Cholo_the_special
Member
- Oct 29, 2015
- 39
- 14
Haya picha hiyo wadau turirikeni
Ninakoishi mimi ambako ndiko nimekulia tangu utoto kuna maeneo yenye mito mikubwa hiyvo chatu ni wengi sana. Siku zote tangu utoto wangu nimekuwa nikisikia hata kushuhudia chatu amemeza mbwa, mbuzi, banadamu wachoma mkaa na wawindaji hasa wamasai lkn sijabahatika kusikia chatu kameza ng'ombe! Tena chatu wana akili sana utakua umeongozana na kundi kubwa la mifugo ukichunga wala hafanyi kitu watapita wote hata kumkanyaga lkn hatajigusa anakusubiria wewe wa mwisho ambaye ni mchungaji!!!Anammeza mkuu, ingia youtube uone hizo video. Chatu anammeza hata simba
Kwanini mfalme asiwe tembo ambaye wanyama wote humgwaya hata kumsogelea???Mimi nafikir mfalme wa mwitu ni chui au tiger au cheeter japo wanamuogopa simba lakini huwa hawasumbuliwi na wanyama wengine na wakinda na kukamata msosi wao hupeleka juu ya mti na kujilia vizur tofauti na simba akipata msosi wale fisi na mbwa mwitu huja kwa makundi na kumtishia simba na hatimae simba hukimbia
Sasa hiyo si ina apply kwa wanyama wote wa porini, mbona umemtaja simba tu au kuna wanyama wengine wanaoleteana msosi pindi wanapoumia? Hasa wale wanaokula nyamaSawa simba,mara huwa anatumia nguvu katika kupata chakula chake,lazima akimbize ndiyo apate lindo chakula chake,na miguu ndiyo nyenzo yake kubwa,hana wakumletea chakula,
Tembo mbona analiwa vizuri tu na simbaKwanini mfalme asiwe tembo ambaye wanyama wote humgwaya hata kumsogelea???
Hyu si ni nguruwe pori aiseeKitu hiko
Huo ndo utegemezi wa kiasili, kwa wanyama wengine kama fisi hawawezi kuwinda hivyo wanasubiria simba au chui akamate ale na kubakisha na wao wapate riziki yaoWanyama wengine huwa wanatabia ya kula vilivyobakishwa na wengine ila simba utaribu huo hana huwa anapenda nyama iliyofresh,sijajua kwa nini ila ndiyo alivyo
wakuu tujuzane hapa kwa nini nyati ana ubavu wa kupambana na simba na kumuua? inafahamika kuwa simba ni mfalme wa nyika na ana uwezo kufanya atakalo ndani ya mbuga, lakini nyati nae ni mbishi sana akikutana na simba lazima pachimbike? sasa kwa nini nyati ana uwezo wa kupambana na simba?
Mh! Wewe jamaa ya kweli haya??? Mimi huona wale tuwaitao wanyama wakali wakimuona tembo humpiga tu jicho na kuendelea na harakati zao, wala hata hawapotezi muda kuhangaika nae.Tembo mbona analiwa vizuri tu na simba
Huyo ni msosi mzuri wa chatu mkuu ingia youtube uone chatu anavyomkamua damu na kummezaKasigazi kweli huyo ni ngurue pori ila ni mnyama anaeinjoi sana maisha ya porini,ni mnyama ambae yuko very shap,na anafurahisha hasa wakati anakula ,huwaga anakula haraka haraka hana mda wa kupoteza
Nadhani ni fisi na mbwa koko wafugwao mitaani tunakoishi.Wanyama wengine huwa wanatabia ya kula vilivyobakishwa na wengine ila simba utaribu huo hana huwa anapenda nyama iliyofresh,sijajua kwa nini ila ndiyo alivyo
Duuh! Mi nafikiri labda chatu anamuogopa binadamu kumbe na yy anamezwaNinakoishi mimi ambako ndiko nimekulia tangu utoto kuna maeneo yenye mito mikubwa hiyvo chatu ni wengi sana. Siku zote tangu utoto wangu nimekuwa nikisikia hata kushuhudia chatu amemeza mbwa, mbuzi, banadamu wachoma mkaa na wawindaji hasa wamasai lkn sijabahatika kusikia chatu kameza ng'ombe! Tena chatu wana akili sana utakua umeongozana na kundi kubwa la mifugo ukichunga wala hafanyi kitu watapita wote hata kumkanyaga lkn hatajigusa anakusubiria wewe wa mwisho ambaye ni mchungaji!!!
Ah! Chatu amuogope binadamu???!!! Thubutu usije ukachezea shilingi jirani na tundu la toilet, faster tutasimama kuomboleza. Katika nyoka chatu anaaminika kuwa na uwezo mkubwa sana kiakili & kuhisi hivyo kuwa na uwezo mkubwa sana kuwinda. Kaa mbali na lile lidubwana.Duuh! Mi nafikiri labda chatu anamuogopa binadamu kumbe na yy anamezwa
Mimi binafsi ninaamini hivi.Hakuna mnyama anaedhubutu kumla tembo labda awe ameumia na hajiwezi