Mkaa wa mawe
JF-Expert Member
- Jun 28, 2020
- 5,038
- 7,454
Ni mabaya sababu kutokana na uwezo wa kutambua mema na mabaya hayo mabaya ni mabaya.Kwani mabaya ni mabaya?
Kwanini aliyaumba?
Mimi sidhani na sina uhakika kama mungu anajua anachoenda kuchagua mtu.Ili freewill iwepo inatakiwa Mungu asijue atachoenda kuchagua mtu
Free will unayo kama isingekuwepo basi wewe usingechagua kuniquote.Binadamu hatuna free will kama mungu anajua yote yatakayo tokea mbeleni na kingine ww unajuaje una free will
ilii aendelee kumwaminiUnatafuta nini!?..namaanisha ukijua kwa nini yupo unapata nini?..unahitaji nini katika hilo?
Tunaabudu kwa kuwa tunatambua kuna nguvu , mamlaka iliyoi juu yetuu...Kwahyo Jibu lako ni kuwa binadamu hatuwezi kung'amua swali langu??
Kwanini hatuwezi? Je Quran imesema hatuwezi kung'amua swali langu?
Kama tumeumbwa kuabudu...kwanini tunaabudu? Mungu anapata faida Gani na ibada zetu?
Freewill ni illusion tuAnawasimamia juu ya uwezo wa utambuzi wa mema na mabaya.
Huko ukraine wanajua kuua ni kitu kibaya lakini wanafanya bila mungu kuingilia sababu amewapa free will lakini malipo watapewa siku ya mwisho.
Mwanafunzi uliyempa mtihani na akajaza majibu siyo hauwezi kumsahihisha na kumuadhibu hapohapo wakati anafanya huo mtihani bali utasubiri mpaka muda sahihi uliopangwa wa kufanya hivyo.
Mwalimu anaweka majibu sahihi na yasio sahihi kwenye mtihani ili kumpima mwanafunzi uwezo wa uelewa wake juu ya kile alichomfundishaNi mabaya sababu kutokana na uwezo wa kutambua mema na mabaya hayo mabaya ni mabaya.
Na aliyaumba ababu ni sehemu ya mtihani wa binadamu juu ya kutumia uwezo aliopewa wa kutambua mema na mabaya na matumizi ya free will aliyopewa.
Kwanini mwalimu aweke majibu sahihi na yasiyo sahihi kwenye mtihani ilhali anaweza kuweka majibu sahihi tu?
Yale majibu yasiyo sahihi yanafanya nini kwenye mtihani?
Mungu wako atakuwa ni incompentent kwasababu ame lack some powerMimi sidhani na sina uhakika kama mungu anajua anachoenda kuchagua mtu.
Hiv kwanini akili zipo? Ndio jibu lako.NB: Huu mjadala sio wa kubishana kama mungu yupo au hayupo.
Hapa ninataka kuwauliza Kwa upole wale tunaoamini tayari kuwa Mungu yupo...Je, kwanini yupo?
Yaani siulizi mungu ametokea wapi/ametokanaje...
Hapa naulizia Kuna ulazima Gani wa yeye kuwepo? na kwanini yupo?
Mfano mtu akiuliza kwanini viti vya kukalia vipo, huwezi kujibu kwasababu mbao zikikatwa na kuchongwa vizuri zinatengeneza kiti, hapa utakuwa umejibu viti vinatokanaje....jibu zuri ni kwasababu vinatufanya binadamu tukae na kupumzika, hivyo tumevitengeneza...Inamaana bila kuwepo binadamu wenye shida ya kukaa basi viti visingekuwepo...
Kwahyo napouliza kwanini Mungu yupo? Siulizii chimbuko lake ametokana na Nini, ila naulizia ni sababu Gani iliyompelekea/iliyomlazimu yeye awepo.
Kuna wanaosema Mungu yupo ili auumbe ulimwengu, kwahyo function kubwa ya Mungu ni kuumba na kuendesha ulimwengu.
Hilo jibu kwangu halitoshelezi kwakuwa, Ningeuliza kwanini Huu ulimwengu upo?, Kwani Kuna ulazima ulimwengu uumbwe?
