Kwanini Nyati ana nguvu za kuua Simba?

Kwanini Nyati ana nguvu za kuua Simba?

Kwenye sayansi ya viumbe kuna majina ya asili na yakisayansi,.
Hayo ya asili(indiginous) huwa yako mengi kulingana na makabila na mahali kiumbe anapatikana.ila yakisayansi huwa ni moja tu.
Nimejaribu kukumbuka classification ya biology sjui kama nimo ndani:-!
 
Kwanza fahamu kuwa nyati anapatikana kwnye kndi linaloitwa big five ambao ni tembo, kifaru, chui,simba na nyati mwenye, sifa ya hawa ni wanyama zimegawanyika lkn zingine zinafanana,
(1)kwanza ni wakubwa (2)wakali (3) wanajua kujilinda wenyewe (4) wanyama wenye thamani (5) hawana maadui wa asili
Sasa kwa sifa hizo hapo Nyati anazo karibu zote (mfano)
Nyati ni mnyama mkubwa anakaribia kilo 500
Nyati ni mkali au mkorofi hakubali kushindwa ukimchokoza lazima alipize kisasa
Nyati hana adui anamuogopa yaani c muoga kwa mnyama mungine yoyote kama ilivyo kwa wanyama wengine wakimuona tu adui hukimbia speed 120
Nyati hujilinda wenyewe kwa kumshambulia kwa pamoja mnyama mungine anayejaribu kuwashambulia na hutumia pembe zake kumpiga hadui anayejaribu kupambana nae, ukigongwa na kichwa cha nyati ni sawa na kugongwa na fusso la mzigo lenye speed 80
Wee usiombe ukutane na nyati au mbogo au tingatinga utajuta kuzaliwa,
Sasa kwa sababu izo ni ngumu kwa simba mmoja kumuua dume la nyati kwa vile wote ni wakali ni revangers
Kunaitajika simba 3 au 4 kumuua nyati kwa utaalamu mkubwa wa kuvizia ( kaibu sana nyumban)
 
Nitakujibu vizuri achana na hao wanakuzingua,ona nyati ni mnyama mkali sana tena hana sula ya kupendeza mda wate amekaa kama anaeitafuta shari ilipo,nyati hutembea makundi makundi,lakini ukikutA nyati wako watatu au wawili ni hatari zaidi kuliko wakiwA wako makundi makubwa,ukikuta wako 3 au wawili,ujue nikwamba wametengwa toka katika makundi makubwa na hapo wanakuwa na hasira mara mia yake,ni kwamba katika makundi ya nyati kuna kuwaga na viongozi hao viongozi huwaga ndiyo watemi wa makundi hayo,sasa huwa wanatokea nyati wengine toka kwenye makundi hayo na kupigana na watemi hao,na wakishinda basi ndiyo huwaga viongozi wapya,na wale viongozi yule kiongozi wazamani aliyepigwa hujitenga peke yake kwa aibu na hasira nyingi,sasa ukikuta wako wawili au watatu ujue ni viongozi waliotengwA toka kwenye makundi mbalimbali nakusihi usiwakaribie hao ukikuta wako wawili au watatu ni hatari

Ambao ndio wanageuka kuitwa mbogo sasa au......?......
 
Hahaha mkuu hapana hawageuki,karibuni mikumi jamani mjifunze mengi
 
Yaani hapo kinachofanyika kwa wanyama huwa ni timing tu na ujanja wanyama husika, kwa hyo nyati akidakwa shingoni na simba anakuwa hana ujanja tena vilevile nyati akimpatia vizuri simba anamwaga utumbo. Ni nadra sana nyati kumuua simba. Ni sawa na chui na chatu, chui akimuona mapema chatu anamuua lakini chatu akimlia timing vizuri chui anamkamata na kumumeza.
Hivi ni kweli chatu hula chui? Mimi ninafaham chatu hula binadam na wanyama wadogo wadogo kama mbwa, mbuzi, kondoo, nk. lkn chui sikuwahi kudhani wala kusikia ndio leo nimesoma kwa mara ya kwanza kuwa chatu hummeza chui!!!
 
Its all about timing and numbers

Nenda Youtube search "apic battle buffalo vs lion" ujionee full documentary
 
Preta hapo ni mikumi na jina la,na ona gari hiyo ni garama kufanya nayo utalii ndani ya mbuga kuliko iliyozibwa kote
 
wakuu tujuzane hapa kwa nini nyati ana ubavu wa kupambana na simba na kumuua? inafahamika kuwa simba ni mfalme wa nyika na ana uwezo kufanya atakalo ndani ya mbuga, lakini nyati nae ni mbishi sana akikutana na simba lazima pachimbike? sasa kwa nini nyati ana uwezo wa kupambana na simba?
SIO NYATI TU , HATA MBWA MWITU TU NI MBABE KWA SIMBA, MI NAFIKIRI MFALME WA PORI NI MBWA MWITU NA SIO SIMBA
 
Inategemea aina ya nyati. Nyati wa kawaida huwa hakamatwi na simba mmoja. Kuna ile minyati hata simba wakiwa watano, wao wapo kundi simba hana uwezo wa kuwadaka...
 
Katika wanyama wote ninaempenda ni ngiri anafurahisha sana,kwanza yupo shap sana
 
SIO NYATI TU , HATA MBWA MWITU TU NI MBABE KWA SIMBA, MI NAFIKIRI MFALME WA PORI NI MBWA MWITU NA SIO SIMBA
Mimi nafikir mfalme wa mwitu ni chui au tiger au cheeter japo wanamuogopa simba lakini huwa hawasumbuliwi na wanyama wengine na wakinda na kukamata msosi wao hupeleka juu ya mti na kujilia vizur tofauti na simba akipata msosi wale fisi na mbwa mwitu huja kwa makundi na kumtishia simba na hatimae simba hukimbia
 
Kitu hiko
 

Attachments

  • 1455440210024.jpg
    1455440210024.jpg
    45.2 KB · Views: 118
Back
Top Bottom