Kwanini Mwanamke anashindwa kujinunulia pedi?

Kwanini Mwanamke anashindwa kujinunulia pedi?

Ushauri wako sio kuntu...

Naweka ushauri wangu hapa ili uukopi na kumfowadia huyo mvulana...

"Ukiona mwanamke wako anakuomba hela ya kununua pedi, ujue ulisahau wajibu wako wa kumnunulia. Usisubiri uombwe, nunua mapema kwa kuwa ni wajibu wako"
Amesema hua anampa pesa aasa kama anapewa s huyo dada angewekeza tu katika hizo pesa akajinunulia mwenyewe,
 
Hapo panapokaa pedi ndio njia ya mwanao kuja duniani vilevile ndio sehemu inayokufanya uwe na huyo mwanamke kama huwezi kuhudumia uchi basi jito.mbe mwenyewe
Aaaah JF raha jaman [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Unaombwa ela ya Pads unalalama mpaka uzi unafungua, je akikuomba Hela ya Gauni lasikukuu? .

Ivi kweli wee jamaa,unaweza kununua Pads, chupi, ukampelekea mwanamke wako????

Sasa ngoja niwape somo nyie wanaume wenye mawazo haya.

Kuna mambo mnayakosa kwa wapenzi wenu kwa kushindwa kua makini Tuuu,, ukitaka umfaidi mwanamke, akupe mauno ya uzazi wenyew wanasema " kususia kiuno" unapaswa kuonyesha unajali kitu alichokificha chupin kuliko kingine.

Sikia, wanunulien wapenzi zenu Pads na chupi,, hii itamuaminisha kua Unawaza sana K yake naivo inamjengea kujiamin kupita kiasi.... Tena nunua chupi naumwambie " nataka hii chupi niivue makalion mwako siku tukikutana".......hata km alikua hana mpango wa sexx , ataanza fanya mpango.

Wanunulien madem zenu chupi na pads .
Duh!
 
Asante kwakweli Lol....
 
Hizo ni dalili za ubahili mkuu.. Pedi tu za chini ya shilingi 10000 tena mara moja kwa mwezi unatokwa na povu
Je vizinga vya kununuwa nguo gari au nyumba si ndo utaua mtu kabisa?[emoji3][emoji3][emoji3]
 
This is very sad. But pia its a lesson.

As women we should learn to be independent from a temder age, as soon as we can. We grew up cocooned in the loving arms of our father's and we never lacked anything.

Sasa linakuja jitu ambalo linaanza kukerwa tu na mahesabu ya pedi. Hivi mnajua mwanamke alivyo na gharama? Its our nature, Its how we are created. Sisi ni pambo la dunia and there is nothing you can do about it. Na pambo lolote lazima litunzwe. Even a non living thing needs upkeep.🙄🙄

Ukiona kero kununua pedi na unampenda. Muwezeshe ajisimamie mwenyewe. If you can't do let her go. You cannot handle her.
 
Ndugu yangu wanawake au binadam kwa ujumla tunatofautiana, mimi bnafs siwez kuomba hela sio ya pads yoyote ile

Je kama hana pesa?? Kakuona ww ndio mpenzi wake mtu wa karib kakuomba? Ungemsaidia then ukamwelewesha kua hilo n jukum lake ikiwemo kudunduliza hela umpazo anunue ajihifadhi

Katika hili he had no right whatsoever kulalamika. Kwanza ni idara inayomhusu yeye so kama anaipenda kuhudumia isije na second thought!
 
Mkuu umemuwezesha na kitega uchumi cha kumfanya ajinunulie?
Ni vibaya ndio kuomba ma pedi mm binafsi nna miaka mingi siombagi na naona ni fedheha...
Lakini jitahidini sisi dada zenu, wapenzi nk Mtujengee misingi tukishindwa sasa Ndo mtutandike mikwaju
 
Ukishindwa kumnunulia mwanamke pendi ya buku 3 chupi ya elfu 5 utaweza kweli?
 
Hapo panapokaa pedi ndio njia ya mwanao kuja duniani vilevile ndio sehemu inayokufanya uwe na huyo mwanamke kama huwezi kuhudumia uchi basi jito.mbe mwenyewe
😀 😀 😀 😀 😛 😛 😛 😛 😛
 
Aiseeh [emoji848] binadamu wapo tofauti sana, hapa ndipo ninapoona umuhimu wa mwenza wangu kwasababu sijawahi kumuomba pesa ya pedi wala kumwambia aninunulie lakini cha ajabu huwa lazima aninunulie pedi kweli sikumbuki mara ya mwisho ni lini nilinunua pedi kwa mtu wangu ni kama jukumu lake leo ndio nazidi kutambua upendo wake kwangu.
 
Back
Top Bottom