Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,318
jmn nakusubiria kwetu panaitwa pm[emoji23]Haaaaa haaaa nyumbani tena [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
jmn nakusubiria kwetu panaitwa pm[emoji23]Haaaaa haaaa nyumbani tena [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sipajui jamanijmn nakusubiria kwetu panaitwa pm[emoji23]
Tabia tunajifunza, we can change!!Bradha tabia ni kama ngozi kubadilika ni nguvu hapo, kinachofuata ni
utii wa kinifiki tu ukitoka naye anachanganya na zake
Kwanza nimefurahi ujio wako ktk thread hii, ktk jukwaa hili.Unauliza "mwanamke" kama vile wanawake wote wako sawa.
Women are not monolithic.
Unauliza sababu za mwanamke kumpenda mwanamme, wakati kuna wanawake wengine hawapendi wanaume, wanapenda wanawake wenzao.
Be specific please.
Weee usije jidanganya eti nikioa au kuolewa naye atabadilika labdaTabia tunajifunza, we can change!!
Yeah, nilikua nnazungumzia ikiwa mpo kwenye ndoa tayari.Weee usije jidanganya eti nikioa au kuolewa naye atabadilika labda
umbadilshe kabla hamjaianza safari japo si wote, labda mimi huishi kulingana na mazingira yakazi [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Kwanza kuna mjadala mrefu na mzito kama mwanamke kumpenda mwanamke ni ugonjwa, umeleta habari hiyokijuujuu sana kiasi kwamba imekuwa kama unalazimisha kitu kwa sababu za ideology zaidi kuliko ukweli wa mambo yanayoweza kuthibitishwa kibaiolojia.Kwanza nimefurahi ujio wako ktk thread hii, ktk jukwaa hili.
Naam,
Hapa tunazungumzia "why women loves men?"
Hii ndio objective ya swali,
Hayo mambo mengine ya mwanamke kupenda wanawake wenzao n.k ni exclusive kwenye huu mjadala kwa sababu hiyo ni personality disorder (sexuality disiorder and sexual identinty problems) hili kundi liko kwenye wagonjwa wa psychiatry, na mtu au watu wa namna hii tiba zake na management zinafahamika hata hapa bongo zipo.
Swali kwako ni kwamba
"kwanini mwanamke anampenda mwanaume?"
Akikujibu naomba unitag. Nimelipenda swali lako gumuKwamba,
"mwanamke anampenda mwanaume asiyekuwa nae, akiwa nae anampenda mwingine tena"
Nimeipata point yako,
Swali kwako,
Kama mwanamke anampenda mwanaume asiyekuwa naye,
Akiwa naye anapenda mwingine tena,
Je wanawake wote ni MALAYA ?
Bible inasema mwanamke amuheshimu/kumtii mumewe na mwanaume ampende mkewe hii inamaa saana!!Mwanamke anampenda mwanaume kwa sababu ya utajiri au pesa ?
Vipi kuhusu wake za matajiri wanaotoka kimapenzi na masikini ?
Je mwanamke anampenda mwanaume kwa sababu ya shoo nzuri na pumzi kunako 6*6 ?
Je vipi kuhusu ma askari na wapiga gym wanaojiua kisa wake zao kuchepuka ?
Mwanamke anampenda mwanaume aliyeanza nae kama rafiki kwa muda mrefu, wakasaidizana mambo mengi kama marafiki, wakafahamiana kwa kina, wakaendana kitabia kisha wakaingia kwenye mahusiano,
Huyo ndio mwanaume anayependwa na kukumbukwa na mwanamke nyakati zote ? .
Swali ni je kwanini mwanamke anampenda mwanaume ?
Mkuu Kiranga,Kwanza kuna mjadala mrefu na mzito kama mwanamke kumpenda mwanamke ni ugonjwa, umeleta habari hiyokijuujuu sana kiasi kwamba imekuwa kama unalazimisha kitu kwa sababu za ideology zaidi kuliko ukweli wa mambo yanayoweza kuthibitishwa kibaiolojia.
Ila sitatakaku derail mada kwa kwenda huko.