Kama Kuna ulazima wa ulimwengu kuwepo, basi Inamaana ulimwengu una thamani kuliko Mungu, kama binadamu tulivyo na thamani kuliko viti. Maana sisi ndo tumeleta viti, basi Ulimwengu umemleta Mungu.(yaani kama ni lazima ulimwengu uwepo, basi ulimwengu ndio umemlazimu Mungu awepo kama ambavyo Nyumba zinawalazimu mafundi ujenzi kuwepo,Simu zinawalazimu wauza simu kuwepo,Magari yanawalazimu madereva kuwepo, wahalifu wanalazimu polisi kuwepo nk.)
Lakini common sense inakataa.
Ingewezekana TU kusiwe na chochote, Hamna Dunia,hamna,Nyota,Hamna sayari, na Hakuna Mungu.
Sasa kwakuwa hivi vitu vipo, Je ni kwanini vipo?
Na kama ingewezekana kusiwepo kitu,Je ni Nini kililazimisha Mungu awepo?
Na kama mungu alikuwepo kabla ya Ulimwengu, na hakulazimishwa kuumba ulimwengu (angeamua angeacha na kubaki mwenyewe) Je yeye kwanini yupo? Nini kilipekea yeye kuwepo?
Kwanini Mungu yupo?
Yaani unataka kusema kuwa huwa unafanya Ibada halafu wakati huo wewe mwenyewe unakuwa hujui sababu za kwa nini huwa unafanya Ibada?Ndio nilichokuja kuuliza humu.
tuanzia apo muda ni nini na future ni nn?Huwezi kuwa na muda bila kipimo?
Kwahyo kwakuwa ngombe hawana saa basi Hawana muda? Kwasababu hawawezi kuupima?
Matukio hayabadiliki?
Maana kykiwa na mabadiliko TU ya matukio basi Kuna muda..
Muda usipokuwepo kila kitu kinge'pause.
sjakana haiumbwi bali yenyewe inabadilika kwenye different formNilikuambia mwanzo kua uki set vi principle vya kijanja janja kwa malengo ya kuthibitisha jambo lisilo na uhalisia itakuwa ngumu sana kufika hitimisho wa jibu lako bila kuivuruga principle
Kwahiyo unakana hoja yako ya awali uliyosema kuwa Energy haiumbwi?
Yupo ili uwepo wewe. Bila yeye na wewe haupo!NB: Huu mjadala sio wa kubishana kama mungu yupo au hayupo.
Hapa ninataka kuwauliza Kwa upole wale tunaoamini tayari kuwa Mungu yupo...Je, kwanini yupo?
Yaani siulizi mungu ametokea wapi/ametokanaje...
Hapa naulizia Kuna ulazima Gani wa yeye kuwepo? na kwanini yupo?
Mfano mtu akiuliza kwanini viti vya kukalia vipo, huwezi kujibu kwasababu mbao zikikatwa na kuchongwa vizuri zinatengeneza kiti, hapa utakuwa umejibu viti vinatokanaje....jibu zuri ni kwasababu vinatufanya binadamu tukae na kupumzika, hivyo tumevitengeneza...Inamaana bila kuwepo binadamu wenye shida ya kukaa basi viti visingekuwepo...
Kwahyo napouliza kwanini Mungu yupo? Siulizii chimbuko lake ametokana na Nini, ila naulizia ni sababu Gani iliyompelekea/iliyomlazimu yeye awepo.
Kuna wanaosema Mungu yupo ili auumbe ulimwengu, kwahyo function kubwa ya Mungu ni kuumba na kuendesha ulimwengu.
Hilo jibu kwangu halitoshelezi kwakuwa, Ningeuliza kwanini Huu ulimwengu upo?, Kwani Kuna ulazima ulimwengu uumbwe?
Kama Kuna ulazima wa ulimwengu kuwepo, basi Inamaana ulimwengu una thamani kuliko Mungu, kama binadamu tulivyo na thamani kuliko viti. Maana sisi ndo tumeleta viti, basi Ulimwengu umemleta Mungu.(yaani kama ni lazima ulimwengu uwepo, basi ulimwengu ndio umemlazimu Mungu awepo kama ambavyo Nyumba zinawalazimu mafundi ujenzi kuwepo,Simu zinawalazimu wauza simu kuwepo,Magari yanawalazimu madereva kuwepo, wahalifu wanalazimu polisi kuwepo nk.)
