Kwanini niliacha kuwa "MATAGA" enzi za Dkt. Magufuli

ni nani nani hao walioichezea tanzania?. upinzani?.
Forces za kutoka nje wakishirikiana na takataka za ndani ya nchi waliovuruga sana mwelekeo wa Tanzania ya kujitegemea. Wapuuzi wa aina hiyo walio tayari kuuza utu wao kwa ajili ya vijisenti wapo kote kote.
 
Ilifika wakati kumpigania jpm hapa JF haikuwa jambo rahisi. ilihitaji kujitoa ufahamu.

Ni kazi iliyohitaji utumie nguvu, mikwara, vitisho na kupindisha ukweli.

Nilijipa kazi ya kumtetea baada tu ya kuapishwa kwake mwaka 2015. kwa hiyari yangu, niliamua kuwa "mataga" propagandist.

niliamua kuwa mataga wa hiyari kwasababu nilivutiwa na sera zake na dhamira aliyoionyesha kuhusu kukomesha ufisadi nchini.

Niliunga mkono juhudi kwa kushangilia kila kauli aliyozungumza na kila maamuzi aliyofanya bila kujari madhara yake.

Baadae nikaja kujitafakari na kugundua kumbe nilikuwa sehemu ya kushabikia na kuhamasisha uovu, hii ni baada ya kuanza kwa matukio ya watu kuuwa, kutekwa, kubambikiwa kesi, kutishwa hadharani, kuminya vyombo vya habari na jeuri/majivuno kutoka kwa baadhi ya viongozi aliowateua.

Mwaka 2017 tukiwa katika taharuki iliyotokana na tukio la kupigwa risasi Tundu Lissu, niliacha rasmi kushabikia mijadala iliyokuwa inaunga mkono utawala wa Magufuli.
Aliposema mwombeni ulifanya hivyo? Kama la sasa kinachokushangaza hapo ni nini? Wezio wana wa wakalidayo walimwombea wanavyotaka wao na kumbadilisha nakuwa alivyokuwa. Ujue ukiombewa kuwa zimwi utakuwa kwa sababu uliomba uombewe bila kusema uombewe kitu gani daka hiyo itakusaidia.
 
Ilifika wakati kumpigania jpm hapa JF haikuwa jambo rahisi. ilihitaji kujitoa ufahamu.

Ni kazi iliyohitaji utumie nguvu, mikwara, vitisho na kupindisha ukweli.

Nilijipa kazi ya kumtetea baada tu ya kuapishwa kwake mwaka 2015. kwa hiyari yangu, niliamua kuwa "mataga" propagandist.

niliamua kuwa mataga wa hiyari kwasababu nilivutiwa na sera zake na dhamira aliyoionyesha kuhusu kukomesha ufisadi nchini.

Niliunga mkono juhudi kwa kushangilia kila kauli aliyozungumza na kila maamuzi aliyofanya bila kujari madhara yake.

Baadae nikaja kujitafakari na kugundua kumbe nilikuwa sehemu ya kushabikia na kuhamasisha uovu, hii ni baada ya kuanza kwa matukio ya watu kuuwa, kutekwa, kubambikiwa kesi, kutishwa hadharani, kuminya vyombo vya habari na jeuri/majivuno kutoka kwa baadhi ya viongozi aliowateua.

Mwaka 2017 tukiwa katika taharuki iliyotokana na tukio la kupigwa risasi Tundu Lissu, niliacha rasmi kushabikia mijadala iliyokuwa inaunga mkono utawala wa Magufuli.
Ebu tuma baadhi ya koments ulizotuma humu za kumtetea na kumshabikia JPM tujiridhishe kuwa ni kweli. Kuongea tu, sio ushahidi. MATAGA ni legacy ya Magufuli. Haitakufa ingawa sasa MNA MATABA (Make Tanzania Backward Again).
 
Ebu tuma baadhi ya koments ulizotuma humu za kumtetea na kumshabikia JPM tujiridhishe kuwa ni kweli.
siwezi kuleta ushahidi wowote kuthibitisha namna nilivyokuwa namsifu jpm na namna nilivyokuwa naunga mkono juhudi.

kufanya hivyo itakuwa ni kwenda kinyume na dhamiri yangu ya sasa.

fahamu tu kwamba mimi nilikuwa namuunga mkono na niliacha kufanya hivyo mwaka 2017.
 
siwezi kuleta ushahidi wowote kuthibitisha namna nilivyokuwa namsifu jpm na namna nilivyokuwa naunga mkono juhudi.

kufanya hivyo itakuwa ni kwenda kinyume na dhamiri yangu ya sasa.

kwa sasa wewe fahamu tu kwamba mimi nilikuwa namuunga mkono na niliacha kufanya hivyo mwaka 2017.

