Kwanini mwanamke anampenda mwanaume ?

Kwanini mwanamke anampenda mwanaume ?

Kasome urudi kufuta maneno yako,
Hiyo picha kwa mtu sharp angeelewa but what i spot out to you hiki ni kitu kigeni kwako,
Unahitaji lecture,

Soma uelewe pia kwa faida yako,
Utaelewa pia how lesbians and gays are evolved,

Soma urudi usipo elewa sema tukupe shule mkuu,
Haya mambo hayana mbwe mbwe.
Kwenye hiyo picha wapi wameandika au kumaanusha kwamba mwanamke kumpenda mwanamke ninsexual disorder?

Si unesema tusome neno kwa neno?

Sasa mbona huwezi kunioa nukuu hiyo?

Hapo juu ulipoweka highlight ya njano wameeleza mambo mengi yanayoleta sexual orientation, mpaka utamaduni.

Utamaduni wa watu ni disorder?
 
Hii kitu waliosoma psychiatry watakucheka wakiona unavyobisha kitu ambacho kipo, ni sawa na kubisha kuwa malaria inasababishwa na mbu jike, ukidai uonyeshwe kifungu cha maneno ilihaki watu wanasoma kama topic

Hii sio sheria mkuu,
Kuwa tu mpole,
Watu na taaluma zao,

Ila swali halina uhusiano na taaluma yeyote ni social question, wewe ndio unaleta ujuaji kwenye professionalism
Unalazimisha habari.

Nimekuambia nipe palipoandikwa kwamba mwanamke kumpenda mwanamke ni sexual disorder.

Mpaka sasa hujanipa palipoanikwa hilo.

Unanionesha tu kwamba hujui kusoma na unalazimisha unachofikiri wewe nsiyo kiwe kimeandikwa kitabuni, wakati kitabu hakijaandika hilo.
 
Wote hawana majibu ilihali wana waume zao, wanakimbilia kunukuu biblia wakati sisi tunataka uhalisia
Hilo swali kila mmoja ana jibu lake, kwa hiyo huwezi kupata jibu moja.

Hata na sisi wanaume tukiulizwa kila mmoja atajibu jinsi anavyoona inafaa kwa mtazamo wake.
 
Unalazimisha habari.

Nimekuambia nipe palipoandikwa kwamba mwanamke kumpenda mwanamke ni sexual disorder.

Mpaka sasa hujanipa palipoanikwa hilo.

Unanionesha tu kwamba hujui kusoma na unalazimisha unachofikiri wewe nsiyo kiwe kimeandikwa kitabuni, wakati kitabu hakijaandika hilo.
Hii ni janja ya kukwepa mjadala,

Huna kipya zaidi ya kubisha tu ilimradi unabisha, tena inawezekana hata kitabu huna,

Unachobisha hakina msingi wowote na hakiondoi ukweli,

Tafuta wataalam wa psychistry huko uliko waulize "mwanamke kumpenda mwanamke mwenzie ni disiorder?"

Ukitoka huko fananisha majibu na kwenye hicho kitabu then rudi hapa ujibu swali,

Ukishindwa basi tafuta source yeyote soma kuhusu sexuality disiorder
 
Kitabu sina wakati nimeweka link ya pdf hapa?

Acha uongo uongo.

Weka nukuu hapa.

Wapi kitabu kimeandika mwanamke kumpenda mwanamke ni sexual disorder?

Weka nukuu hiyo neno kwa neno tuichambue hapa.

Isije kuwa hujui kusoma Kiiingereza unalazimisha maruweruwe yaliyo kichwani mwako yawe yameandikwa kwenye kitabu.

Hujaweka nukuu hiyo.

Weka nukuu tuchambue hapa.
 
Hilo swali kila mmoja ana jibu lake, kwa hiyo huwezi kupata jibu moja.

Hata na sisi wanaume tukiulizwa kila mmoja atajibu jinsi anavyoona inafaa kwa mtazamo wake.
Asante.

Nimeandika hili kitambo.

Lakini kuna vichwa vigumu kuelewa jambo dogo tu.

Vichwa vigumu kuliko nazi.
 
