.

Soma hapa chini ili hiyo kasumba mliyonayo iwapunguwe japo kidogo.

http://ikulublog.com/2012/10/tanzania-and-oman-signed-various-agreements-aimed-at-enhancing-political-and-economic-ties-between-the-two-countries/

http://www.tanzaniaembassyoman.com/pages/8


http://main.omanobserver.om/?p=91894

http://books.google.co.tz/books?id=9yCSamtUeiAC&pg=PA196&lpg=PA196&dq=oman+investment+in+zanzibar&source=bl&ots=MKdW-7Ozke&sig=WWR45H4MPWsbUmxgb9sEA1LYuC4&hl=en&sa=X&ei=c0weVMrILNfuaP_7gZAC&redir_esc=y
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…