🤣🤣🤣🤣 sjui kwa nn nacheka , meditation haijaharibu vijana mkuu ... the kingdom of God is within you. Afu meditation gives you answers, you should try itSina dini.
meditation ime tuaribia vijana.
+Chakra+Kundalini+yoga aya Mambo ni uchawi mtupu, na ndio chanzo cha aya .
Shog wewesjui kwa nn nacheka , meditation haijaharibu vijana mkuu ... the kingdom of God is within you. Afu meditation gives you answers, you should try it
inategemea ni meditation gn unfanya mkuu , katika kuifanya kuna grace zake pia kulingana na dhumuni la soul yako , mfono mzur ni kina tesla , thomas edson, na nk walifanya wakapata mafunuo kwenye science , wengine akili kubwa kma kina sanghuru, wengne peace full mind , na utulivu wa nafsi, ila kwa ww unatakiwa upate utulivu wa nafsi na uwe positive ingekusaidia sana mkuu.Shog wewe
Huja jaribu Bado alafu una nambia Ni try it.
Majibu gani italeta?? umesha pata formula ya kutengeneza gari au injini la meli??
Umesha jua kwa Nini mashoga Yana shamiri??
Nataka wewe unambie hapa bongo Nani kavumbua kitu Fulani kwa kumediteti,inategemea ni meditation gn unfanya mkuu , katika kuifanya kuna grace zake pia kulingana na dhumuni la soul yako , mfono mzur ni kina tesla , thomas edson, na nk walifanya wakapata mafunuo kwenye science , wengine akili kubwa kma kina sanghuru, wengne peace full mind , na utulivu wa nafsi, ila kwa ww unatakiwa upate utulivu wa nafsi na uwe positive ingekusaidia sana mkuu.
mkuu umejuaje tunaingiwa na madimon au umesimuliwa ? ugunduzi mbona upo tu ata kma mtu hafanyi meditation , tanzania watu niwabunifu na wagunduzi wakubwa sema tumechagua kuwakubali wazungu kuliko uwezo wetu, mtoto alie zoea kupewa kamwe hawezi kuwa na uwezo wakutatua changamoto .Nataka wewe unambie hapa bongo Nani kavumbua kitu Fulani kwa kumediteti,
Hakuna tofauti na maono ya yesu na babaake.
Tunaitaji uvumbuzi wa vitu na sio kelele.
Nyie mnaingiwa na madimon ndio Mana mna uwezo waku mwomba mtu kitu\kazi na aka kupa haraka.
Fanya kazi hachana na mambo ya ovyo Kama hayo.mkuu umejuaje tunaingiwa na madimon au umesimuliwa ? ugunduzi mbona upo tu ata kma mtu hafanyi meditation , tanzania watu niwabunifu na wagunduzi wakubwa sema tumechagua kuwakubali wazungu kuliko uwezo wetu, mtoto alie zoea kupewa kamwe hawezi kuwa na uwezo wakutatua changamoto .
mkuu pia mafanikio yangu kwenye meditation , nmeyajua madawa mbalimbali , naweza kujiponya , naona jambo kabla halijatokea najua dhumuni langu ninni , najua mimi ni nani , nilikua wap nipo kwasababu gn , nitaenda wap , kifo ni nn kina faida gan na hata kupata uzoefu nacho , kusali ni kumwomba Mungu , kutaamuli nikusikiliza sauti ya Mungu , dini zote duniani zina kipande maalumu cha kumeditate japo kwa uchache .Nataka wewe unambie hapa bongo Nani kavumbua kitu Fulani kwa kumediteti,
Hakuna tofauti na maono ya yesu na babaake.
Tunaitaji uvumbuzi wa vitu na sio kelele.
Nyie mnaingiwa na madimon ndio Mana mna uwezo waku mwomba mtu kitu\kazi na aka kupa haraka.
mkuu nani kakuambia kipaumbele chako nikipaumbele changu ? nifanye kazi alafu? nipate pesa nikisha pata pesa alafu, niishi vzur nikishaishi vzur alafu, nifurah nikishafurah alafu , nife nikishakufa alafu ndo basi ikishakua basi alafu ----- hakuna jambo zuri kama kuishi uku unajitambua wewe ni nani , umetoka wap na unaenda wap na dhumuni lako ni nin, simamia vipaumbele vyako , pia ata usipojua hayo wala hautapata hasara zaidi ya kutafuta kitu ambacho tayari unachoFanya kazi hachana na mambo ya ovyo Kama hayo.
Tatizo letu tuna taka Mambo maraisi na ndio shida inakuja.
Mnafanya uchawi.
tatzo unakuja kugundua ata hizo za kuchanganya hunaZa kuambiwa changanya na za kwako...
Yeye Hana cause?Nikifuatilia mwanzo wa maisha yangu sipati jibu, basi kuna mwanzo wa vitu vyote, na ni "first cause' ambae ni Mungu.
Sent using Jamii Forums mobile app
ni simple tu mkuu ile intelligence iliyoweka rangi tofauti kwa kinyonga ili aweze kujihami kwenye mazingira, ile nguvu na intelligence iliyopangilia mfumo wa nerve system katika nyuzi ndogo zenye mpangilio maalumu, ile nguvu na intelligence ilyotambua tunahitaji mvua na maji ili tuishiNikifuatilia mwanzo wa maisha yangu sipati jibu, basi kuna mwanzo wa vitu vyote, na ni "first cause' ambae ni Mungu.
Sent using Jamii Forums mobile app
ukisema yeye, unabinafsisha uwezo mkuu wa nguvu kuu na intelligence kuu iliyoweka mipaka na isiyokua na mipaka , kitu chenye cause lazima kiwe frem na mda flan ambapo pia mda ni illusion , ambayo ni man made illusion.Yeye Hana cause?
ukishasema mwanzo na mwisho umeshafrem nguvu na intelligence kuu katika mipaka ya mda ambapo muda ni illusion na ni man made illusion , kila kitu kipo sasa hamna future , hyo future ni illusion tu unayoitengeneza kichwani , najenga sasa nakula sasa nasoma sasa ukisema nitajenga kesho ni illusion tu haina uhalisia wowote umeijenga kichwan tu .Nikifuatilia mwanzo wa maisha yangu sipati jibu, basi kuna mwanzo wa vitu vyote, na ni "first cause' ambae ni Mungu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kuna faida yeyote anayoipata basi huyo Mungu sio mkamilifu na hajitoshelezi, kwaTatizo unataka majibu yako na siyo Mambo yalivyo..inaelekea hujanielewa..faida nimesema anajua yeye,ni Kama wewe na mwanao,utataka akuheshimu,unapata faida gani akikuheshimu!?..unaweza kutuonesha faida ya mwanao kukuheshimu!?
Alikuwa akifanya nini katika hicho kipindi?Mungu alikuwepo kabla ya uwepo wa wanadamu.
Binadamu anataka kuheshimiwa sababu ya mapungufu yake.Kudharauliwa ni kinyume Cha kuheshimiwa...kutoheshimiwa si lazima utukanwe,bado hujaonesha faida ya kuheshimiwa na mwanao...na asipokuheshimu unapata hasara gani?..tuoneshe