Kwanini ngono ni dhambi?

Kwanini ngono ni dhambi?

Makatazo hayo ni kwa ajili ya kuleta Amani duniani,hebu fikiria umemuona msichana mrembo mkawa wapenzi ,akatokea jamaa akawa anamzengea ...... and so on, utajisikiaje ?
 
Ndoa ilianzaje? Aliianzisha nani? Mbona jamii karibia zote duniani zina huu utaratibu? Je waliigana kwenye suala la ndoa au walijikuta wanapractice ndoa kila mmoja kwa wakati wake?

Mm naamin ndoa ilianza kwa Adam na Hawa icngekua ivo Bac sote tungekua watoto wa nje ya ndoa(zinaa)
 
Back
Top Bottom