Lakini common sense inakataa.
Ingewezekana TU kusiwe na chochote, Hamna Dunia,hamna,Nyota,Hamna sayari, na Hakuna Mungu.
Sasa kwakuwa hivi vitu vipo, Je ni kwanini vipo?
Na kama ingewezekana kusiwepo kitu,Je ni Nini kililazimisha Mungu awepo?
Na kama mungu alikuwepo kabla ya Ulimwengu, na hakulazimishwa kuumba ulimwengu (angeamua angeacha na kubaki mwenyewe) Je yeye kwanini yupo? Nini kilipekea yeye kuwepo?
Kwanini Mungu yupo?
Maanake Mungu sio muumbaji wa kila kitu, kuna vitu vimekuja vyenyewe na yeye hana uwezo wa kuviumbasjakana haiumbwi bali yenyewe inabadilika kwenye different form
Muda ni ule Mwendelezo wa matukio, mabadiliko ya uhalisia(Uhalisia lazima ubadilike according to 2nd law of thermodynamics)... matukio yanayotokea sasa ni Present, yaliyokwisha tokea ni Past, Yatakayokuja kutokea ni future.tuanzia apo muda ni nini na future ni nn?
So far hakuna uthibitisho wa mungu kuepo... ukitaka kupata idea ya ulimwengu umetokea vipi ni vizuri ukasoma articles za astronomy zinaeleza vizuri.NB: Huu mjadala sio wa kubishana kama mungu yupo au hayupo.
Hapa ninataka kuwauliza Kwa upole wale tunaoamini tayari kuwa Mungu yupo...Je, kwanini yupo?
Yaani siulizi mungu ametokea wapi/ametokanaje...
Hapa naulizia Kuna ulazima Gani wa yeye kuwepo? na kwanini yupo?
Mfano mtu akiuliza kwanini viti vya kukalia vipo, huwezi kujibu kwasababu mbao zikikatwa na kuchongwa vizuri zinatengeneza kiti, hapa utakuwa umejibu viti vinatokanaje....jibu zuri ni kwasababu vinatufanya binadamu tukae na kupumzika, hivyo tumevitengeneza...Inamaana bila kuwepo binadamu wenye shida ya kukaa basi viti visingekuwepo...
Kwahyo napouliza kwanini Mungu yupo? Siulizii chimbuko lake ametokana na Nini, ila naulizia ni sababu Gani iliyompelekea/iliyomlazimu yeye awepo.
Kuna wanaosema Mungu yupo ili auumbe ulimwengu, kwahyo function kubwa ya Mungu ni kuumba na kuendesha ulimwengu.
Hilo jibu kwangu halitoshelezi kwakuwa, Ningeuliza kwanini Huu ulimwengu upo?, Kwani Kuna ulazima ulimwengu uumbwe?
Kama Kuna ulazima wa ulimwengu kuwepo, basi Inamaana ulimwengu una thamani kuliko Mungu, kama binadamu tulivyo na thamani kuliko viti. Maana sisi ndo tumeleta viti, basi Ulimwengu umemleta Mungu.(yaani kama ni lazima ulimwengu uwepo, basi ulimwengu ndio umemlazimu Mungu awepo kama ambavyo Nyumba zinawalazimu mafundi ujenzi kuwepo,Simu zinawalazimu wauza simu kuwepo,Magari yanawalazimu madereva kuwepo, wahalifu wanalazimu polisi kuwepo nk.)
Lakini common sense inakataa.
Ingewezekana TU kusiwe na chochote, Hamna Dunia,hamna,Nyota,Hamna sayari, na Hakuna Mungu.
Sasa kwakuwa hivi vitu vipo, Je ni kwanini vipo?
Na kama ingewezekana kusiwepo kitu,Je ni Nini kililazimisha Mungu awepo?
Na kama mungu alikuwepo kabla ya Ulimwengu, na hakulazimishwa kuumba ulimwengu (angeamua angeacha na kubaki mwenyewe) Je yeye kwanini yupo? Nini kilipekea yeye kuwepo?
Kwanini Mungu yupo?
wewe ndo unamtegemea yeyeKwahyo namm nsingekuwepo na Mungu asingekuwepo? Maanake tunategemeana