Kwanini mvua hainyeshi kwa msimu wa kiangazi?

Mkuu vp kwa masika ya awamu hii mbona mvua hakuna?
unaisemeaje hii
Kwa maoni yangu nionavyo, swala kuongezeka kutoboka kwa ozone layer na kuongezeka hewa za carbon zimesababisha kubadilika kabisa kwa hali ya hewa na misimu ya mvua kuwa isivyo ya kawaida kwa maana hata joto limeongozeka kitu ambacho kinasababisha rate ya evaporation kuwa kubwa, barafu kuyeyuka na kuongezeka kwa vina vya maji vya bahari.
 
Safi sana mkuu
 
Back
Top Bottom