Wewe sababu ulizotoa ni za uongo
Sasa unataka uchambuzi wa neno kwa neno wakati kitabu unacho?

Unataka niscreenshot topic yote?
 
Hilo swali kila mmoja ana jibu lake, kwa hiyo huwezi kupata jibu moja.

Hata na sisi wanaume tukiulizwa kila mmoja atajibu jinsi anavyoona inafaa kwa mtazamo wake.
Hayo majibu ni yapi mkuu?
 
Wewe sababu ulizotoa ni za uongo
Sasa unataka uchambuzi wa neno kwa neno wakati kitabu unacho?

Unataka niscreenshot topic yote?
Hapana. Nipe sentensi au paragraph inayosema mwanamke kumpenda mwanamke ni sexual disorder.
 
Nikupe ya nini wakati kitabu unscho,

Nakuuliza swali la mwisho,

Kwa mtizamo wako,
"Mwanamke kumpenda mwanamke mwenzie", ni normal au ni abnormal?
 
Sasa unataka nikufanyie argument yako wewe mwenyewe kwa uzembe wako?

Unashusha mjadala sasa, kutoka"sexual disorder" ambayo umeona kwenye kitabu haijasemwa, mpaka "normal/ abnormal" ?

Umekubali kwanza kwamba kitabu hakijaandika kwamba mwanamke kumpenda mwanamke ni sexual disorder?
 
Kitabu kimeeleza kinaga ubaga, sema wewe ni mgumu kuelewa,

Basi turudi kwenye hoja yako uliyoileta wewe mwenyewe,

"mwanamke kumpenda mwanamke mwenzie", kwa mtazamo wako ni kawaida au sio kawaida?
 
Wapi kitabu kimeeleza kinaga ubaga?

Una hakika kitabu kimeeleza kinaga ubaga au ni wewe unaona maruweruwe yaliyo kichwani mwako ukalazimisha kitabu iwe kinasema hivyo wakati kitabu hakijaandika hilo?

Weka mstari wa kutoka nukuu yako ya kutoka kwenye kitabu inayoeleza kwamba mwanamke kumpenda mwanamke ni sexual disorder.

Acha longolongo.

Hujajibu la "sexual disorder" kwa sababu umeona ulivyochemsha, unataka kubadili swali kwenda "kawaida"?

Ushakubali kwamba umechemsha kwenye "sexual disorder" kwanza?
 
na wanaume wanapenda nini kwa wanawake...kinyume chake ni sawa
 
Wapi kitabu kimeeleza kinaga ubaga?

Una hakika kitabu kimeeleza kinaga ubaga au ni wewe unaona maruweruwe yaliyo kichwani mwako ukalazimisha kitabu iwe kinasema hivyo wakati kitabu hakijaandika hilo?

Weka mstari wa kutoka nukuu yako ya kutoka kwenye kitabu inayoeleza kwamba mwanamke kumpenda mwanamke ni sexual disorder.

Acha longolongo.

Hujajibu la "sexual disorder" kwa sababu umeona ulivyochemsha, unataka kubadili swali kwenda "kawaida"?

Ushakubali kwamba umechemsha kwenye "sexual disorder" kwanza?
[emoji16]
Sasa kama haukielewi ulichokiandika mwenyewe,
Cha kwenye kitabu utakielewa vipi,

Hebu iangalie hoja yako
"mwanamke kumpenda mwanamke"

Nimekuuliza kwa mtizamo wako ni kawaida au sio kawaida?
 
Umekubali kwamba kitabu hakijaandika kwamba mwanamke kumpenda mwanamke ni sexual disorder?

Hujamaliza mjadala huu, kwa nini unaukimbia na kukimbilia mwingine?

Kwa sababu umeshaona kwamba umechemka?

Sitaki kukuachia kwenye swali hili na kurukia jingine, wakati hili hujalimaliza bado.

Umekubali kwamba umechemka na kwa kuchemka kwako huko, unabadilisha swali sasa?
 
Hebu tafsiri hiyo screenshoot ya pili kwa uelewa wako umeilewaje?
Tuanzie hapo kwanza?
 
Back
Top Bottom