Nyerere alimkataa lowassa kwa vile yeye na baba yake waliuza kijiji kizima na watu ndani huko umachame na baadaye kukimbilia ummasaini ambako walipata hifadhi na kulelewa na familia ya marehemu moringe sokoine. Jeje wajua lowassa ni mchagga wa machame? Jiulize ni kipi kilimfanya abadilishe kabila na kujiita mmasai?
Wamasai hawana tabia za ajabu zikiwemo uroho wa madaraka na wizi wa mali za umma.
Matusi na vitisho vyako havizuii maoni huru. Ubabe wako katika kuandika sentensi haupindishi ukweli. Hasira zako hadhiathiri chochote katika ninayoamini. Busara zako zilizotuama makalioni ndizo zilizokuelekeza undike matusi badala ya kupinga hoja kwa hoja zenye akili. Hujui, wala sikulazimishi uamini. Mimi ni mtu ninayeyakubali sana mazuri ya mwalimu, yake mengi kuliko mabaya. Lakini ni mtu wa pande mbili. Kama kuna ambacho alikuwa wrong kidogo hatuwezi kukaa kimya.
Tuseme sawa hujamsema vibaya.
Uliposema kwamba mwalimu alikua na chuki binafsi na EL hapo hukumsema vibaya. Hata uliposema alimtengenezea EL zengwe pia hukumsema vibaya na hata uliporopoka kwamba mwalimu alisema uongo napo ulimsema mwalimu vizuri tu.
Tumia akili yako vizuri mkuu siyo useme maneno kama mtu asiyeshirikisha ubongo.
EL nae atakua anapoteza hela zake kama ataajiri kilaza kama wewe usiyeweza kumtetea na kuishia kumkashifu Mwalimu Nyerere.
Pale alipokuwa anajiuzulu uwaziri mkuu alisemaje Vile?Bado hakuna hoja ya maana ya kumpinga Lowasa, wote mnasema kutokana na mazoea ya habari za kusimuliwa magengeni. Chuki haijengi.
Ninyi ndio mnaojidanganya. Watanzania wa leo sio mazuzu tena kama ilivyokuwa 2005, eti chaguo la Mungu. Tutawachambua na kuwajua kwa undani wenu kabla ya kupata tena kura zetu. Lowassa ni zero.Mtalia na kusaga meno! ukweli ni kwamba Lowassa ndiye rais ajaye
[/COLOR]Wengi hawana akili hizi mkuu!!! wakiamua kumtusi Nyerere watamtusi weeeeee, mpaka kesho
wako ambao wakiamua kumsifu...watamsifia weeee, mpaka uone mbingu inashuka, kwano Nyerere ni mtume zaidi ya tuwajuao!
kwangu mimi namsifia Nyerere panopibidi....tatizo mambo mengi naona aliharibu sisiti kusema....
Lowassa ata umsafishe vipi atabaki kuwa mwizi,acha kupoteza nguvu zako bure..
Kama unabisha tafuta mtoto wa darasa la kwanza njiani kisha muulize "ivi fisadi namba moja nchi hii ni nani?"..alafu utashangaa jinsi atakavokujibu vizuri.
Hapa Tanzania, inahitaji ujasiri wa mwendawazimu, kupambana na Nyerere! Kuwashawishi Watanzania kuyaamini maneno yako, badala ya maneno ya Nyerere, ni sawa na kufanya kazi ya kujaza maji kwenye gunia!
Kwa ninavyo fahamu mimi, chaguo la Nyerere kwenye urais 1995 lilikuwa ni Salim Ahmed.
Bahati mbaya, au nzuri Lyatonga fyatu akajitoa CCM na kurubuni umati lukuki.
Nyerere kuhofia mgawanyiko wa kidini, hasa ukichukulia kuwa rais aliyekuwa anamaliza kipindi, Mwinyi, ni Islam na huko nyuma aliwahi kulumbana na makanisa, Kifimbo akamlazimisha Ben kuchukua form.
lowasa ama watu wooote walio nyuma yake wana usafi gani....?uhalali gani...?umahili gani...? na umakini gani...?wa kulugusa jina la gwiji la siasa za karne yake, mwana halisi wa afrika,mwanafalsafa,mwana jamii na mzalendo halisi wa utu wa mtu, baba wa taifa mwalimu julius kambarage nyerere.....!!!!! wamefanya nini kuthibitiha aliwaandama na alikuwa na chuki...??. kosa mnalo fanya ni kulitumia jina la mwalimu vibaya kutafuta uharali wa kupanda kisiasa, jina hili katu halifungamani na wachafu,halicompromise na wachafu,mafisadi wazandiki,majizi,mafisani,wauwaji,makuhadi,matapeli,wahujumu uchumi,walevi wa madaraka,wenye uchu wa madaraka,wakandamizaji,wahuni,wazurumaji,wabinafsi...........
Nyerere alimkataa lowassa kwa vile yeye na baba yake waliuza kijiji kizima na watu ndani huko umachame na baadaye kukimbilia ummasaini ambako walipata hifadhi na kulelewa na familia ya marehemu moringe sokoine. Jeje wajua lowassa ni mchagga wa machame? Jiulize ni kipi kilimfanya abadilishe kabila na kujiita mmasai?
Wamasai hawana tabia za ajabu zikiwemo uroho wa madaraka na wizi wa mali za umma.
Wewe unastahili kunyongwa na wala siyo kubishana.Msalimie Ngoyai.
sawa basi tufanye tuna chuki naye.tumpendi,hatumtakiHivi kwanini mnaompinga Lowassa hamna hoja zaidi ya chuki tu?