Kwanini Mwl Nyerere alipigwa mtama Kanisa la St. Peters

Viongozi wakuu "kupigwa hiyo unayoitwa mtama" ni kitu cha kawaida unapotaka kumtoa sehemu ambayo una hisi hakuna usalama, na sio mtama haswa ila anafanya kama anamkata ngwala halafu analalia kwenye mkono wa mlinzi then anatolewa eneo hilo. Mbona hata mzee Mwinyi alikuwa akifanyiwa hivyo mara nyingi hasa pale alipokuwa eneo ambalo labda kuna burudani ya nyimbo za taarabu alikuwa anatamani aendelee kukaa hivyo walinzi wake walichokuwa wanafanya "wanamkata huo mtama" then wanamtoa kwenye eneo hilo.

Wangejaribu kwa huyu wasasa waoneee
 
Back
Top Bottom