REALITY
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 4,391
- 1,960
vipi kwetu tunaoruhusiwa Kuwa na wake Saba? wote ni mwili mmoja na Mimi au ndio one network?
huko ndo ngono yenyewe ,mungu alimuumba adam na hawa si adam na hawa wakiwa saba period
vipi kwetu tunaoruhusiwa Kuwa na wake Saba? wote ni mwili mmoja na Mimi au ndio one network?
Hebu tufumbuane akili hapa, kwa nini Mungu alikataza ngono? Ni kitu gani kinaifanya ngono iwe dhambi na kusugua meno, au kumshika mkono jinsia tofauti isiwe dhambi?
Je, kwa nini ngono si hatia kwa wanyama lakini ni hatia kwa wanadamu?
Ikapanuliwa tena, "ukimtazama mwanamke/mwanamume kwa kumtamani unazini nae" what is the exact context of it being sin and not other action?
Tujadili kama great thinkers wadau!
Aisaee You made my day... nimecheka wee.... hebu tuambie mtaa gani huko kwenu.?? (uwanja wa fisi)?Ingehalalishwa hebu imagine hali ingekuwaje huko mitaani kwetu...c kudandia kila sketi inayopita!!
Ingehalalishwa hebu imagine hali ingekuwaje huko mitaani kwetu...c kudandia kila sketi inayopita!!
Kwa sababu ni dhambi na sio dhambi tu bali inahusisha mwili wako, dhambi nyingine utazifanya out of your body lakini si kwa case ya ngono, kama unavyojua kwa sisi wakristo mwili ni hekalu, unapofanya zinaa unafungua milango mingi sana kiroho bila kujua
vipi kwetu tunaoruhusiwa Kuwa na wake Saba? wote ni mwili mmoja na Mimi au ndio one network?
Kwann ikawa ni dhambi? N nini hasa kilicholifanya hili tendo liwe n dhambi?ama kwa lugha nyingne huo udhambi ulioko katika hili tendo n upi
Inakuwa dhambi sababu inakusababishia uchafu wa miwili na wa roho pia otherwise ni kitendo kizuri sana kupractise
NGONO INA WIVU ndani yakenini tofauti yake katika ufanyaji?
Mechanism ya huo uchafu waweza ielezea mkuu?
unaposema mkeo
unaunganisha na kauli ya mchungaji
madhabahuni kuwa mmekuwa mwili mmoja
hivyo haiathiri innei body zenu, ni tofauti na
mtu uliyekutana naye barabarani hapo kila
mtu ana roho yake na hivyo ukimuingilia
kiroho kuna uwezekano wa kutoka na maroho
mengine ya ajabu kulingana na mtu husika,
Ngono si dhambi, ni tendo takatifu kwa wanandoa. Zinaa na uasherati ndio dhambi na uchafu uliopindukia.
kwa nini ukifanya ndani ya ndoa si dhambi?