Kwanini ni lazima nioe?

Mijadala inayohusisha habar za Mungu ni mijadala ya ovyo sana .
 
✍️Point
 
kwahiyo inabidi awe housewife 100% degree yake aweke pembeni?
Yeah kama mke wa Lionel Messi, si unaona Messi ajamchoka?
Mwangalie Ronaldo, mpenzi wake ni mzuri kuliko mke wa Messi ila anaji-engage sana na kutafuta hela Kuna kipindi Ronaldo amemchoka sema tu demu alishtuka, naona sakata la kuachana limezimwa.
 
Yeah kama mke wa Lionel Messi, si unaona Messi ajamchoka?
Mwangalie Ronaldo, mpenzi wake ni mzuri kuliko mke wa Messi ila anaji-engage sana na kutafuta hela Kuna kipindi Ronaldo amemchoka sema tu demu alishtuka, naona sakata la kuachana limezimwa.
sasa shule wanaenda kufanya nini?

na wao wana ndoto ujue....

ila haya mambo🙌🏾
 
kwahiyo inabidi awe housewife 100% degree yake aweke pembeni?
Although pia sio lazima ila nimegundua housewives wengi huwa wanadumu kwnye ndoa.

Ukiangalia ndoa nyingi za Waislamu na Wakristo waliooa wanawake ambao ni submissive anayejua anatakiwa kufanya nini, ndoa zinadumu Hadi uzeeni na kuna baadhi ya Waislamu nimeshuhudia wamebaki na mke mmoja tu muda mrefu sana.
 
Kwani ukioa ndio mwisho wa kulala na wanawake mbalimbali?
 
sasa shule wanaenda kufanya nini?

na wao wana ndoto ujue....

ila haya mambo🙌🏾
They have a dream ila wanawake siku zote wanataka mwanaume anayemzidi, wakiwakosa au wakawapata ila at the end of the day akawa playboy, wanaanza kutaka kuolewa na yeyote ndo maana fatilia hata humu wanasema " wanataka mwanaume mwenye hofu ya Mungu".

Ila sasa ikitokea huyo mwenye hofu ya Mungu ana qualities chache kuliko ex wake, ndo anaamua kutoka nje. Ndo maana mwanaume ukioa na ukashindwa kuishi kama mwanaume , Hawa viumbe aisee hutaacha kuona kila rangi.
 
Mwanamke mwenye hiyo hofu unayoita ya mungu , Nadhani ni bikra tu.
 
Mwanamke mwenye hiyo hofu unayosema Nadhani ni bikra tu.
Kabisa, na wako wachache sana. Ukitaka asiye bikra akuheshimu ni lazima umzidi ex wake kwa Kila kitu , Hawa ni emotional beings sio critical beings kama sisi. So ukimzidi ex wake anakuwa proud, anakuamini zaidi na anakuheshimu zaidi.

Yaani Hawa emotions ndogo wanabeen triggered.
 
mshamba_hachekwi nilichokuja kugundua, usimchekee mwanamke, sometimes unakuwa romantic , sometimes unaondoa hali ya uromantic.

Akileta kitu ambacho hukitaki, simamia msimamo wako, akibisha onyesha reaction ya kwamba kama huwezi unampiga chini.
inabidi muwe mmetoka mbali aisee sio mmeonana mwaka tu,

hii issue inataka utulivu
 
Mkuu kugongewa hakuepukiki ni kama pai 22/7 cha msingi apo heshima tu.
 
inabidi muwe mmetoka mbali aisee sio mmeonana mwaka tu,

hii issue inataka utulivu
Uko sahihi. Miaka zaidi ya miwili mpaka mitano inabidi usome tabia zake, ujue weakness zake alafu uangalie unaweza kuzihandle.

Weakness pekee nayoona ambayo hakuna mwanaume anaweza kuihandle ni ile mwanamke anaforce aendelee kuwaweka marafiki zake wa kiume kwa ukaribu zaidi, yaani bff's. Ukiona demu unamuambia sasahivi punguza mawasiliano na bff's akagoma piga chini.
 
Kujitambua kwako kijana na kuwa Malaya havina uhusiano na Ndoa,,na sio kwamba ukiwa ndoa ndio garantii ya kwamba unajitambua na sio malaya,,mbona kuna walio na ndoa ni malaya na Hawajitambui pia,,Maisha ni Wewe hizi nyingine ni propaganda za walimwengu!!
 
Mkuu kugongewa hakuepukiki ni kama pai 22/7 cha msingi apo heshima tu.
Kugongewa hakuepukiki mkuu ila kesi nyingi za kugongewa, ni zile ambazo wewe ukiwa mbali naye kama mkoani . Ukiwa karibu naye kesi inapotea ila kama ipo,piga chini , tafuta mwingine. Mwanamke akikuheshimu, hawezi gongewa na mtu.

Alafu ofisini pia kule kugongewa ni njenje.
 
Kusoma hakumzuii mwanamke kutokuolewa hata kwa asilimia 1...Mfumo wa maisha ndio unafanya msichana asiolewe .

Wanwake wanatakiwa kusoma zaidi katika jamii kuliko wanaume ila bahati mbaya ndio hivyo...
Ni kweli kabisa.
Ila kwenye kusoma , mwanamke anapitia vishawishi vingi , asipowekwa sekondari basi jeshini , akichoropoka hapo ni chuoni.
 
kutoka nje ni issue nyingine,

uaminifu ni kazi aisee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…