Mungu yupi unayemuongelea?
Wa waislamu?
Wa wakristo?
Wa wahindu?
Wa wabudha?
Wa baadhi ya tamaduni za kiafrika?
Ni yupi maana Mnaposema Mungu mjuwe kuwa dunia ina Miungu wengi na si mmoja, muogope mtu anaeyesema kuwa Mungu ni mmoja, huyo ni Muongo, maana kila dini ina Mungu wake na kila imani ina Mungu wake.
Mungu wa uislam ni tofaut na Mungu wa ukristo ndiomaana hizi dini zinapingana kwa mengi japo zinashare baadhi ya vitabu kutoka ktk dini ya uyahudi ambayo ndio imekuwa ikikopiwa na hizi dini mbili mpaka kuanzishwa kwake.
Kidogo ukristo unaweza kushahabiana Mungu wake na Mungu wa wayahudi maana wote wanamtaja Huyo aitwaye Yehova/elishadai, lkn pia bado ukristo unafeli kuforce yesu ni Mungu ijapokuwa ktk uyahudi huyo yesu hatambuliki kama ni Mungu wala kama amewai kuwepo, hapa utata unakuja.
Unapotafuta majibu ya maswali yako kuhusu jambo fulan basi hakikisha huyo unayesema Mungu, umjue na umaanishe ni Mungu yupi? Wa dini ipi?,
Ni ngumu hata kujibiwa maombi yako kama utaomba kwa kutomaanisha Mungu fulan, ambaye ndiye chanzo cha majibu yako kutokana na imani yako kwake.
Kuna baadhi ya dini zinaforce tuamini kuwa Mungu wa hiyo dini ndie sahihi, jambo ambalo si kweli, mfano huwezi kusema uislam ni dini sahihi wakati dini yenyewe imeanzishwa juzi tu kwa kukopi stori za imani zingine kutoka kwa myahudi na mroma, je kabla ya kuanzishwa kwa hii dini huyo Mungu aliabudiwa vipi?
Pia huwezi kusema ukristo ni dini sahihi wakati hii dini imenzishwa miaka ya 300A.D kutoka ktk imani ya warumi ambao kabla hawakuwa wakristo bali waumini wa imani ya kiyahudi ambayo haimtambui Yesu lkn baadae waliibadili imani hiyo kwa kuingiza stori za Yesu na ndipo sasa likaibuka vuguvugu la kuifuata imani mpya ya mafundisho yanayomuhusu huyo Yesu na waliofuata hayo mafundisho wakaitwa wanaYesu ama wakristo na hili halikuondoa utofauti na uroma/ukatoric, maana huwezi watenganisha na ukristo kwakuwa ni wao walioibua imani hii ya kumfuata kristo na wao kuitwa wakristo, ama waumini wa uyahudi walioamua kuamini ktk Imani ya Yesu ama imani ya kristo, na baada ya muda ktk migogoro ya hii imani ndipo sasa kukaibuka madhehebu mapya ambayo nayo yalikuwa sehemu ya huu ukristo ama uroma maana nao walitumia kanuni na sheria zile zile za mrumi kuunda madhehebu yao wanayoyatumia kumtukana mroma ama mkatoric kuwa anaabudu sanamu wakati huo wakiyatumia na maandiko ya biblia aliyoyaandika mkatoric
ujinga huu.
Uyahudi nao huwezi kusema ni dini sahihi maana stori zake zimebase kuwa na jumla ya miaka 7000 tangu uumbaji mpaka leo hii, kuanzia story za wakina adamu mpka wakina musa n.k, je kabla ya hiyo miaka watu waliabudu nini? Ama tuamini kuwa dunia ina miaka hiyo hiyo isiyozidi 7000 kulingana na visa vya dini?.
Na wakati huo kisayansi na kihistoria kuna jamii ziliishi zaid ya maelfu ya miaka, mfano dini ya uhindu ina historia zaidi ya miaka 10000 kabla ya uwepo wa ukristo wala uislam, pia kuna tamaduni na imani za kiafrika ambazo zilikuwepo kabla hata ya uhindu na maelfu ya miaka.
Je hapo tuamini lipi?
Majibu mnayo kuwa hizi dini ni michezo ya watu tu kuicontrol dunia haswa afrika na Asia walipo vilaza wasiopenda kutumia akili zaidi ya hisia za kipumbavu.
Amkeni wajameni acheni kukalilishwa ujinga, haya mambo mbona ni mepesi sana hata hayahitaji akili kubwa.