Jamani si ana uhuru wa kutoa mawazo yake? na wote wanaosikia pia wana uhuru wa kupembua pumba na mchele! watachukua linalowafaa na mengine watayaacha hapo hapoGwajima anamdharau mwenyekiti wa chama chake.
Huyo gwajima ashtakiwe kwa kupotosha dhidi ya vita ya coronavirus, kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni ila sio kupotosha ummaGwajima anaongea kwa record's. Ukitaka kumpinga kasema ruksa ila uwe na hoja, kutumwa kumjibu.
Mfano. Hiyo chanjo iko approved? Kwamba imepitia hatua zte za utafiti mpaka iitwe chanjo?
Mbona ndg yangu Mbowe alitaka chanjo iwe ya lazima kwa kila nchi na hukuhoji?
Kifupi hata km jpm kalala kule chato lakini ametuacha watanzani tukiwa IMARA JANA , LEO NA HATA MILELE gwajima anaendelea kutuimarisha.
AmeenGwajima anaongea kwa record's. Ukitaka kumpinga kasema ruksa ila uwe na hoja, kutumwa kumjibu.
Mfano. Hiyo chanjo iko approved? Kwamba imepitia hatua zte za utafiti mpaka iitwe chanjo?
Mbona ndg yangu Mbowe alitaka chanjo iwe ya lazima kwa kila nchi na hukuhoji?
Kifupi hata km jpm kalala kule chato lakini ametuacha watanzani tukiwa IMARA JANA , LEO NA HATA MILELE gwajima anaendelea kutuimarisha.
Ccm wanatujulia wabongo.Taratibu tutasahau tu yale makato
Gwajima anamdharau mwenyekiti wa chama chake.
Hakuna asiyejua kuwa majina yangu Kamili ni Kalemera Mazimpaka Rwigyema Kadogoo na siishi Tanzania bali nipo zangu hapa Kwetu Mkoani Gisenyi nchini Rwanda. Huko Kwenu Tanzania na hasa hapo Kawe Kinondoni nina Mademu zangu kama Saba ( 7 ) hivi.
kwani unakimbizwa?Huyu genticine kumbe nae anaandika pumba. Badilika ndugu. Sio gwajima tu. Hat Sisi's hatukaki kuwa mazombi.mabarakoa ma machanjo hatuka
Mbowe angeongelea mambo ya chama chake ndani ya ofisi za chadema yasingemfika lakini kwa sababu ya kujiona yeye ni mkubwa kuliko rais wa JMT amepata alichokuwa anakitafuta. MWANA KULITAFUTA MWANA KULIPATA.Upo sahihi kabisa, hapo ndiyo tunasema ameitumia demokrasia yake sawasawa
Na hapo nimepunguza tu Mkuu wangu.Mademu Saba? Upo vzr mkuu
Ndiyo huyo huyo ambaye Jina langu la Ubatizo wa Ukatoliki ni Laurent kama hiyp ( L ) yako ulivyoiwakilisha vyema hapo.Wewe ni yule yule Kalemera ninayemfahamu (L) au nimfirkie mwingine?
FactSi bora gwajima kaupiga mwingi kwenye kuifaragua chanjo, usimlingani askofu na hao maaskofu unaoona wako sawa. Askofu gwajima ni next level asikatishwe tamaa wala kutishwa kwenye maoni yake kuhusu chanjo za covid 19
Askofu Rashid ana hasira na Mwenyekiti wa Chama kwa kukosa ujumbe wa NEC