[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Hapo panapokaa pedi ndio njia ya mwanao kuja duniani vilevile ndio sehemu inayokufanya uwe na huyo mwanamke kama huwezi kuhudumia uchi basi jito.mbe mwenyewe
Teh teh tehKoh koh koh,..naweza pata chai ya tangawizi hapo jirani Wii?!
[emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19]Umbea wangu una faida.
Hahaaaampe soksi zako chakavu atumie, mwezi unaofuata atapata akili ya kununua
Hii mbinu ilishawai kunipa kyuma pasipo kutoa fedhaUnaombwa ela ya Pads unalalama mpaka uzi unafungua, je akikuomba Hela ya Gauni lasikukuu? .
Ivi kweli wee jamaa,unaweza kununua Pads, chupi, ukampelekea mwanamke wako????
Sasa ngoja niwape somo nyie wanaume wenye mawazo haya.
Kuna mambo mnayakosa kwa wapenzi wenu kwa kushindwa kua makini Tuuu,, ukitaka umfaidi mwanamke, akupe mauno ya uzazi wenyew wanasema " kususia kiuno" unapaswa kuonyesha unajali kitu alichokificha chupin kuliko kingine.
Sikia, wanunulien wapenzi zenu Pads na chupi,, hii itamuaminisha kua Unawaza sana K yake naivo inamjengea kujiamin kupita kiasi.... Tena nunua chupi naumwambie " nataka hii chupi niivue makalion mwako siku tukikutana".......hata km alikua hana mpango wa sexx , ataanza fanya mpango.
Wanunulien madem zenu chupi na pads .
Kuna dada moja alikuwa anatumia makanga alinichefua sanaHahaha umependa boga jamani penda na ua lake au hujui ukipenda waridi lazima uvumilie miiba?
Pengine ulishamzoesha kumpa ukawa humpi kaamua kukuambia, ungemstiri jamani ukamchania huko, ped zenyewe si ghali hata kama unaamua kumsaidia mtu msaidie tu auungemwambia atumie tu vitambaa safi kuepuka gharama usizozitaka
Endelea kuitumia mkuuHii mbinu ilishawai kunipa kyuma pasipo kutoa fedha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Inabidi kubadili mbinu kila wakatiEndelea kuitumia mkuu
Agiza MOFAYA ntalipa mkuu
Hayo ndo majibu ya kiume
ohooo....Hapo panapokaa pedi ndio njia ya mwanao kuja duniani vilevile ndio sehemu inayokufanya uwe na huyo mwanamke kama huwezi kuhudumia uchi basi jito.mbe mwenyewe