Kwanini Mwl Nyerere alipigwa mtama Kanisa la St. Peters

Rejea kichwa cha uzi, karibuni mtueleze sisi kizazi cha leo, ni nini kilisababisha mlinzi wa Mwl Nyerere kumpiga mtama Mwl Nyerere nje ya Kanisa la St Peters?

Na kwanini tukio hili halizungumzwi sana miongoni mwa Watanzania wengi?

Alikuwa anajaribisha akimkata mtama nyerere atadondokea kichwa,mikono au ataruka samasoti atue na miguu
 
Ktk uchunguz wangu woote na ufatiliaji wa historia ya baba wa taifa mwl nyerere.cjawahi kkutana na hiyo hbr.kanisa la st peters la wapi.na pia hebu jaribu kuelezea wewe unachokijua juu ya hbr hiyo.
 
Rejea kichwa cha uzi, karibuni mtueleze sisi kizazi cha leo, ni nini kilisababisha mlinzi wa Mwl Nyerere kumpiga mtama Mwl Nyerere nje ya Kanisa la St Peters?

Na kwanini tukio hili halizungumzwi sana miongoni mwa Watanzania wengi?
Kwanini wewe umeuliza hilo Leo nasijana wala Kesho Na kwanini maswali Hayo haukumuuliza hiyo aliyekuambia ili wewe uje utueleze unalolijua wewe . au ndio umetupa jiwe gizani. Tuambie unachokijua wewe maana yaonekana unacho
 
Rejea kichwa cha uzi, karibuni mtueleze sisi kizazi cha leo, ni nini kilisababisha mlinzi wa Mwl Nyerere kumpiga mtama Mwl Nyerere nje ya Kanisa la St Peters?

Na kwanini tukio hili halizungumzwi sana miongoni mwa Watanzania wengi?
wewe uliyekuwepo siku ya tukio hukuuliza sababu ilikuwa nini
 
Rejea kichwa cha uzi, karibuni mtueleze sisi kizazi cha leo, ni nini kilisababisha mlinzi wa Mwl Nyerere kumpiga mtama Mwl Nyerere nje ya Kanisa la St Peters?

Na kwanini tukio hili halizungumzwi sana miongoni mwa Watanzania wengi?
Mtafute JF mohamed said anajua hizo historia
 
Kama ni kweli basi itakua kwa sabbu za kiusalama.. Wanausalama wakiwa katika jukumu LA kumlinda VIP wanaruhusiwa hata kumpiga risasi eneo lisilo hatarishi mfano Mkononi, mguuni ili kupoteza target ya maadui.
 
Back
Top Bottom