Sababu yangu kutoa mfanohuo wa extreme ni kuonesha kwamba hakuna sababu moja ya mwanamke kumpenda mwanamme, na wanawake tofauti wako tofauti na wanapenda wanaume kwa sababu tofauti.
Ndiyo maana kuna hata wanawake wasiopenda wanaume, wanapenda wanawake wenzao.
Kutaka kupata sababu fulani inayofanya wanawake wawapende wanaume, ni sawa na kusema wanawake wote wako sawa na wanawapenda wanaume kwa sababu sawa, kitu ambacho si kweli.
Kwa hiyo swali la"Ka nini mwanamke anampenda mwanamme" kwa kulenga kupata sababu inayomfanya mwanamke ampende mwanamme ni swali potofu, kwa sababu lina aasume kwamba kuna sababu maalum ya mwanamke kupenda mwanamme.
Wakati kuna sababu kedekede.
NB: "Why women loves men?" is grammatically incorrect.
Swali unalikosea kuanzia grammar mpaka context.
Unaweza kunitofautishia kati ya upendo na unafiki?Bible inasema mwanamke amuheshimu/kumtii mumewe na mwanaume ampende mkewe hii inamaa saana!!
Na maana yake n kwamba mwanamke haangalia ulichonacho/huna akpenda kapenda yan ktk hl swala wao walshafuzu isu ipo kweny kumtii tu mumewe coz kiupand flan mwanamke akishajua madhaif ya mumewe hasa in 6*6 kuna kaheshma kanashuka ndo mkaambwa mtii msianze kuzngua hshma ibak palepale.
Na ss wanaume ktk hatua za mwanzo tunakuwa tunapenda kwkwl hasa kama hujapata naniliu utajituma sana kucare na malvlv lakn ukishaizoea tu kale kaupendo kanaanza kushuka sasa tunaanz kutafuta best quality hahah wanaume Mungu atusameh kwa kwl ndo maana na ss tukaambwa tupend wake zetu kwa ilishajulkana kuna kpnd itafka yataanza kutushnda.
Kwa mtazamo wangu lakn!!
Tupe reputable journals zinazosema mwanamke kumpenda mwanamke ni ugonjwa.Mkuu Kiranga,
Maelezo yako yanaweza kuwa mazuri pamoja na mtazamo wako ktk swali hili, lakini kumbuka kuwa huo ni mtizamo wako,
Sikubaliani na hoja yako kwa sababu mwanamke kumpenda mwanamke mwenzake kisayansi ni ugonjwa, una diagnosis, treatment na management (rejea SEX IDENTITY AND SEXUALITY DISIORDER), Huu ni ugonjwa kama magonjwa mengine ya akili (psychiatry). Hivyo basi hili kundi ni kundi la wagonjwa kama wagonjwa wengine (rejea definition ya HEALTH),
Kwa maelezo hayo ni wazi utetezi wa hoja yako umekosa mashiko kwa sababu nilizozitaja hapo juu, tumia dakika chache kupitia hata kusoma utaona ukweli wa utetezi wako ulivyo potofu,
Hivyo basi hili swali ni sahihi na ni valid,
Njoo na hoja nyingine ukikosa jibu swali mkuu
Hiyo ni topic katika vitabu vya psychiatry and mental health,Tupe reputable journals zinazosema mwanamke kumpenda mwanamke ni ugonjwa.
Weka link hapa.
Usiandike kwa kulazimisha.
Usitafsiri maneno ya biblia moja kwa moja bila kufanya uchanganuzi... Ni kwel Neno linasema enyi wanawake watiini waume zenu... Lakini hii haimaanishi kwamba hamtakiwi kuwapenda wanaume... Hapo ndo unapochanganya.. Coz umekaririExactly,. Neno la Bwana limesema,."enyi waume wapendeni wake zenu....."na enyi wake watiini waume zenu..." Sasa hii vita itaisha tukifata misingi iliyokuwako.
Mwanamke yupi?Mkuu kiranga,
Hoja yako haina mashiko, swali ni valid.
Jibu swali,
"kwa nini mwanamke anampenda mwanaume?"