Kwanini ngono ni dhambi?

Kwanini ngono ni dhambi?

Vipi kuhusu wenye wake wanne?(hapo kwenye mwil mmoja)

wenye wake wanne hapo maana yake wote wanne na huyo mmoja ni wazinzi na pia hakuwezi kuwa na mwili mmoja maana ni mjumuiko wa watu 5 ambao hawawezi kuleta kizazi kimoja inamaanisha kila mwanamke ataleta chake haina tofauti na kwenda madanguro na kuzalisha wanawake wanne,kuoa ni pingu ya maisha yaani mmejienclose wenyewe to finalbreath nje ya hapo ni dhambi
 
kwa nini ukifanya ndani ya ndoa si dhambi?

lengo kubwa la ngono ni mtoto,ndomana mbegu hutoka,ukifanya ndani ya ndoa,akipatkana mtoto hutokataa kumtunza,lakin nje ya ndoa ni rahisi kukana na hivo kumtia mtoto matatizon,pakiwa na kizazi cha hvo kwa asilimia kubwa,dunia itakua sehem mbaya ya kuishi kuliko sasa..ndoa inaleta uwajibikaji,nasaba,mapenzi na huruma miongoni mwa watu
 
wenye wake wanne hapo maana yake wote wanne na huyo mmoja ni wazinzi na pia hakuwezi kuwa na mwili mmoja maana ni mjumuiko wa watu 5 ambao hawawezi kuleta kizazi kimoja inamaanisha kila mwanamke ataleta chake haina tofauti na kwenda madanguro na kuzalisha wanawake wanne,kuoa ni pingu ya maisha yaani mmejienclose wenyewe to finalbreath nje ya hapo ni dhambi

Kwa maana nyingine Unamaanisha quran inadanganya sio?
 
Ni dhambi kuepusha ugomvi. Mengine yoote mbwembwe tu!
 
Kama kweli ingekuwa dhambi basi watoto wa nje wasingalizaliwa na tena kwa nini hufanikiwa sana kulinganisha na wa ndani ya ndoa?

hata mwana aweza mtungisha mimba mama yake mzazi au baba kumtia mimba bintie wa kuzaa,mungu katupa akili si za kuvalia jinzi tu
 
. Hapa ndo uwa napata hofu na usemi wa Mungu anajua ya jana ya kesho na yajayo....kakataza ngono na kulana tigo....ila sijui ilikuwaje alisahau kuwa wanadamu watundu....sasa hivi wanakulana mpaka wananyonyana vikojoleo na kula samadi.....vipi inakuwaje?

ndomana kuna moto kwa waendao kinyume na amri zake na kuna pepo kwa wafatao maamrisho yake,yaan kuna jela pale keko ukienda kinyume na katiba ,ndo hivohvo mungu kakataza baadh ya mambo,uwezo wako wa kuyafanya hauyahalalish,atakutia mikonon mud ukifika
 
ukijipa muda kutafakari, dhambi ni makubaliano ya jamii fulani kwamba mambo kadhaa ni kosa kuyafanya. kwa hiyo tendo la ndoa linaweza kuwa dhambi kwa mujibu wa makubaliano ya jamii husika. kwa walio jitambua, tendo la ndoa si dhambi kwa namna yeyote ile. la msingi ni kutumia busara usitembee na mtoto mdogo, mkubaliane n.k dhambi ni neno karibia litapotea kwenye huu ulimwengu.
 
huko ndo ngono yenyewe ,mungu alimuumba adam na hawa si adam na hawa wakiwa saba period

hadi leo adam na hawa bdo wapo sawa kwa idadi? Vipi kama akina hawa wamezid,hao waliozidi wajitie vidole na kukosa watoto hadi wanaingia kaburini au wamtafute adam mwenye hawa mmoja wawe hawa wa wa pili?
 
ukijipa muda kutafakari, dhambi ni makubaliano ya jamii fulani kwamba mambo kadhaa ni kosa kuyafanya. kwa hiyo tendo la ndoa linaweza kuwa dhambi kwa mujibu wa makubaliano ya jamii husika. kwa walio jitambua, tendo la ndoa si dhambi kwa namna yeyote ile. la msingi ni kutumia busara usitembee na mtoto mdogo, mkubaliane n.k dhambi ni neno karibia litapotea kwenye huu ulimwengu.

hiyo yote ni kutokana na kutojipa muda kidogo kutafakari juu ya uwepo wa mungu na uwezo wake
 
Ngono si dhambi, ni kinyume ccha maadili pale inapofanyika nje ya ndoa.

