Kwanini Mtume amepoteza watu hivi?

Kwanini Mtume amepoteza watu hivi?

🤣🤣🤣Upagani na uislamu ni maneno mawili tofauti ,hata unachoongea hujui kabisa.
Dini kuitwa uislamu haimaanishi inakwepa kuwa upagani,uislamu ni upagani wa kiquraysh ulioboreshwa na mudi
 
Kila mtume alikuja na hukmu na sheria zake kwa zama zake Kutaja baadhi tu waliotajwa kwenye quran na vitabu walivyokuja navyo.

1. Ibrahim (alayhi salaam) = suhuf

2. Musa (alayhi salaam) = taurat

3. Dawud (alahyi salaam)= zabur

4. Isa (alayhi salaam)= injil

5. Muhammad (swalalah alayhi wasalam) = quran

Mind you hawa ni mitume na vitabu walivyopewa vilivyobeba hukmu mbali mbali kutokana na zama walizokuwepo kuna ibada tunafanana nao na kuna nyengine ambazo sisi hatuzifanyi lakini wao walizifanya na kinyume chake.

HIvyo uislamu aliokuja nao ibrahim(alayhi salaaam) kama ungeletwa kwa sasa lazima kwa namna fulani ungekuwa tofauti na huu tulionao kwa sasa ila asilimia kubwa ya vitu vingebaki kama vilivyo mfano aqida (kuamini Mungu mmoja ) , funga, zaka, swadaqa, ndoa n.k

Na Allah (the almighty ) anajua zaidi.
Hivyo vitabu vingine viko wapi kwa sasa! Natamani kuvisoma maana hivi walivyonavyo wakristo tunaambiwa vimechezewa.
 
...Hapakuwa na biblia wale uwezo wa kupata nakala za nyuma kabla yake
Muhammad katoa mto ambao ulikuwa chini yake akachukua torati akaiweka juu ya mto akasema I believed in thee Yani nakuamini torati
..........Bring the Torah. It was then brought. He then withdrew the cushion from beneath him and placed the Torah on it saying: I believed in thee and in Him Who revealed thee ...... Sunan Abi Dawud 4449
 
Muhammad katoa mto ambao ulikuwa chini yake akachukua torati akaiweka juu ya mto akasema I believed in thee Yani nakuamini torati
..........Bring the Torah. It was then brought. He then withdrew the cushion from beneath him and placed the Torah on it saying: I believed in thee and in Him Who revealed thee ...... Sunan Abi Dawud 4449
We masai unaleta stori za vijiweni ...Hakunq ushahidi kama upo leta hapa alikotoa hiko kitabu.
 
1. Dini ya uislam ilikuwepo tangu enzi za kina adam, nuh, ibrahim, yakobo, musa, n.k.

2. Muhamad hakujua kusoma wala kuandika na ukoo wao kuraish walikuwa wakiabudu masanamu na mababu.

3. Muhamad hakupata kufundishwa chochote na binadamu wa kawaida zaid ya shughuli za kiuchum kama ufugaj na biashara.

4. Quran na hadith ni wahy ama ufunuo aliopokea muhammad kutoka kwa ALLAH.

5. Hoja zako hazitofautiani na hoja za makafir dhid ya mitume waliotangulia.

Assalaam aleykum..!
 
Uislamu Ulikuwepo tangu kuumbwa kwa dunia , Muhamad (P.B.U.H) ameshushiwa wahyi hakuna anajua chochote ...Hapakuwa na biblia wale uwezo wa kupata nakala za nyuma kabla yake

Muhamad (P.B.U.H) anakuwa ni Mtume bora kwa kuweza kupewa elimu ya vilivyopita kabla yake yeye ...Qur an imekamilisha dini na haina shaka ndani yake.
Alioa mtawa
 
Muhammad alisafir sana kwenda sham na alishuhudia mijadala kati ya wakristo na wayahudi mara nyingi
 
Uislamu Ulikuwepo tangu kuumbwa kwa dunia , Muhamad (P.B.U.H) ameshushiwa wahyi hakuna anajua chochote ...Hapakuwa na biblia wale uwezo wa kupata nakala za nyuma kabla yake

