Kwanini ndege huyu ameitwa ndege mwaarabu?

_aysher

JF-Expert Member
Aug 2, 2016
1,131
942
Habari za asubuhi habari za ijumaa wana jf.
Swali langu kwanini ndege huyu ameitwa ndege mwaarabu?
1.kafanana na waarabu?
2.anatabia za waarabu?
Mi sijui ndio maana nimelileta kwenu mnisaidie nimekuwa nikiwaza siku nyingi, kwanini asiwe ndege msukuma au ndege muha? Why mwaarabu
0d87d54d2e8176b7f01453c2791f4a7f.jpg
 
Haitwi Mwarabu anaitwa Marabou Stork,huyu ni maarufu kwa kua shingoni kwake anamfukao(gullar sac) ambao anaweza weka mifupa mikubwa kabisa na kumwagia nyongo kwa muda mfupi ikasagika yote,ni mkubwa pia,kwa hiyo huwa mfuko una rahisisha digestion,sasa sina hakika kama hilo jina ndo limechukuliwa uarabuni au
 
Sio mwarabu bali ni marabou stork,sasa waswahili tunaitamka kama mwarabu stok
 
Haitwi Mwarabu anaitwa Marabou Stork,huyu ni maarufu kwa kua shingoni kwake anamfukao(gullar sac) ambao anaweza weka mifupa mikubwa kabisa na kumwagia nyongo kwa muda mfupi ikasagika yote,ni mkubwa pia,kwa hiyo huwa mfuko una rahisisha digestion,sasa sina hakika kama hilo jina ndo limechukuliwa uarabuni au
Ahsante mkuu kwa ufafanuzi wako.
 
Asifanye ke?vyzi juu ya paa lako la msauzi ndani ya wiki linabadilika kuwa chokaa? eti mbona sijawai kuona vifaranga vyake?
 
Back
Top Bottom