Kwanini nafurahia Askofu Gwajima anavyopingana na maamuzi ya Serikali ya Rais Samia

Gwajima Ni wakuzimwa Kama mshumaa, Ni hatari kwa usalama wa Taifa hili
 
Sometime ni vizuri kuiacha sayansi ichukue mkondo wake badala ya payupayu nyingi
 
Ndiyo huyo huyo ambaye Jina langu la Ubatizo wa Ukatoliki ni Laurent kama hiyp ( L ) yako ulivyoiwakilisha vyema hapo.

Karibu sana hapa Gisenyi Rwanda Mkuu.
Asante sana natumaini siku moja nitafika huko Gisenyi Rwanda. Miaka mingi sana since 2004.
 
Gwajima amesema yuko tayari kuitwa Deo Kisandu,Don Nalimison,kibwetere nk Ila yeye kuchanjwa mpaka awekewe mtutu
 
Hakuna asiyejua kuwa majina yangu Kamili ni Kalemera Mazimpaka Rwigyema Kadogoo na siishi Tanzania bali nipo zangu hapa Kwetu Mkoani Gisenyi nchini Rwanda. Huko Kwenu Tanzania na hasa hapo Kawe Kinondoni nina Mademu zangu kama Saba ( 7 ) hivi.
 
Huyo gwajima ashtakiwe kwa kupotosha dhidi ya vita ya coronavirus, kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni ila sio kupotosha umma
Wapi kapotosha!? Mjibu Gwajiboy kwa hoja na si braabraa tu!?
 
Huyo gwajima ashtakiwe kwa kupotosha dhidi ya vita ya coronavirus, kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni ila sio kupotosha umma
Gwajima kauliza maswali ambayo hajajibiwa mpaka muda huu na serikali wala wataalamu uchwara wa afya.... Hajapotosha chochote labda wewe utueleza kipi Gwaji Boy kapotosha kuhusu UVIKO-19???
 
Hakuna asiyejua kuwa majina yangu Kamili ni Kalemera Mazimpaka Rwigyema Kadogoo na siishi Tanzania bali nipo zangu hapa Kwetu Mkoani Gisenyi nchini Rwanda. Huko Kwenu Tanzania na hasa hapo Kawe Kinondoni nina Mademu zangu kama Saba ( 7 ) hivi.
Ngosha mashine ndo gwajimaaaa.
 
Huyo gwajima ashtakiwe kwa kupotosha dhidi ya vita ya coronavirus, kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni ila sio kupotosha umma
Sa kama kila MTU ana Uhuru kwann ashtakiwe??maoni si maoni hata kama hayakupendezi...wanasema akili za kuambiwa......?Uhuru ni Uhuru.na wewe ushitakiwe kuchochea mwenzako ashitakiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…