Muhamad (P.B.U.H) anakuwa ni Mtume bora kwa kuweza kupewa elimu ya vilivyopita kabla yake yeye ...Qur an imekamilisha dini na haina shaka ndani yake.
Na mtu anazaliwa muislamu na bado mnataka kusilimisha watu
 
Muhammad ndiye muanzilishi wa dini ya Uislamu, jamaa ameharibu watu kwa dini na kitabu cha kutunga kwa kuiba kutoka vyanzo hasa vya wayahudi na wakristo waasi ,Quran ni mkusanyiko wa vitabu vya Apokrifa kwa 80%
10% ni TAMADUNI za kiarabu, 10% ni mawazo ya Muhammad



Hadithi 20 Zinazopatikana Katika Qur’an na Vitabu vya Apokrifa

Kwanza nitoe utangulizi

Vitabu vya Apokrifa ni maandiko ya kale yanayohusiana na dini ya Kiyahudi na Ukristo, lakini havikujumuishwa katika Biblia rasmi kwa sababu mbalimbali. Wakristo wengi, hasa wa madhehebu ya Kiprotestanti, walivikataa kwa kuwa viliandikwa katika kipindi ambacho Mungu hakuwa akituma manabii (kipindi kinachoitwa Intertestamental Period au Silent Years – zaidi ya miaka 400 kabla ya ujio wa Yesu). Hata hivyo, baadhi ya madhehebu kama Wakatoliki na Waorthodoksi bado wanatambua baadhi ya vitabu vya Apokrifa.


Licha ya kutokubaliwa kama maandiko rasmi ya kiimani, vitabu hivi vina hadithi nyingi zinazofanana na zile zilizomo katika Qur’an, ambayo iliteremshwa karne kadhaa baadaye. Zifuatazo ni hadithi 20 zilizopo katika Qur’an na zinapatikana pia katika vitabu vya Apokrifa, pamoja na mwaka wa kushuka kwa Aya za Qur’an na mwaka wa uandishi wa vitabu vya Apokrifa.



Hizi ni baadhi ya Hadithi ambazo Muhammad alisimuliwa na wayahudi na wakristo wa apokrifa akazicgukua na unazikuta ndani ya Qur’an ,Leo


