Kwanini mvua hainyeshi kwa msimu wa kiangazi?

Puyet Babel

JF-Expert Member
Aug 29, 2013
3,597
2,000
salamu wakuu!
nimejaribu kusoma na kufikiria kwa mapana zaidi na nikaweza kuielewa hydrological cycle vizuri ni procedure zipi hutumika mpaka mvua kufanyika na kushuka ardhini kwa kunyesha ikimwaga mwaji!

Mvua imekua ikichagua misimu ya kunyesha, huku nikizitazama criteria zinazosapoti mvua zikipatikana katika misimu yote ya mwaka!

Swali hapa ni kwanini msimu wa masika unatawaliwa na mvua, lakini kiangazi mvua inatoweka na hainyeshi kabisa?

Wataalamu niwekeni sawa hapa
 
thesym

JF-Expert Member
Aug 15, 2012
3,357
2,000
Mi nadhani kipindi cha kiangazi dunia inakuwa ipo point ya karibu na jua katika mzunguko wake wa kuzunguka jua, hivyo evaporation inakuwa ni kubwa sana Kutokana sun radiations kuwa kubwa kiasi kwamba inafanya kuwa ngumu Yale maji yaliyopanda kama mvuke kwenda angani kucondense kwa kipindi hiko ili baadae yawe kimiminika na kushuka ardhini kama mvua.
 
Asante kwa jibu!
 
Twalyaninkomi

JF-Expert Member
Oct 31, 2016
265
250

tupe ufafanuzi zaidi hapa!
hua inakuaje kipindi cha winter pia unakuta jua linawaka kwa ukali zaidi then linapoa na mvua inanyesha?
 
Shegynho

Senior Member
Jun 5, 2016
182
250
tupe ufafanuzi zaidi hapa!
hua inakuaje kipindi cha winter pia unakuta jua linawaka kwa ukali zaidi then linapoa na mvua inanyesha?
Hayupo sahihi Mkuu, kwetu hapa Tanzania na East Africa in General mvua hainyeshi kipindi cha winter Bali huanza kunyesha kiangazi kinachoanza november
 
MTENDAHAKI

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
4,012
2,000
salamu wakuu!
nimejaribu kusoma na kufikiria kwa mapana zaidi na nikaweza kuielewa hydrological cycle vizuri ni procedure zipi hutumika mpaka mvua kufanyika na kushuka ardhini kwa kunyesha ikimwaga mwaji!

Mvua imekua ikichagua misimu ya kunyesha, huku nikizitazama criteria zinazosapoti mvua zikipatikana katika misimu yote ya mwaka!

Swali hapa ni kwanini msimu wa masika unatawaliwa na mvua, lakini kiangazi mvua inatoweka na hainyeshi kabisa?

Wataalamu niwekeni sawa hapa
Hii ni jiografia ya shule ya msingi! Maana ilikuwa simple sana kuliko hydrology ...!
Jiographia nyepesi inasema hivi
1. Dunia ikijizungusha kwenye muhimili wake (24hrs) tunapata usiku na mchana
2. Dunia ikilizunguka jua (365-366 days) tunapa majira (yaani kiangazi, vuli, masika...), kwenye dunia kulizunguka JUA ndio hasa kuna vigezo unavyoulizia kwa nn mvua hainyeshi kuangazi!
 
Niambie sasa mkuu kwanini hainyeshi kiangazi
 
Puyet Babel

JF-Expert Member
Aug 29, 2013
3,597
2,000
Mi nadhani kipindi cha kiangazi dunia inakuwa ipo point ya karibu na jua katika mzunguko wake wa kuzunguka jua, hivyo evaporation inakuwa ni kubwa sana Kutokana sun radiations kuwa kubwa kiasi kwamba inafanya kuwa ngumu Yale maji yaliyopanda kama mvuke kwenda angani kucondense kwa kipindi hiko ili baadae yawe kimiminika na kushuka ardhini kama mvua.
Mkuu vp kwa masika ya awamu hii mbona mvua hakuna?
unaisemeaje hii
 
ndayilagije

JF-Expert Member
Nov 7, 2016
7,472
2,000
salamu wakuu!
nimejaribu kusoma na kufikiria kwa mapana zaidi na nikaweza kuielewa hydrological cycle vizuri ni procedure zipi hutumika mpaka mvua kufanyika na kushuka ardhini kwa kunyesha ikimwaga mwaji!

Mvua imekua ikichagua misimu ya kunyesha, huku nikizitazama criteria zinazosapoti mvua zikipatikana katika misimu yote ya mwaka!

Swali hapa ni kwanini msimu wa masika unatawaliwa na mvua, lakini kiangazi mvua inatoweka na hainyeshi kabisa?

Wataalamu niwekeni sawa hapa
Katika hiyo hydrological cycle ulielewaje?na hizo criteria ni zipi?
Je halijoto ya mahali unapoishi wewe iko constant? Fafanua hapo halafu tuanze kujadili,siyo eti kukupa majibu ni kujadili.Naamini tutaelewana.
 
Puyet Babel

JF-Expert Member
Aug 29, 2013
3,597
2,000
Katika hiyo hydrological cycle ulielewaje?na hizo criteria ni zipi?
Je halijoto ya mahali unapoishi wewe iko constant? Fafanua hapo halafu tuanze kujadili,siyo eti kukupa majibu ni kujadili.Naamini tutaelewana.
Criteria nazojua mimi ni ocean current, relief, vegetation, temperature&climate
kwa upande wa hali joto ni inabadilika badilika kwaujumla haipo kostant
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom