Kwanini Mtume amepoteza watu hivi?

Kwanini Mtume amepoteza watu hivi?

Sio ujinga sema unaumia 🤣🤣🤣🤣 Uislamu Ulikuwepo tangu dunia inaumbwa ... Ukristo na Mungu wenu hata hamjui Musa kwa sababu Musa alikuwepo kabla ya kuzaliwa Mungu wenu🤣
Niumizwe na nini
Hizi dini zote uongo mtupu
Ila ukweli usemwe tu
Uislamu ni dini ya karbe ya saba sijui
 
Niumizwe na nini
Hizi dini zote uongo mtupu
Ila ukweli usemwe tu
Uislamu ni dini ya karbe ya saba sijui
Karne ya 7 ni leo ?!!
Muhammed na Yesu wamepishana miaka 600 sasa la kushangaza ni nini ?!!
 
Uislamu Ulikuwepo tangu kuumbwa kwa dunia , Muhamad (P.B.U.H) ameshushiwa wahyi hakuna anajua chochote ...Hapakuwa na biblia wale uwezo wa kupata nakala za nyuma kabla yake

Muhamad (P.B.U.H) anakuwa ni Mtume bora kwa kuweza kupewa elimu ya vilivyopita kabla yake yeye ...Qur an imekamilisha dini na haina shaka ndani yake.
Huyu Muhammad ana moto wake wa peke yake kwa kuwajaza watu kama wewe ujinga
 
Uislamu Ulikuwepo tangu kuumbwa kwa dunia , Muhamad (P.B.U.H) ameshushiwa wahyi hakuna anajua chochote ...Hapakuwa na biblia wale uwezo wa kupata nakala za nyuma kabla yake

Muhamad (P.B.U.H) anakuwa ni Mtume bora kwa kuweza kupewa elimu ya vilivyopita kabla yake yeye ...Qur an imekamilisha dini na haina shaka ndani yake.

Hiyo ithibati au cheti cha ithibati ya ukamilifu na utimilifu wa kuluwan ni nani aliyeitoa?
 
Kama Mungu wenu angekuwa wa kweli basi uislamu usingesambaa ,na Muhammad (P.B.U.H) ndiye analeta mabadiliko makubwa kuliko kiumbe chochote kuwahi kutokea dunia... Takwimu zinajieleza.
Sasa kama wenu wa kweli mbona ukristo umesambaa, mudi kilaza ataleta mabadiliko gani?
 
Muhammad ndiye muanzilishi wa dini ya Uislamu, jamaa ameharibu watu kwa dini na kitabu cha kutunga kwa kuiba kutoka vyanzo hasa vya wayahudi na wakristo waasi ,Quran ni mkusanyiko wa vitabu vya Apokrifa kwa 80%
10% ni TAMADUNI za kiarabu, 10% ni mawazo ya Muhammad



Hadithi 20 Zinazopatikana Katika Qur’an na Vitabu vya Apokrifa

Kwanza nitoe utangulizi

Vitabu vya Apokrifa ni maandiko ya kale yanayohusiana na dini ya Kiyahudi na Ukristo, lakini havikujumuishwa katika Biblia rasmi kwa sababu mbalimbali. Wakristo wengi, hasa wa madhehebu ya Kiprotestanti, walivikataa kwa kuwa viliandikwa katika kipindi ambacho Mungu hakuwa akituma manabii (kipindi kinachoitwa Intertestamental Period au Silent Years – zaidi ya miaka 400 kabla ya ujio wa Yesu). Hata hivyo, baadhi ya madhehebu kama Wakatoliki na Waorthodoksi bado wanatambua baadhi ya vitabu vya Apokrifa.


Licha ya kutokubaliwa kama maandiko rasmi ya kiimani, vitabu hivi vina hadithi nyingi zinazofanana na zile zilizomo katika Qur’an, ambayo iliteremshwa karne kadhaa baadaye. Zifuatazo ni hadithi 20 zilizopo katika Qur’an na zinapatikana pia katika vitabu vya Apokrifa, pamoja na mwaka wa kushuka kwa Aya za Qur’an na mwaka wa uandishi wa vitabu vya Apokrifa.



Hizi ni baadhi ya Hadithi ambazo Muhammad alisimuliwa na wayahudi na wakristo wa apokrifa akazicgukua na unazikuta ndani ya Qur’an ,Leo


