Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,712
- 128,392
Mmh. Huwa nashangaa saa nyingine yaani hadi vitu vyenye manufaa na ambavyo ni sehemu ya kumsitiri mwenza wako bado unaona hupaswi msaidia pesa ya kununua hicho cha kujisitiri. Duuh
Ndio sababu najisemeaga kila kukicha wanawake tujuage kutafuta vya kwetu ili kuepuka vitu ka hivi.
Kwa hili naweza sema mwenza wako kapotea njia kujiweka hapo kwako aiseeee.
Ndio sababu najisemeaga kila kukicha wanawake tujuage kutafuta vya kwetu ili kuepuka vitu ka hivi.
Kwa hili naweza sema mwenza wako kapotea njia kujiweka hapo kwako aiseeee.