Kwanini Mtume amepoteza watu hivi?

Kwanini Mtume amepoteza watu hivi?

Niumizwe na nini
Hizi dini zote uongo mtupu
Ila ukweli usemwe tu
Uislamu ni dini ya karbe ya saba sijui
Wewe umeshasema dini zote ni uongo kwa hiyo iwe imeanzishwa karne ya kwanza na nyingine karne ya nne kwako ina maana gani?
 
Uislamu Ulikuwepo tangu kuumbwa kwa dunia , Muhamad (P.B.U.H) ameshushiwa wahyi hakuna anajua chochote ...Hapakuwa na biblia wale uwezo wa kupata nakala za nyuma kabla yake

Muhamad (P.B.U.H) anakuwa ni Mtume bora kwa kuweza kupewa elimu ya vilivyopita kabla yake yeye ...Qur an imekamilisha dini na haina shaka ndani yake.

Duuh kwa kweli dini ni kama bangi.

Mtume alikua mfanya biashara .
Katika biashara zake huko Misri alikua anakutana na Wahubiri wa dini ya kikristo na alikua anavutiwa sana na mafundisho yao . Alikua anadadisi sana kuhusu imani yao .
Akirudi Kwao anasimulia habari mpya za imani ya Mungu badala ya masanamu .
Kwa ndugu zake hilo lilikua ni jambo jipya sana .

Mohamad hana kitabu kipya chochote ni sanaa tuu.
Kila kitu ni masimulizi.
Ni kama walivyo akina Geo Dev na Mwamposa ,wote ni chimbuko la mafundisho ndani ya biblia .
Mtume alipata mafundisho ya biblia Akaanzisha harakati zake za kupinga ibada ya sanamu lakini hakuwahi kuwa na agano na Mungu .
Korani ni kijisehemu tu cha vitabu ndani ya Biblia .
 
Wewe huamini dini hizi ngonjera unazitoa wapi?
 
Sasa mbona mafundisho ya Qur’an ni tofauti na biblia
 
Muhammad ndiye muanzilishi wa dini ya Uislamu, jamaa ameharibu watu kwa dini na kitabu cha kutunga kwa kuiba kutoka vyanzo hasa vya wayahudi na wakristo waasi ,Quran ni mkusanyiko wa vitabu vya Apokrifa kwa 80%
10% ni TAMADUNI za kiarabu, 10% ni mawazo ya Muhammad

Hadithi 20 Zinazopatikana Katika Qur’an na Vitabu vya Apokrifa

Kwanza nitoe utangulizi

Vitabu vya Apokrifa ni maandiko ya kale yanayohusiana na dini ya Kiyahudi na Ukristo, lakini havikujumuishwa katika Biblia rasmi kwa sababu mbalimbali. Wakristo wengi, hasa wa madhehebu ya Kiprotestanti, walivikataa kwa kuwa viliandikwa katika kipindi ambacho Mungu hakuwa akituma manabii (kipindi kinachoitwa Intertestamental Period au Silent Years – zaidi ya miaka 400 kabla ya ujio wa Yesu). Hata hivyo, baadhi ya madhehebu kama Wakatoliki na Waorthodoksi bado wanatambua baadhi ya vitabu vya Apokrifa.

Licha ya kutokubaliwa kama maandiko rasmi ya kiimani, vitabu hivi vina hadithi nyingi zinazofanana na zile zilizomo katika Qur’an, ambayo iliteremshwa karne kadhaa baadaye. Zifuatazo ni hadithi 20 zilizopo katika Qur’an na zinapatikana pia katika vitabu vya Apokrifa, pamoja na mwaka wa kushuka kwa Aya za Qur’an na mwaka wa uandishi wa vitabu vya Apokrifa.

Hizi ni baadhi ya Hadithi ambazo Muhammad alisimuliwa na wayahudi na wakristo wa apokrifa akazicgukua na unazikuta ndani ya Qur’an ,Leo

