Kwanini mwanamke ukimuambia ukweli ananuna?

Hawa watu sijui wameumbwaje,wakwangu ukimwambia leo umebugi kupika vizur ananuna kama lowasa na matokeo ya urais


hahaaa tusipowaambia ukweli,watakuja kutuaibisha kwa wazaz wetu
 
Last edited by a moderator:

Hahahaaa tabia mbaya kwelii kibokoo...
 
Wasalaam wana Mmu

asanteni sana kwa ushauri mlionipa nimeufanyia kazi na matunda yameonekana

kilichonileta hapa nikua kwasasa Huyu mpenzi wangu haniiti baby,honey,laazz nk kama ilivyokua mwanzo

ananiita MKUU,sasa jina hili silipendi sana,kitu kidogo anisema asante mkuu,nmekaa naye nakumueleza hlo jina silipendi anasema anajisahau

sasa naombeni ushauri nimpge makofi au nimpe suspesion ya wiki moja aende kwao?
maana nmempga na penzi ila haachi kuniita mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…