Kwanini Mwanamke anashindwa kujinunulia pedi?

Aiseeh [emoji848] binadamu wapo tofauti sana, hapa ndipo ninapoona umuhimu wa mwenza wangu kwasababu sijawahi kumuomba pesa ya pedi wala kumwambia aninunulie lakini cha ajabu huwa lazima aninunulie pedi kweli sikumbuki mara ya mwisho ni lini nilinunua pedi kwa mtu wangu ni kama jukumu lake leo ndio nazidi kutambua upendo wake kwangu.
Hongera sana kwa Ice wetu jomoniii[emoji1][emoji6]
 
1. Kuna mambo tunaendekeza yana walakini. kuomba pesa ya pedi kila mwezi ni upuuzi. Unatakiwa kuomba laki ya matumizi na pedi unanunua mwenyewe. Vinginevyo matusi ya hivi hatuwezi kuepuka.

2. Mwanamme kuwa na mwanamke wa namna hii, kaka angu ningemwambia amuache, huyu hawazi zaidi ya leo.
Kama anampenda sana amfundishe au awe anamnunulia boksi lake anamwekea anapumzika kusikia hayo maombi ya pedi kila mwezi.
 
Hili swali hua najiuliza kila mwezi pale ninapoombwa pesa ya pedi...najiuliza Kwanini aniombe pesa ya pedi?
Hajui kua ni wajibu wake kila mwezi atumie pedi. hivyo ajiwekee akiba kwaajili ya pedi?
Unakuta Mwanamke ana miaka 22 kwa hesabu ya haraka haraka ameanza kutumia pedi akiwa na miaka 13..hivyo mpaka miaka 22 ni kwamba ana miaka 9 ndani ya matumizi ya pedi...sasa kwanini asumbue watu kwamba bado hajajua kua ni wajibu wake yeye mwenyewe kujinunulia hizo pedi...
Binafsi naona Mwanamke anae shindwa kujinunulia pedi hafai kabisa ...ni mzigo usio bebeka kwa baadae......ni ishara mbaya iyo
Dude, hii si kitu nzuri unayoifanya, hata kama yeye ni kikwazo kwako. Naye ni binadamu yafaa aheshimiwe.
 
mmmh! mkubwa yale!!! yajayo yanatia kichaa!! yaani hadi vijihela vya taulo spesheli navyo unafungua uzi!!!
 
Una dalili zote za kua wewe ni miongoni mwa wanawake wanaoshindwa kujisimamia
 
1. Kuna mambo tunaendekeza yana walakini. kuomba pesa ya pedi kila mwezi ni upuuzi. Unatakiwa kuomba laki ya matumizi na pedi unanunua mwenyewe. Vinginevyo matusi ya hivi hatuwezi kuepuka.

2. Mwanamme kuwa na mwanamke wa namna hii, kaka angu ningemwambia amuache, huyu hawazi zaidi ya leo.
Kama anampenda sana amfundishe au awe anamnunulia boksi lake anamwekea anapumzika kusikia hayo maombi ya pedi kila mwezi.

Popote ulipo chukua MO FAYA ya baridi nakuja kulipa
 
Pole sana, ukikua utajua...

Tafuta pesa, ili usiwe unalalamikia vitu vidogo kama pedi...

Mimi wangu siyo tu kumnunulia au kumletea, mpaka kumvalisha namvalisha mwenyewe... mahondaw wangu...

Cc: mahondaw
 
Zinatakiwa zile safi kuepusha infections
Unajua kumnunulia mwenzio pedi ni kuonyesha upendo. Ukiona soksi moja kwa moja ni kwamba humpendi. Guts za kufanya hivyo unatoa wapi? Ukiweza lazima mwanamke aondoke na next month atanunua pedi kwa pesa yake akiwa mbali na wewe
 
Hapo panapokaa pedi ndio njia ya mwanao kuja duniani vilevile ndio sehemu inayokufanya uwe na huyo mwanamke kama huwezi kuhudumia uchi basi jito.mbe mwenyewe
ungeanza biashara ya mapovu ungejenga ghorofa
 
Hili swali hua najiuliza kila mwezi pale ninapoombwa pesa ya pedi...najiuliza Kwanini aniombe pesa ya pedi?
Hajui kua ni wajibu wake kila mwezi atumie pedi. hivyo ajiwekee akiba kwaajili ya pedi?
Unakuta Mwanamke ana miaka 22 kwa hesabu ya haraka haraka ameanza kutumia pedi akiwa na miaka 13..hivyo mpaka miaka 22 ni kwamba ana miaka 9 ndani ya matumizi ya pedi...sasa kwanini asumbue watu kwamba bado hajajua kua ni wajibu wake yeye mwenyewe kujinunulia hizo pedi...
Binafsi naona Mwanamke anae shindwa kujinunulia pedi hafai kabisa ...ni mzigo usio bebeka kwa baadae......ni ishara mbaya iyo

Wamejizoesha kwamba kila jambo lao LAZIMA afanye mwanaume na ndiyo maana unawaona wanarogana kupata wanaume.
 
Back
Top Bottom