Sent using Jamii Forums mobile app
Then, for your own thinking, you're extremely right! Ahahahahahahah!!!
 
Ilifika wakati kumpigania jpm hapa JF haikuwa jambo rahisi. ilihitaji kujitoa ufahamu.

Ni kazi iliyohitaji utumie nguvu, mikwara, vitisho na kupindisha ukweli.

Nilijipa kazi ya kumtetea baada tu ya kuapishwa kwake mwaka 2015. kwa hiyari yangu, niliamua kuwa "mataga" propagandist.

niliamua kuwa mataga wa hiyari kwasababu nilivutiwa na sera zake na dhamira aliyoionyesha kuhusu kukomesha ufisadi nchini.

Niliunga mkono juhudi kwa kushangilia kila kauli aliyozungumza na kila maamuzi aliyofanya bila kujari madhara yake.

Baadae nikaja kujitafakari na kugundua kumbe nilikuwa sehemu ya kushabikia na kuhamasisha uovu, hii ni baada ya kuanza kwa matukio ya watu kuuwa, kutekwa, kubambikiwa kesi, kutishwa hadharani, kuminya vyombo vya habari na jeuri/majivuno kutoka kwa baadhi ya viongozi aliowateua.

Mwaka 2017 tukiwa katika taharuki iliyotokana na tukio la kupigwa risasi Tundu Lissu, niliacha rasmi kushabikia mijadala iliyokuwa inaunga mkono utawala wa Magufuli.
Mpaka mzee amekufa sikubahatika kujua kirefu Cha MATAGA Msaada tafadhali.
 
Hata mimi nilimnawa rasmi septemba 07 2017. Kile kitendo cha kikatili kiliniudhi sana hadi leo.

Magufuli na Lissu ni wabunge walionivutia kufuatilia bunge na siasa kwa ujumla.

Magufuli alinivutia kwa uchapakazi na vichekesho vyake enzi hizo akiwa wizara ya ujenzi.

Lissu alinivutia kwa IQ yake kubwa, jinsi alivyokuwa akitiririka bungeni, enzi hizo bunge ni bunge kweRikweRi! Ni kwasababu yake nikawa na ndoto ya kusoma sheria ili niwe kama yeye, lakini Mungu ana mipango yake, sikufanikiwa.

Nilipoona Magufuli amepitishwa CCM kugombea urais nikaamini kwa uchapakazi wake sasa tunaenda kuishi maisha mazuri sana. Kwahiyo Lowassa sikutaka hata kumsikia.

Lakini huku nikimuaminia Magufuli kwa uchapakazi kumbe sikufahamu upande wa pili wa shilingi, sikuwa nafahamu kama yule mzee ni katili wa kupita viwango. Nikawa chawa wa nguvu kiasi kwamba hata matokeo ya kura za urais 2015 yakisomwa na akina Lubuva nilikuwa naandika kwenye counter book matokeo ya kila jimbo ili nijumuishe mwenyewe. Mzee akatusua. Ulikuwa ni uchaguzi wa kwanza nikiwa nimejitambua, nimefikisha umri wa kupiga kura japo sikupiga kura kutokana na kutokuwa kwenye kituo nilichojiandikisha.

Hadi anaapa na kutoa hotuba yake ya kwanza nilikuwa nashangilia tu kama kichaa. Siku zikaenda mzee akaanza kubadilika taratibu kwa kufungua kucha zake, nami nikawa nimchoka kadri alivyochenji, zaidi alivyoanza kumtesa Lissu na wapinzani wake wengine.

Nilipopata taarifa ya Lissu kupigwa risasi nilimchukia mazima. Ukiunganisha na shida nyingi sana alizozidi kutupa watz sina hamu kabisa.

Japo sikuwahi kumuombea kifo, lakini mara kadhaa nimewahi kumuomba Mungu akomeshe urais wake, iwe kwa kujiuzulu, kushindwa kwenye uchaFuzi wa 2020, au namna nyinginezo ambazo sizijui.

Mimi nilijua huyu hawezi kutoka kwa uchaguzi au watanzania kugoma
Option ilikuwa ni kifo tu
Nikamuomba Mungu several times ikimpendeza atangulie
Sikuamini taarifa za kifo chake mpaka siku ya mazishi
Mpaka sasa siamini nahisi kama ndoto
Hakika Mungu anatupenda Hii ni nafasi ya upendeleo akitokea kiongozi mwingine kama huyu sidhani tutapata bahati kama hii,Hebu ona nchi nyingine wanavyo pambana na madictator wao
 
Back
Top Bottom