  1. Yesu (Isa) kutengeneza ndege kwa udongo na kumpa uhai
    Qur’an
    : Surah Al-Ma’idah (5:110) – Iliteremka takriban mwaka 631 CE
    Apokrifa: Infancy Gospel of Thomas (karne ya 2 CE, takriban mwaka 140 CE)
  2. Uzazi wa Bikira Mariamu (Maryam) bila kuguswa na mwanamume
    Qur’an
    : Surah Maryam (19:16-22) – Iliteremka takriban mwaka 615 CE
    Apokrifa: Protoevangelium of James (karne ya 2 CE, takriban mwaka 150 CE)
  3. Yesu kuzungumza akiwa bado mtoto mchanga
    Qur’an
    : Surah Maryam (19:29-30) – Iliteremka takriban mwaka 615 CE
    Apokrifa: Arabic Infancy Gospel (karne ya 6 CE, takriban mwaka 570 CE)
  4. Hadithi ya Mtume Idris (Henoko) kupaa mbinguni
    Qur’an
    : Surah Maryam (19:56-57) – Iliteremka takriban mwaka 615 CE
    Apokrifa: Book of Enoch (karne ya 3 BCE, takriban mwaka 300 BCE)
  5. Hadithi ya Mtume Nuhu na gharika kuu
    Qur’an
    : Surah Hud (11:36-48) – Iliteremka takriban mwaka 621 CE
    Apokrifa: Book of Jubilees (karne ya 2 BCE, takriban mwaka 150 BCE)
  6. Hadithi ya Mtume Suleiman (Solomon) na majini
    Qur’an
    : Surah An-Naml (27:17-19) – Iliteremka takriban mwaka 616 CE
    Apokrifa: Testament of Solomon (karne ya 1-3 CE, takriban mwaka 100-300 CE)
  7. Hadithi ya Kijana wa Maajabu (Ashabul Kahf – Watu wa Pangoni)
    Qur’an
    : Surah Al-Kahf (18:9-26) – Iliteremka takriban mwaka 620 CE
    Apokrifa: Seven Sleepers of Ephesus (karne ya 5 CE, takriban mwaka 450 CE)
  8. Kifo cha Nabii Zakariya na namna alivyouawa
    Qur’an
    : Surah Al-An’am (6:85) – Iliteremka takriban mwaka 621 CE
    Apokrifa: Protoevangelium of James (karne ya 2 CE, takriban mwaka 150 CE)
  9. Hadithi ya Harut na Marut – Malaika waliokuja duniani kujaribiwa
    Qur’an
    : Surah Al-Baqarah (2:102) – Iliteremka takriban mwaka 623 CE
    Apokrifa: Book of Enoch (karne ya 3 BCE, takriban mwaka 300 BCE)
  10. Malaika wakimfundisha Nabii Henoko hekima za mbinguni
    Qur’an
    : Surah Maryam (19:56-57) – Iliteremka takriban mwaka 615 CE
    Apokrifa: Book of Enoch (karne ya 3 BCE, takriban mwaka 300 BCE)
  11. Hadithi ya Dhu’l-Qarnayn (Mtawala wa Mashariki na Magharibi)
    Qur’an
    : Surah Al-Kahf (18:83-98) – Iliteremka takriban mwaka 620 CE
    Apokrifa: Alexander Romance (karne ya 3 CE, takriban mwaka 300 CE)
  12. Nabii Abraham (Ibrahim) kuvunjavunja masanamu ya mji wake
    Qur’an
    : Surah Al-Anbiya (21:51-70) – Iliteremka takriban mwaka 622 CE
    Apokrifa: Book of Jubilees (karne ya 2 BCE, takriban mwaka 150 BCE)
  13. Nabii Musa na Samiri – Mchawi aliyewapotosha Waisraeli
    Qur’an
    : Surah Taha (20:85-97) – Iliteremka takriban mwaka 621 CE
    Apokrifa: Apocalypse of Moses (karne ya 1 CE, takriban mwaka 50-100 CE)
  14. Nabii Yahya (Yohana Mbatizaji) alivyowekwa wakfu tangu utotoni
    Qur’an
    : Surah Maryam (19:12-15) – Iliteremka takriban mwaka 615 CE
    Apokrifa: Protoevangelium of James (karne ya 2 CE, takriban mwaka 150 CE)
  15. Kifo cha Kaini baada ya kumuua Abeli
    Qur’an
    : Surah Al-Ma’idah (5:27-31) – Iliteremka takriban mwaka 631 CE
    Apokrifa: Book of Jubilees (karne ya 2 BCE, takriban mwaka 150 BCE)
  16. Hadithi ya Adamu na Hawa kuanguka kutoka Peponi
    Qur’an
    : Surah Al-Baqarah (2:30-38) – Iliteremka takriban mwaka 623 CE
    Apokrifa: Apocalypse of Moses (karne ya 1 CE, takriban mwaka 50-100 CE)
  17. Nabii Lut na miji ya Sodom na Gomora
    Qur’an
    : Surah Hud (11:77-83) – Iliteremka takriban mwaka 621 CE
    Apokrifa: Book of Jubilees (karne ya 2 BCE, takriban mwaka 150 BCE)
  18. Mikaeli na Shetani wakigombania mwili wa Musa
    Qur’an
    : Haijatajwa moja kwa moja
    Apokrifa: Assumption of Moses (karne ya 1 CE, takriban mwaka 100 CE)
  19. Uzima wa Milele kwa Wateule wa Mungu
    Qur’an
    : Surah Al-Waqi’ah (56:10-40) – Iliteremka takriban mwaka 622 CE
    Apokrifa: Book of Enoch (karne ya 3 BCE, takriban mwaka 300 BCE)
Unaumia ukiwa wapi ?! Alhamdululilah mimi ni muislamu na sio kafiri
 
Maswali yote hayana mantiki kwa sababu ,Mtume alivumbuliwa miongoni mwa makabila ya waarabu ,enzi za ujahili ( ujinga yaani kukosa elimu) ...Mtume alipata utume akiwa Mkubwa na ilishatabiriwa ndiyo maana hata alipotokq sehemu kwenda nyingine alipokelewa kwa vile taarifa zilishafika .

