pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,636
- 6,261
Hebu tufumbuane akili hapa, kwa nini Mungu alikataza ngono? Ni kitu gani kinaifanya ngono iwe dhambi na kusugua meno, au kumshika mkono jinsia tofauti isiwe dhambi?
Je, kwa nini ngono si hatia kwa wanyama lakini ni hatia kwa wanadamu?
Ikapanuliwa tena, "ukimtazama mwanamke/mwanamume kwa kumtamani unazini nae" what is the exact context of it being sin and not other action?
Tujadili kama great thinkers wadau!
Kama unataka kujua kama ni dhambi hau si dhambi pata taarifa kuwa mkeo/mumeo au mpenzi wako anafanya hiyo kitu na mtu mwingine huo utafiti tu unatosha.