mshale21
JF-Expert Member
- Apr 8, 2021
- 2,514
- 6,070
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, akiongea na wahariri pamoja na waandishi wa habari, leo Jijini Dar es Salaam, amesema maandamano ambayo waandamanaji wanaenda na silaha (kuwa ‘full armed’) sio maandamano, huku akibainisha kuwa idadi kubwa ya walishiriki katika vurugu zile hawakuwa wakiongea lugha ya kiswahili
Waziri Mkuu amesema pia kuwa sababu ya Raisi kuunda tume ya uchunguzi wa vurugu za baada ya uchaguzi Mkuu ni kuhakikisha ukweli unafahamika.
Alitoa mfano wa askari mwenye Uraia wa Marekani na Kenya aliyekamatwa akiwa na mabomu mpakani mwa Kenya na Tanzania, akidai askari huyo alikuwa na silaha kwa ajili ya kujihami kutokana na taarifa potofu zilizozagaa kuhusu Tanzania kutokuwa salama.
.................................................................
Kwa nini mwigulu anakomalia "waandamanaji walikuwa na silaha"? Je, anabumba maneno hayo ili kutoa mwanya wa mauaji ya raia mpaka majumbani?
Je, mfano wa mwanajeshi waliomkamata mpakani huko siku kadhaa baada ya mauaji unahusiana vipi na matukio ya Oct 29? Kwamba huyo mwanajeshi alikuja kuandamana baada ya Oct 29?
MY TAKE
watanzania sio wajinga bhana, viongozi wa serikali wakubali kuwajibika , tujikung'ute tusonge mbele.