Msigazi Mkulu
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 4,186
- 3,421
Upo mbuga gani nataka niorganize trip ya wafanyakazi wenzangu ili na sisi tukafanye tour mahali kwa michango yetu. Sisi tupo biharamuloMnamatatizo mna google kupata habari ili hali mbuga mnazo na hamtaki kuja