Kwanini mwanamke anampenda mwanaume ?

Kwanini mwanamke anampenda mwanaume ?

''Ulishamuuliza mamaako alichompendea babaako....mbona anasura mbaya babaako...au mamaako alipenda HELA za babaako''-NAY WA MITEGO
 
Mwanamke yupi?

Wanawake hawako sawa. Kwa nini unauliza swali kama wako sawa?
Labda uje na hoja nyingine, but hii uliyoitolea mfano kusoport hoja yako ni sababu fake na ni ya uongo.
 
Tatizo hata spelling ya "support" hujui halafu unabishana makubwa zaidi.

Jifunze spelling kwanza halafu ukiweza urudi huku umeandika kitu nyoofu.
 
Unajua tofauti ya journal na kitabu?
Sijajua kama unapinga hoja au unapinga kitabu? Hukiamini hata kitu smbacho kinapatikana kiurahisi kabisa ktk vitabu unataka journal?
Au unapinga ilimradi tu unapinga?

Ukikataa kuamini kitu ambacho kina ushahidi wa kisayansi na ni applicable basi leta ushahidi na wewe unaopinga hiyo reference?
 
Kitabu mbona hata mimi naweza kuandika?

Nimeuliza article katika peer reviewed journal.

Unaelewa journal ni nini? Unajua peer review ni nini?
 
Watu wapo makazini, wengine walikufundisha kwa kutumia vitabu kama vilivyoandikwa na kupitishwa vitumike ktk masomo flani nao walikufundisha uongo?
 
Swali la mwisho kwako, unaelewa nini kuhusu delusion?
 
Nimeuliza peer reviewed journal kwa sababu ukitaka kutafuta kitabu kinachosema Waafrika ni nyani utakipata.

Je, hilo linamaanisha Waafrika ni nyani?

Unaelewa tofauti ya kitabu na peer reviewed journal?

Unaelewa hata journal ni nini?
 
Swali la mwisho kwako, unaelewa nini kuhusu delusion?
Delusion unayo wewe unayeforce crackpot theory iwe ukweli.

Weka peer reviewed journal hapa tujadili.

Vitabu hata watu walioishi kabla enzi za sayansi waliandika.
 
Hiyo ni topic katika vitabu vya psychiatry and mental health,

Reference nzuri ni kitabu cha LOUISE REBRACA SHIVES - BASIC CONCEPT OF PSYCHIATRY - MENTAL HEALTH.

Pia kipo kwenye tovuti ya mwandishi hii hapa www.ketabpezeshiki.com

Nimekuwekea screenshoot

View attachment 813806

Umeni beep, nakupigia sasa tuongee. Huwa sina hulka ya kukwepa mjadala.

Tuchambue kitabu ulichokileta hapa.

Ulipo highlight wameandika hivi.

"Sexuality is determined by anatomy, physiology, psychology, the culture in which one lives, one’s relationship with others, and developmental experiences throughout the life cycle. It includes the perception of being male or female and all those thoughts, feelings, and behaviors connected with sexual gratifi cation and reproduction, including the attraction of one person to another. —SADOCK & SADOCK, 2008"

Kwa anayetaka kusoma zaidi kupata muktadha mzima, kitabu kizima kipo online hapa http://sbmu.ac.ir/uploads/shives2012.pdf

Wapi wameandika mwanamke kumpenda mwanamke mwenzake ni sexual disorder?

Unaweza kunipa nukuu hiyo?
 
LUCKDUBE

1. Kwanza nimekuomba peer reviewed journal hujaleta, umeleta kitabu, hujui tofauti ya peer reviewed journal na kitabu.

2. Nikasema haya, umeleta kitabu, ngoja nisome nione labda kuna cha kujifunza. Hata hicho kitabu ulicholeta kama ushahidi wa kuonesha kwamba mwanamke kumpenda mwanamke ni sexual disorder, hakisemi hivyo, ulipo highlight hakuna palipoandikwa hilo. Umedanganya.

Ulipo highlight wameandika:-

"Sexuality is determined by anatomy, physiology, psychology, the culture in which one lives, one’s relationship with others, and developmental experiences throughout the life cycle. It includes the perception of being male or female and all those thoughts, feelings, and behaviors connected with sexual gratifi cation and reproduction, including the attraction of one person to another. —SADOCK & SADOCK, 2008"

Naomba unipe nukuu kutoka hichokitabu inayosema kwamba mwanamke kumpenda mwanamke mwenzake ni sexual disorder.
 
Soma neno kwa neno hatua kwa hatua, then uone jinsi ulivyo danganya
Screenshot_2018-07-20-16-43-13.jpeg
 
Umenitaka nisome neno kwa neno.

Nimesoma neno kwa neno.

Unafahamu maana ya neno "may" ?
[emoji1]
This is red herring,
Usidivert mjadala ulitaka nukuu sasa hivi unataka neno?

Jibu swali "kwanini mwanamke anampenda mwanaume?"
 
Mkuu kiranga,

Unataka nukuu nyingine tena nkutumie?
[emoji23]
 
[emoji1]
This is red herring,
Usidivert mjadala ulitaka nukuu sasa hivi unataka neno?

Jibu swali "kwanini mwanamke anampenda mwanaume?"
Hujajibu swali, unaelewa maana ya neno may?

Nikikwambia pombe inaweza kusababisha kichaa, maana yake kichaa kinasababishwa na pombe?
 
Mwanamke anampenda mwanaume kwa sababu ya utajiri au pesa ?
Vipi kuhusu wake za matajiri wanaotoka kimapenzi na masikini ?

Je mwanamke anampenda mwanaume kwa sababu ya shoo nzuri na pumzi kunako 6*6 ?
Je vipi kuhusu ma askari na wapiga gym wanaojiua kisa wake zao kuchepuka ?

Mwanamke anampenda mwanaume aliyeanza nae kama rafiki kwa muda mrefu, wakasaidizana mambo mengi kama marafiki, wakafahamiana kwa kina, wakaendana kitabia kisha wakaingia kwenye mahusiano,

Huyo ndio mwanaume anayependwa na kukumbukwa na mwanamke nyakati zote ? .

Swali ni je kwanini mwanamke anampenda mwanaume ?
Swali gani hili mkuu? Mbona jibu lake lipo wazi sana. Mwanamke anampenda mwanaume kwa sababu moja tu: kit0mb0!!! Mwanamke inatakiwa umt0mb3 hadi atapike sh@h@w@ ndipo atakuelewa. Wewe endelea kumchekea uone jinsi masela yatakavyokut0mb3A!
 
Hujajibu swali, unaelewa maana ya neno may?

Nikikwambia pombe inaweza kusababisha kichaa, maana yake kichaa kinasababishwa na pombe?
Hili swali limekushinda, nakuletea lingine ambalo hakuna hata mmoja aliyeweza kulijibu
 
Hujanionesha wapi pameandikwa kwamba mwanamke kumpenda mwanamke mwingine ni sexual disorder.

Hujaleta sehemu ilipoandikwa hivyo.

Ulicholeta hakijaandika hilo, labda wewe hujui kusoma.
 
Back
Top Bottom