Kwanini NASA hawakurudi tena mwezini?

Nimegundua humu jf kuna vihiyo wengi arafu wanaleta uzi wa kijingajinga na dini zao
 
Hivi ww ni darsa la ngapi? Kwenye mwezi hakuna oxygen na gravitation force ni 1 ya 8 ya hapa duniani ila upepo upo kama kawaida. Humu jf kuna vihiyo wengi.

Shehe Hamad kasema msikitini wamarekani hawajaenda mwezini, na sie tulivyo matutusa tunakubali
 
Shehe Hamad kasema msikitini wamarekani hawajaenda mwezini, na sie tulivyo matutusa tunakubali

Hao wanaotoka huko msikitini ndio wanaoleta ujinga humu wa kusema watu hawajafika mwezini.
 
Shehe Hamad kasema msikitini wamarekani hawajaenda mwezini, na sie tulivyo matutusa tunakubali

Hao mashehe wao wanajuwa ukweli ila wanawadanganya vihiyo wa kuitikia hadithi tu.
 
Naona hoja zimeisha mnaingia kwa mashekh sasa kwani ni nani aliye kanusha izo habar kama sio wazungu wenyewe hao ndo wakuwapinga.Qur an ishaweka wazi kabisa swala la kuvuka anga
 
Asante mkuu angalau umenikata Kiu
 
Hizi picha mbili ndizo ambazo huwa nikiziangali naishia kuguna tu....hilo giza (picha ya kwanza) ni kama tambara jeusi tu, walisahau kuchora nyota na hiyo ya pili wakakumbuka kuchora dunia na wakasahau nyota...LoL

Kuna kipande cha video kinachoonyesha walivyokuwa wanarekodi dunia na bahati mbaya mkono ukapita na chanzo cha mwanga kikaonekana kwa juu. Ni shida.
 
Hivi ww ni darsa la ngapi? Kwenye mwezi hakuna oxygen na gravitation force ni 1 ya 8 ya hapa duniani ila upepo upo kama kawaida. Humu jf kuna vihiyo wengi.

Hakuna upepo (wind) huko mkuu....fanya marejeo vizuri.
 
nasa hawajarudi mwezini kwa sababu hawakuwahi kufika mwezini


hata hivyo kuna chombo chao walikirusha zamani kilipotea inasemekana kuna chombo kingine kilikuja kukikiteka kwani kwenye nasa station ilionyesha kuna chombo kingine kinaenda usawa wa chombo chao then kikapotea forever

consipirancy zinasema alliens
 
tafuta documentary inayoitwa" a fun thing happen on the way to the moon" utaona uongo wa wamerekani.
 
mimi nina FACTORS KUMI ambazo ni lazima zikushawishi kuwa ile ilikuwa ni HOAX tu nothing pale kilichotokea


1 Kupepea kwa bendera




hii inshu ilikuwa live sawa. so kama ilikuwa live picha zilichukuliwa live hapa kama unavyoona hiyo bendera inaonekana kuwa inapepea
ukweli ni kwamba kwenye mwezi hakuna air yeyote so kwenye mwezi hakuna air ifanyayo WIND TO BLOW so ile ilikuwa ni MOVIE tu wametengeneza holywood na kuidangamya dunia

2. hakuna impact yeyote ya crater kuonyesha mtu katua



wote tunajua popote utuapo ni lazima uweke impact crater ila kwenye hizi picha na video footage ni kwamba hakuna chochote ambacho utaweza kuona na kujua kuwa hiyo ni impact crater

hivyo basi ni kuwa hiyo ni moja ya sababu ambayo inaonyesha kuwa hii inshu iliandaliwa na wamarekani kuudanganya dunia

3. Muonekano wa light sources zaidi ya moja


Darasani wote tumesoma kuwa kwenye mwezi kuna light source moja tu kutoka kwenye JUA so kwa mantiki hiyo basi shadow should run parallel to one another ila hapa tunaona kuwa kuna light sources kibao na hii utaona shadows falls in different directions sisi consipirancy theorist tuna suggest kwamba hii inatokana kuwa hapo maeneo kulikuwa kuna multiple lights set kama vile ilikuwa ni Filamu

4 THE VAN ALLEN RADIATION BELT


ili ufike mwezini ni lazima upite mkanda huu maarufu uitwao the van allen radiation belt ni ni kitu ambacho HAKIWEZEKANI kwa chombo chochote kupita kwenye hizi RADIATION BELT kwani kuzifikia tu hizo VAN ALLEN hazima ukaangwe mpaka dna yako ya mwisho yaani unapotezwa kabisa so ni jambo LISILOWEZEKANIKA kupita hapa kwenye hizi THE VAN ALLEN RADIATION


