wakuu tujuzane hapa kwa nini nyati ana ubavu wa kupambana na simba na kumuua? inafahamika kuwa simba ni mfalme wa nyika na ana uwezo kufanya atakalo ndani ya mbuga, lakini nyati nae ni mbishi sana akikutana na simba lazima pachimbike? sasa kwa nini nyati ana uwezo wa kupambana na simba?