Kwanini Nyerere hakumkubali Lowassa?

who is nyerere ,nani msafi ccm,nani wa kumzuia lowassa
 
-Kama hawezi kujibu suala la pesa zake alikozipata ataweza nini?

-Kama mkataba mmoja wa RICHMOND ataweza nini?

Uwezo wako wa kufikiri ndio umeishia hapo?kweli dhambi ya kutaka kutoa uhai ni mbaya na ndiyo hiyo inakutafuna laiti kama zito asingekua ameaga kwao maskini leo tungekuwa tunazungumza mengine.Katubu!!
 
-Kama hawezi kujibu suala la pesa zake alikozipata ataweza nini?

-Kama mkataba mmoja wa RICHMOND ataweza nini?

yahaya tatzo lako umetoka kufuwa zile chupi za joyce mukya,hujaona m dj analivyochakachuwa katiba,ngoja zitto anze kazi
 
URAIS WA NCHI HII 2015 NI KWA CDM tu , hizo sarakasi zao ni sawa na kupoteza muda tu .
 
Uwezo wako wa kufikiri ndio umeishia hapo?kweli dhambi ya kutaka kutoa uhai ni mbaya na ndiyo hiyo inakutafuna laiti kama zito asingekua ameaga kwao maskini leo tungekuwa tunazungumza mengine.Katubu!!

wewe MASIKINI kama huwezi ku deal na uzi ulioko mezani umekuja kufanya nini ?
 
Ni njaa tu ndo tatizo lako lakini inaonekana unajitambua kiasi flani.Watanzania wengi wanamuhitaji lowassa kwa wakati huu kuliko wakati wowote ule hilo linajulikana na kila mtu.
 
haya mambo yanawakati wake hakuna haja ya haraka tusubiri wakati ufike.
 
yahaya tatzo lako umetoka kufuwa zile chupi za joyce mukya,hujaona m dj analivyochakachuwa katiba,ngoja zitto anze kazi

UNADHANI huo UFUKARA ULIO NAO UNAWEZA KWISHA KWA MATUSI ?
 
Kuleni pesa zake haswa bt 2015 hakuna kitu
Trust Me Iven tho I'm nathiq
 
Tung'emsikiliza baba wa Taifa maudha udha tuyapatayo leo ya kidhaifu yasingekuwepo. Tukimpa Mamvi inchi walahi hii ichi itauzwa. Kuna ule msemo usemao, kikojozi hata ajikaze vipi ipo siku atakojoa tu.
 
LOWASSA kamwe hawezi kuwa rais wa nji hii.

Shetani anataka uraisi wa nchi? Mungu atuepushe na laana hii. Nchi haitakalika naapa. Tutapigana kwa nguvu zote ili manyang'au yasichukue nchi.
 
Shetani anataka uraisi wa nchi? Mungu atuepushe na laana hii. Nchi haitakalika naapa. Tutapigana kwa nguvu zote ili manyang'au yasichukue nchi.

shetan ni babu slaa aka babu gongo,kamwe hatutakubali nchi yetu iende mikononi mwa wazinz
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…