Lakini si dhambi.
 
Msijadili sana mambo ambayo mmekatazwa.

NAWAPA HUU MFANO: Mtu mmoja mcha mungu alikuwa anapita kando kando ya bahari alikuwa anajiuliza maswali mengi mno kuhusu Mungu. Akawa anajiuliza. Huyu mungu yukoje?
Aliwezaje kuumba dunia nzima milima na mabonde na maziwa na mito?

Huyu mungu kwanini hatumuoni?
Wakat akiwa katika mawazo mazito ghafla akamkuta mtoto mdogo amechimba kashimo kwa mikono kwenye mchanga, yule mtu akasimama akawa anamtazama yule mtoto anachokifanya. Yule mtoto akaanza kuchota maji kwenye bahari na kuyaweka kwenye shimo alilochimba na maji yanapotea chini, yule mtoto akawa anarudi tena baharin anachota maji na kuyaweka kwenye shimo na maji yanazama.

Ikabidi yule mtu mcha mungu akamuuliza wewe mtoto ni nini unakifanya hapo? Yule mtoto akamjibu nataka niihamishe ile bahari ije kwenye hili shimo. Yule mtu mcha mungu akasema unajisumbua wewe mtoto acha mara moja hyo shughuli.

Yule mtoto akamwambia hiki nachokifanya hapa ni sawa na unachokiwaza wewe. Unakiwaza kitu ambacho huwezi kupata majibu. Yule mtoto akatoweka.

Bujibuji unauliza jambo ambalo huwezi kupata jibu. Neno la mungu tumelipata kimapokeo hvyo amini unachokiamin na kukisadiki nawe utaishi
 
Last edited by a moderator:
Hebu tufumbuane akili hapa, kwa nini Mungu alikataza ngono? Ni kitu gani kinaifanya ngono iwe dhambi na kusugua meno, au kumshika mkono jinsia tofauti isiwe dhambi?

Je, kwa nini ngono si hatia kwa wanyama lakini ni hatia kwa wanadamu?

Ikapanuliwa tena, "ukimtazama mwanamke/mwanamume kwa kumtamani unazini nae" what is the exact context of it being sin and not other action?

Tujadili kama great thinkers wadau!

Mkuu Buijbuji heshima kwako.
Mimi kwa mawazo yangu hii mada imekaa kifalsafa sana. Ni sawa na kuuliza Dhambi ni nini? Ni kitu gani hufanya tendo zuri likawa dhambi hata pale linapokuwa limeleta furaha kwa wahusika wote?
 
Kwa maana nyingine Unamaanisha quran inadanganya sio?

hivi kitabu kimoja kimeandikwa chote na mtu mmoja 567 AD afterchrist baada ya yesu kuzaliwa huku biblia au torah ilikuwepo kitambo , mtu ambaye kaoa mwanamke sawa na mamayake we unadhani kitasema ukweli?
 
Umegusa mambo nyingi. Ngono kwanza siyo dhambi, isipokuwa pale unapozini (ngono na mke au mme wa mwenziyo). Halafu kuhusu wanyama; ngono kwao siyo dhambi kwavile Mungu anakusudia uchaguzi wa mema na mabaya ni wa kibinadamu. Mnyama hajui jema na baya.
 
hadi leo adam na hawa bdo wapo sawa kwa idadi? Vipi kama akina hawa wamezid,hao waliozidi wajitie vidole na kukosa watoto hadi wanaingia kaburini au wamtafute adam mwenye hawa mmoja wawe hawa wa wa pili?

nani kakuambia kuwa na watoto ni lazima?pili ambao hawazai we ndo huwa unawazalisha au unazini nao? wawili hukutana kuleta kizazi huo ndo mfumo,ila tamaa za kiibilisi za kulala kila mwanamke kama mnyama is owkward period
 
Back
Top Bottom