floow
JF-Expert Member
- Mar 20, 2017
- 411
- 858
Hili swali hua najiuliza kila mwezi pale ninapoombwa pesa ya pedi...najiuliza Kwanini aniombe pesa ya pedi?
Hajui kua ni wajibu wake kila mwezi atumie pedi. hivyo ajiwekee akiba kwaajili ya pedi?
Unakuta Mwanamke ana miaka 22 kwa hesabu ya haraka haraka ameanza kutumia pedi akiwa na miaka 13..hivyo mpaka miaka 22 ni kwamba ana miaka 9 ndani ya matumizi ya pedi...sasa kwanini asumbue watu kwamba bado hajajua kua ni wajibu wake yeye mwenyewe kujinunulia hizo pedi...
Binafsi naona Mwanamke anae shindwa kujinunulia pedi hafai kabisa ...ni mzigo usio bebeka kwa baadae......ni ishara mbaya iyo