5 MUONEKANO WA KIMAKOSA WA MOJA YA VIFAA VYA STUDIO






wamarekani bwana, baada ya kutudanganya kuwa wamefika mwezini basi mipicha kibaoooo

ila bwana si wakakosea kwa msaada wa helmet wa huyo jamaa aliyefika mwezini kwa kufikirika ilionekana kitu mfano wa kifaa ambacho kinapatikana sana studio za filamu za marekani ilitoka kimakosa

kuuliza ni nini watu wakawa hawana jibu

6 mwendo wa slow motion umewaumbua



sisi conspirancy theorist huwa hatukosi cha kusema iko hivi

wao wamesema kuwa wameenda mwezini sawa tunakubali ila tuna maswali

hapa naomba niwa quote theorist wenzangu kuhusu hili

It has been suggested that if you take the moon landing footage and increase the speed of the film x2.5, the astronauts appear to be moving in Earth's gravity As for the astronaut's impressive jump height, which would be impossible to perform in Earth's gravity, hidden cables and wires have been suggested as giving the astronauts some extra height. In some screenshots outlines of alleged hidden cables can be seen (the photograph above supposedly shows a wire, though it is extremely vague).

7 kutokuonekana kwa nyota




swali ni kwamba kwanini nyota hazionekani kwa picha ambayo walisema kuwa waliipiga dunia? kutokea kwenye moon?

Nasa walishindwa ku map nyota kwenye post production hivyo basi wakaamua kuacha hivyo hivyo

kwani kulikuwa na kila dalili ya wao kuharibu na ingekuwa ni easy kwa wao kushtukiwa na wataalamu wa nyota mbali mbali

8 jiwe lenye herufi C



hili jiwe bwana lilileta tabu

tutumie akili ya kawaida
wanasema c rock walilikuta kule halafu wakalipiga picha swali ni kuwa

nani kachora hiyo C?

A set designer could have turned the rock the wrong way, accidentally exposing the marking to the camera.

na ndivyo ilivyokuwa


ZINGINE ZA NYONGEZA NI HIZI
.......

he Layered Cross-hairs



The cameras used by astronauts during the moon landings had a multitude of cross-hairs to aid with scaling and direction. These are imprinted over the top of all photographs. Some of the images, however, clearly show the cross-hairs behind objects in the scene, implying that photographs may have been edited or doctored after being taken. The photograph shown above is not an isolated occurrence. Many objects are shown to be in front of the cross-hairs, including the American flag in one picture and the lunar rover in another.
Conspiracy theorists have suggested NASA printed the man-made objects over a legitimate photograph of the moon to hoax the landings – although if they really planned on doing this, then why they used cross-hairs in the first place is a mystery.



1​
The Duplicate Backdrop




The two photos from the Apollo 15 mission shown above clearly have identical backdrops, despite being officially listed by NASA as having been taken miles apart. One photo even shows the lunar module. When all photographs were taken the module had already landed, so how can it possibly be there for one photo and disappear in another? Well, if you're a hardcore conspiracy theorist, it may seem viable that NASA simply used the same backdrop when filming different scenes of their moon landing videos.

NASA has suggested that since the moon is much smaller than Earth, horizons can appear significantly closer to the human eye. Despite this, to say that the two hills visible in the photographs are miles apart is incontrovertibly false.
 

mmhh, imekaa kama story za kijiwe cha kahawa
 
tatizo ni kuwa kuna watu wanaabudu mwezi, hawawezi kukubali ukweli kuwa 'makafiri' wamarekani wameenda huko 'patakatifu'. :becky:
 
mada tamu.cna maujuz 2 halo na NASA waongo.wangefany Waiclamu Ivo Mngeckia Maneno Yao.chuki Tu.

Mambo ya dini yanatokea wapi tena hapa? Ama kweli nyie ndugu zetu mmelogwa. Sio bure. Yaani hakuna mnachowaza.
 
Hakuna watu nisiowapenda kama wanaokataa NASA kwenda mwezini, conspiracy theorists hawafundishiki! Hizo sio facts ni speculation zisizo na msingi, kama unataka angalia kipindi cha Myth Busters kuna episode ya kujibu hizo conspiracy za mwezini.

Hongera kwa kuwa unafahamu kipindi cha mythbusters. Nadhani hawa ndugu wengine ambao hawakifahamu sio makosa yao...
 
jiulize...
1..je luna 2 mission ya russia mwaka 59 kama ni hoax...na kama c hoax pia ujiulize kama kweli mmarekan angeshindwa kupeleka chombo mwaka 69 kwa maana ya tecnology na kifedha..?
2.Pia kama moon landing ya 1969 ni story...?wananchi wa America wangekubali apppolo mission zingine from 1969 na kuendelea....?

Hivyo unavosema ni hoax kutokana na you tube clip pia utueleze kipi unadhan ndo sababu ya America kutengeneza story....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…