  1. Yesu (Isa) kutengeneza ndege kwa udongo na kumpa uhai
    Qur’an
    : Surah Al-Ma’idah (5:110) – Iliteremka takriban mwaka 631 CE
    Apokrifa: Infancy Gospel of Thomas (karne ya 2 CE, takriban mwaka 140 CE)
  2. Uzazi wa Bikira Mariamu (Maryam) bila kuguswa na mwanamume
    Qur’an
    : Surah Maryam (19:16-22) – Iliteremka takriban mwaka 615 CE
    Apokrifa: Protoevangelium of James (karne ya 2 CE, takriban mwaka 150 CE)
  3. Yesu kuzungumza akiwa bado mtoto mchanga
    Qur’an
    : Surah Maryam (19:29-30) – Iliteremka takriban mwaka 615 CE
    Apokrifa: Arabic Infancy Gospel (karne ya 6 CE, takriban mwaka 570 CE)
  4. Hadithi ya Mtume Idris (Henoko) kupaa mbinguni
    Qur’an
    : Surah Maryam (19:56-57) – Iliteremka takriban mwaka 615 CE
    Apokrifa: Book of Enoch (karne ya 3 BCE, takriban mwaka 300 BCE)
  5. Hadithi ya Mtume Nuhu na gharika kuu
    Qur’an
    : Surah Hud (11:36-48) – Iliteremka takriban mwaka 621 CE
    Apokrifa: Book of Jubilees (karne ya 2 BCE, takriban mwaka 150 BCE)
  6. Hadithi ya Mtume Suleiman (Solomon) na majini
    Qur’an
    : Surah An-Naml (27:17-19) – Iliteremka takriban mwaka 616 CE
    Apokrifa: Testament of Solomon (karne ya 1-3 CE, takriban mwaka 100-300 CE)
  7. Hadithi ya Kijana wa Maajabu (Ashabul Kahf – Watu wa Pangoni)
    Qur’an
    : Surah Al-Kahf (18:9-26) – Iliteremka takriban mwaka 620 CE
    Apokrifa: Seven Sleepers of Ephesus (karne ya 5 CE, takriban mwaka 450 CE)
  8. Kifo cha Nabii Zakariya na namna alivyouawa
    Qur’an
    : Surah Al-An’am (6:85) – Iliteremka takriban mwaka 621 CE
    Apokrifa: Protoevangelium of James (karne ya 2 CE, takriban mwaka 150 CE)
  9. Hadithi ya Harut na Marut – Malaika waliokuja duniani kujaribiwa
    Qur’an
    : Surah Al-Baqarah (2:102) – Iliteremka takriban mwaka 623 CE
    Apokrifa: Book of Enoch (karne ya 3 BCE, takriban mwaka 300 BCE)
  10. Malaika wakimfundisha Nabii Henoko hekima za mbinguni
    Qur’an
    : Surah Maryam (19:56-57) – Iliteremka takriban mwaka 615 CE
    Apokrifa: Book of Enoch (karne ya 3 BCE, takriban mwaka 300 BCE)
  11. Hadithi ya Dhu’l-Qarnayn (Mtawala wa Mashariki na Magharibi)
    Qur’an
    : Surah Al-Kahf (18:83-98) – Iliteremka takriban mwaka 620 CE
    Apokrifa: Alexander Romance (karne ya 3 CE, takriban mwaka 300 CE)
  12. Nabii Abraham (Ibrahim) kuvunjavunja masanamu ya mji wake
    Qur’an
    : Surah Al-Anbiya (21:51-70) – Iliteremka takriban mwaka 622 CE
    Apokrifa: Book of Jubilees (karne ya 2 BCE, takriban mwaka 150 BCE)
  13. Nabii Musa na Samiri – Mchawi aliyewapotosha Waisraeli
    Qur’an
    : Surah Taha (20:85-97) – Iliteremka takriban mwaka 621 CE
    Apokrifa: Apocalypse of Moses (karne ya 1 CE, takriban mwaka 50-100 CE)
  14. Nabii Yahya (Yohana Mbatizaji) alivyowekwa wakfu tangu utotoni
    Qur’an
    : Surah Maryam (19:12-15) – Iliteremka takriban mwaka 615 CE
    Apokrifa: Protoevangelium of James (karne ya 2 CE, takriban mwaka 150 CE)
  15. Kifo cha Kaini baada ya kumuua Abeli
    Qur’an
    : Surah Al-Ma’idah (5:27-31) – Iliteremka takriban mwaka 631 CE
    Apokrifa: Book of Jubilees (karne ya 2 BCE, takriban mwaka 150 BCE)
  16. Hadithi ya Adamu na Hawa kuanguka kutoka Peponi
    Qur’an
    : Surah Al-Baqarah (2:30-38) – Iliteremka takriban mwaka 623 CE
    Apokrifa: Apocalypse of Moses (karne ya 1 CE, takriban mwaka 50-100 CE)
  17. Nabii Lut na miji ya Sodom na Gomora
    Qur’an
    : Surah Hud (11:77-83) – Iliteremka takriban mwaka 621 CE
    Apokrifa: Book of Jubilees (karne ya 2 BCE, takriban mwaka 150 BCE)
  18. Mikaeli na Shetani wakigombania mwili wa Musa
    Qur’an
    : Haijatajwa moja kwa moja
    Apokrifa: Assumption of Moses (karne ya 1 CE, takriban mwaka 100 CE)
  19. Uzima wa Milele kwa Wateule wa Mungu
    Qur’an
    : Surah Al-Waqi’ah (56:10-40) – Iliteremka takriban mwaka 622 CE
    Apokrifa: Book of Enoch (karne ya 3 BCE, takriban mwaka 300 BCE)
Wacha kujifanya unajua usichojua ,kama Mungu muumba ni mmoja Kuna shida gani kuwa ni muuendelezo.
Obviously huna taaluma ya theology.
Moron.
 
