Kwanini Mungu yupo?

Ni kama kuna kitu unajaribu kunionesha afu kipo kwa mbali unaishia kusema "kale"

Kale kanini?
Duu!! jamii F big up sana!! kuumbe inaenda mbali sana kuna mpaka wa kabila la wagagagigikoko?
 
Mungu asimamii wanadamu pekee Hata viumbe vingine sayari zingine vinavyoonekana na visiovyoonekana pia.

Binadamu ni sehemu tu ya viumbe, hata usipomuabudu Mungu hana hasara ana viumbe vingine vingi pia kuliko wanadamu kwenye atmposhere zingine
 
Biblia hiyo hiyo!! ikasema kuwa Mwanamke (Hawa) ni Mama wa viumbe vyooote!.........kumbuka viumbe hao ni wanadamu woote! wasio mjua Mungu na wanao Mjua Mungu wa kweli!!

Kama weye ni kiumbe wake utamjua tyuuuu! hata iweje.....na wasio wake kamwe hawatamjua...ndo km hvi mara Mungu hayupo! mara tumetokea tuu!

kwani majini na vinyamkera weye huvioni??...kwa nini havionekani?? penye nguvu Negative, lazima chanya ipo! ...........simple tuu!
 
Uko sahihi kabisa, ila nilichokuwa najaribu kusema hapa ni kuwa kusudi la Mungu kukuumba wewe ni ili umwabudu.

Kwa hiyo kwa upande wako wewe, Mungu yupo ili umwabudu.

Kwa upande wake yeye, uwepo wake haukuhitaaji wewe kuwepo kwa ajili ya kumwabudu; yupo bila kujali uwepo wako wewe. Uko sawa kabisa
 
Kama Mungu ni energy na kwamba energy haiumbwi wala haiwezi kuangamizwa

Basi energy zote ambazo zipo hapa ulimwenguni hazijaumbwa na Mungu, na vile vile hana uwezo wa kuziangamiza
 
Kama Mungu ni energy na kwamba energy haiumbwi wala haiwezi kuangamizwa

Basi energy zote ambazo zipo hapa ulimwenguni hazijaumbwa na Mungu, na vile vile hana uwezo wa kuziangamiza
Mungu ni nguvu huvu hiyo hubadilika kutoka form moja kwenda nyingne and virse verva , yan maji mvuke barafu and virse versa
 
nmekuelewa bossi
 
Mungu ni nguvu huvu hiyo hubadilika kutoka form moja kwenda nyingne and virse verva , yan maji mvuke barafu and virse versa
Nimekuelewa na ndio maana nimekuambia kwa fact hiyo basi Mungu sio muumba wa vyote kwasababu hizi energy za hapa ulimwenguni zipo, na since enegry haiumbwi basi mchango wa Mungu katika kuumba energy ni zero
 
energy hiyo kwa uelewa wetu ndo tumeiita Mungu ipo ndan yetu na ndio hutuongoza kwa tunavyovijua kimwil na tusivyovijua kimwil
 
energy hiyo kwa uelewa wetu ndo tumeiita Mungu ipo ndan yetu na ndio hutuongoza kwa tunavyovijua kimwil na tusivyovijua kimwil
Kama ipo ndani yako maana yake na wewe una energy

Na kama una Energy maana yake hufi

Na kama hufi maana yake huhusishwi kwa namna yeyote na kuumbwa na Mungu kwasababu energy haiumbwi
 
Kama ipo ndani yako maana yake na wewe una energy

Na kama una Energy maana yake hufi

Na kama hufi maana yake huhusishwi kwa namna yeyote na kuumbwa na Mungu kwasababu energy haiumbwi
ni kweli sifi kinachofanyika ni hyo energy kuchange kwenye state nyingne tu , swala la uumbaji naomba tutazame kwenye mfumo wa energy kuwa tu kwenye state nyngne. chukulia mfano wa watoto wawili walio tumboni kwa mama yao , huko ndn wajadili swala la kwamba hakuna mama , ndivyo sisi tunaona hakuna Mungu

siku ukipata mafanikio ya kutoka kwenye gereza la mwili utajua kumbe kuna mengne zaidi ya ulivyokua unafikiri kwemye mwili wenye mipaka yake.
 
Eti mtu unataka kujua √(3) inafanywaje hali hujui 1+1 inafanywaje !!! 🤣--- elimu zingine zahitaji kupitia hatua baada ya hatua.
 
Mimi Ninaamini Mungu yupo, ila Nataka kujua sababu ya yeye kuwepo
 
Mungu asimamii wanadamu pekee Hata viumbe vingine sayari zingine vinavyoonekana na visiovyoonekana pia. Binadamu ni sehemu tu ya viumbe, hata usipomuabudu Mungu hana hasara ana viumbe vingine vingi pia kuliko wanadamu kwenye atmposhere zingine

Kwahyo viumbe wote wa kwenye Huu ulimwengu ndio wamemfanya Mungu awepo?
Hawa viumbe wasingekuwepo na Mungu asingekuwepo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…