Alipingwa vikali na watu wa karibu yake , mmoja wapo ni mjomba wake Abuu lahab(baba wa moto ) sio jina lake halisi.

Elimu kuhusu Zama ambazo kazaliwa mtume ,mbona issah na Daudi au Mussa hawakuwa zama moja?

Enzi za ujahili hata wazazi wake walikuwa majahili ,kumbuka uislamu hauwezi kuhukumu mtu mpaka ujumbe wa Mungu uwafikie ,wametumwa mitume ili kufikisha ujumbe .

Ukisoma tu suratul Iqra basi 🤣🤣inajitosheleza na Qur an nzima Mungu amejitambulisha ..Utaona kuna maneno '' Mungu anaseme'' yapo mengine mbalimbali .


Hija pale Meccah ndiyo uthibitisho kwamba uislamu Ulikuwepo ,rejea jeshi la ndovu lilitoka kuvunja kaaba ,mali ile iliachwa na manabii waliopita ambao ni Waislamu... Katika zama zile waliokosa elimu (ujahili) basi wakawa wanatumi lile eneo kufanya ushirikina yaani kulikuwa na masanamu ...Ila Mtume alipewa wahyi wa kwenda kufanya hija na ile sehemu ni mali ya waislamu ... Mwishoe yale masanamu yaliondolewa na mila zote zikaondok mji ule ni wa waislamu kutokana Kaabah .
Nini hasa kinatisha kwamba Mohamed alitumwa na Mungu?

Hakuna unabii uliomtabiri!
Hakuna miujiza inayomthibitisha!

Ndio maana alitumia nguvu kuwalazimisha watu wamwamini?
 
Kama Mungu wenu angekuwa wa kweli basi uislamu usingesambaa ,na Muhammad (P.B.U.H) ndiye analeta mabadiliko makubwa kuliko kiumbe chochote kuwahi kutokea dunia... Takwimu zinajieleza.
Sio hoja hata waovu ni wengi kuliko wema
 
Nini hasa kinatisha kwamba Mohamed alitumwa na Mungu?

Hakuna unabii uliomtabiri!
Hakuna miujiza inayomthibitisha!

Ndio maana alitumia nguvu kuwalazimisha watu wamwamini?
Muhamad alitumia nguvu wapi? 😂😂Paulo alitabiriwa wapi?
 
Nyie hii dini inawauma saaana eeh... Yesu alisema hajaja kuitengua injili, hapa yeye mtamsemaje?
Kwa mujibu wa Muhammad S.A.W nae alikubali kuwa musa, isa kina Daudi wote ni manabii wa mungu.
Sasa kama hao ni manabii wa mungu mmoja iweje maandiko yao yatofautiane, yaani musa aseme usizini huku mtume aseme zini nao ni manabii wa mungu mmoja?

Udini unawatoa mishipa ya shingo bure maskini.

Sasa na anvetofautiana nao, bado hapa tungepata mada Muhammad anatkfautiana na kina musa 😂🤣🤣
Ingikua hivyo basi uislam usingeupinga wayahudi.
 
Muhamad alitumia nguvu wapi? 😂😂Paulo alitabiriwa wapi?
Paulo ni watumishi wa kwanza baada ya Kristo kukamilisha kazi yake na alifanya kazi ya Yesu mwenyewe na hakumpinga, swali lako ni sawa na kuniambia Shehe mkuu wa tanzania alitabiriwa wapi!
 
Paulo ni watumishi wa kwanza baada ya Kristo kukamilisha kazi yake na alifanya kazi ya Yesu mwenyewe na hakumpinga, swali lako ni sawa na kuniambia Shehe mkuu wa tanzania alitabiriwa wapi!
Sasa Paulo si ndiye katunga agano jipya ,yeye kamq nan?
 
Back
Top Bottom