Kwanini Nyati ana nguvu za kuua Simba?

Kwanini Nyati ana nguvu za kuua Simba?

Naomba muelewe kuwa tembo ndio mnyama mkubwa wa aridhini duniani,
kwa hiyo ingelifaa kuwa tembo ndio mfalume wa pori, lkn sababu kubwa ya simba kuwa ni mfalme ni sauti yake ya kunguruma ambayo ina uwezo wa kusikika hadi umbali wa kilomita 20 na hamna mnyama mwingine yoyote mwenye sauti yenye uwezo wa kusafiri umbali huo
 
Wanyama wengine huwa wanatabia ya kula vilivyobakishwa na wengine ila simba utaribu huo hana huwa anapenda nyama iliyofresh,sijajua kwa nini ila ndiyo alivyo

Mkuu hapa napingana na wewe kidogo......
Simba nae huwa ni mla mzoga tu sometimes........labda uniambie duma......
 
Nimekwambia hata akila afya yake haiwi kama akitumia nyama fresh na si mlaji sana wa makombo
 
Mi mwenyewe nimeanza project ya kufaga NYATI home, badala ya mbwa, coz najua cku akitokea simba, mbwa atasepa, ila NYATI ataniokoa...
 
Nimekwambia hata akila afya yake haiwi kama akitumia nyama fresh na si mlaji sana wa makombo

Mkuu acha ubishi......simba....chui wote hao ni scavengers kama vultures na fisi......na wanaishi poa vile vile........
 
Achana na video njoo huku
 

Attachments

  • 1455456043180.jpg
    1455456043180.jpg
    72.9 KB · Views: 39
Mbogo ni Nyati aliyetengwa katika kundi. Na kuhusu Chatu kummeza binadamu kwa hapa Tanzania hakuna huyo chatu na kama yupo huyo Binadamu labda awe mahututi au mlevi, au mtoto,
 
Kwanini unaweza kushika cm kwa kutumia mikono
 
Back
Top Bottom