Kwanini ndege huyu ameitwa ndege mwaarabu?

huyu ndio kimila nzoka yaani kimeza nyoka blue heroin
7f78ad44bb51f502e64f11f823b81d54.jpg
 
Hao asili yao ni aquatic yaani wanapatikana sehemu zenye maji mengi kama bahari nk ingawaje wanaweza kaa sehemu yoyote hasa anapokuwa mzee kwasababu ya kufuata chakula baadaya uwezo wake wa kutafuta chakula kupungua,ndege wengi wenye midomo mirefu na miguu makazi yao ni sehemu zenye maji mengi
Asante mkuu kwa ufafanuzi wako mzuri kuhusu huyu ndege
 
Back
Top Bottom