Sasa mbona mafundisho ya Qur’an ni tofauti na biblia

Kwani Wakati Nyerere anaanzisha KKKT na Bakwata zilifanana na RC?
Lutherani ilikua inamiliki mamia ya shule na vyuo ,Hekari za maeneo mpaka vituo vya mafuta na magereji na viwanda vya mivinyo . Wakati huo huo walikua na muunganiko na nchi za Afrika mashariki na bara zima la Afrika na dunia nzima .

Waislam wakawa na shule zao na taasisi zinazowaunganisha na nchi zote za Afrika Mashari mpaka Somalia

Nyerere akapima upepo akaona hizi Taasisi hazitaendana na Sera zetu na uhuru wetu .Anawaita na kuwashawishi viongozi wa dini ambao wakati huo hawakuwa na Elimu kubwa kama ilivyo kwa Kanisa la Katoliki . Wakakubaliana naye . Hapo ndipo alipofanikiwa kuweka Makada wa CCM kuongoza taasisi hizo mpaka leo . Siku CCM utakapotoka madarakani basi taasisi hizo ndizo zitakazokuwa petroli ya kuiunguza CCM na kupotea kabisa madarakani kwani zitakuwa ni sehemu ya chama kitakachotawala. Hapo CCM wataona ubaya wa hizo taasisi kwa harakati zao za kurudi madarakani.

Kama umewahi kusoma biblia ile ya Kikatoliki halafu ukasoma na Hadithi za mtume utajua ninachokuambia na utaachana kabisa na kufia hizi dini za wakoloni . Kuna hadithi za mtume utadhani amekopi na kupesti kutoka kwenye hiyo Biblia ambayo haionekani mitaani mpaka kwenye maduka rasmi ya kanisa katoliki na wakatoliki hawakai na biblia majumbani .
Kwa muda mrefu biblia ya kikatoliki pamoja na korani havikuandikwa kwa lugha nyingine mpaka alipoibuka Martini Luther King Sr.

Mpaka mtume anafariki hapakuwa na Kitabu cha Koran kilichoandikwa kwa mpangilio wotowote .

Korani ukubwa wake hauzidi Kitabu cha Zaburi na Ayubu ndani ya Biblia.
Waislam wengi wanasoma Vimistari vichache na kuvikariri kwa lengo la kubishana na kusema Yesu sio Mungu na Mungu hakuzaa wala kuzaliwa basi.
Lakini hawawafundishi watoto wao Hekima kubwa iliyopo ndani ya kitabu cha Zaburi , Mithali, Kitabu cha hekima za Suleiman, kitabu cha Daniel, Kitabu cha Isaya ,Nehemiah ,Yeremia , Amosi, Ufunuo wa Yohana .
Mbaya zaidi hawataki kujua kuwa Biblia maana yake ni Vitabu . Yaani biblia ni Laibrari ya vitabu .
Sasa mtu anasoma vijuzuu 30 alivyokariri anaona eti kila kitu duniani kipo hapo .Tena mwingine anasema eti tangu kuumbwa kwa dunia hajawahi kutokea Mwanasayansi mkubwa kama Mohamad. 😂😂😂😂Unaona tu huu ni ulevi wa kukaririshwa badala ya kuhoji na kuelewa .
.
 
Naona umeniandikia siasa mara ccm wakati wala havihusiani na dini.
Hakuna ushahidi kuwa Mtume alikopi kokote kule!!!
 
Mtu akishasema kakutana na Mungu, au kaongea na Mungu, au kaonyeshwa kitu fulani na Mungu.
Huyo ana tatizo la afya ya akili.
Kwani yeye hakujipoteza na hao aliwaopoteza kama alivyo fanya Yesu aliyewaahidi kurudi akapotea kimoja?
 
Back
Top Bottom