  1. Yesu (Isa) kutengeneza ndege kwa udongo na kumpa uhai
    Qur’an
    : Surah Al-Ma’idah (5:110) – Iliteremka takriban mwaka 631 CE
    Apokrifa: Infancy Gospel of Thomas (karne ya 2 CE, takriban mwaka 140 CE)
  2. Uzazi wa Bikira Mariamu (Maryam) bila kuguswa na mwanamume
    Qur’an
    : Surah Maryam (19:16-22) – Iliteremka takriban mwaka 615 CE
    Apokrifa: Protoevangelium of James (karne ya 2 CE, takriban mwaka 150 CE)
  3. Yesu kuzungumza akiwa bado mtoto mchanga
    Qur’an
    : Surah Maryam (19:29-30) – Iliteremka takriban mwaka 615 CE
    Apokrifa: Arabic Infancy Gospel (karne ya 6 CE, takriban mwaka 570 CE)
  4. Hadithi ya Mtume Idris (Henoko) kupaa mbinguni
    Qur’an
    : Surah Maryam (19:56-57) – Iliteremka takriban mwaka 615 CE
    Apokrifa: Book of Enoch (karne ya 3 BCE, takriban mwaka 300 BCE)
  5. Hadithi ya Mtume Nuhu na gharika kuu
    Qur’an
    : Surah Hud (11:36-48) – Iliteremka takriban mwaka 621 CE
    Apokrifa: Book of Jubilees (karne ya 2 BCE, takriban mwaka 150 BCE)
  6. Hadithi ya Mtume Suleiman (Solomon) na majini
    Qur’an
    : Surah An-Naml (27:17-19) – Iliteremka takriban mwaka 616 CE
    Apokrifa: Testament of Solomon (karne ya 1-3 CE, takriban mwaka 100-300 CE)
  7. Hadithi ya Kijana wa Maajabu (Ashabul Kahf – Watu wa Pangoni)
    Qur’an
    : Surah Al-Kahf (18:9-26) – Iliteremka takriban mwaka 620 CE
    Apokrifa: Seven Sleepers of Ephesus (karne ya 5 CE, takriban mwaka 450 CE)
  8. Kifo cha Nabii Zakariya na namna alivyouawa
    Qur’an
    : Surah Al-An’am (6:85) – Iliteremka takriban mwaka 621 CE
    Apokrifa: Protoevangelium of James (karne ya 2 CE, takriban mwaka 150 CE)
  9. Hadithi ya Harut na Marut – Malaika waliokuja duniani kujaribiwa
    Qur’an
    : Surah Al-Baqarah (2:102) – Iliteremka takriban mwaka 623 CE
    Apokrifa: Book of Enoch (karne ya 3 BCE, takriban mwaka 300 BCE)
  10. Malaika wakimfundisha Nabii Henoko hekima za mbinguni
    Qur’an
    : Surah Maryam (19:56-57) – Iliteremka takriban mwaka 615 CE
    Apokrifa: Book of Enoch (karne ya 3 BCE, takriban mwaka 300 BCE)
  11. Hadithi ya Dhu’l-Qarnayn (Mtawala wa Mashariki na Magharibi)
    Qur’an
    : Surah Al-Kahf (18:83-98) – Iliteremka takriban mwaka 620 CE
    Apokrifa: Alexander Romance (karne ya 3 CE, takriban mwaka 300 CE)
  12. Nabii Abraham (Ibrahim) kuvunjavunja masanamu ya mji wake
    Qur’an
    : Surah Al-Anbiya (21:51-70) – Iliteremka takriban mwaka 622 CE
    Apokrifa: Book of Jubilees (karne ya 2 BCE, takriban mwaka 150 BCE)
  13. Nabii Musa na Samiri – Mchawi aliyewapotosha Waisraeli
    Qur’an
    : Surah Taha (20:85-97) – Iliteremka takriban mwaka 621 CE
    Apokrifa: Apocalypse of Moses (karne ya 1 CE, takriban mwaka 50-100 CE)
  14. Nabii Yahya (Yohana Mbatizaji) alivyowekwa wakfu tangu utotoni
    Qur’an
    : Surah Maryam (19:12-15) – Iliteremka takriban mwaka 615 CE
    Apokrifa: Protoevangelium of James (karne ya 2 CE, takriban mwaka 150 CE)
  15. Kifo cha Kaini baada ya kumuua Abeli
    Qur’an
    : Surah Al-Ma’idah (5:27-31) – Iliteremka takriban mwaka 631 CE
    Apokrifa: Book of Jubilees (karne ya 2 BCE, takriban mwaka 150 BCE)
  16. Hadithi ya Adamu na Hawa kuanguka kutoka Peponi
    Qur’an
    : Surah Al-Baqarah (2:30-38) – Iliteremka takriban mwaka 623 CE
    Apokrifa: Apocalypse of Moses (karne ya 1 CE, takriban mwaka 50-100 CE)
  17. Nabii Lut na miji ya Sodom na Gomora
    Qur’an
    : Surah Hud (11:77-83) – Iliteremka takriban mwaka 621 CE
    Apokrifa: Book of Jubilees (karne ya 2 BCE, takriban mwaka 150 BCE)
  18. Mikaeli na Shetani wakigombania mwili wa Musa
    Qur’an
    : Haijatajwa moja kwa moja
    Apokrifa: Assumption of Moses (karne ya 1 CE, takriban mwaka 100 CE)
  19. Uzima wa Milele kwa Wateule wa Mungu
    Qur’an
    : Surah Al-Waqi’ah (56:10-40) – Iliteremka takriban mwaka 622 CE
    Apokrifa: Book of Enoch (karne ya 3 BCE, takriban mwaka 300 BCE)

Alikuwa hajui kusoma wala kuandika kiarabu chake mwenyewe lugha aliyokua akiiongea , ataanzaje kujua kusoma na kuandika lugha za jamii nyengine na mind you eneo pekee alilotembelea nje ya hijaz ni syria pekee (enzi akiwa mdogo kwenye safari za kibiashara).
 
Wewe ndiye mdanganyaji ?!!
Alipodanganywa ulikuwepo ?!!
Mtaala wa udanganyifu huo uliuandaa wewe ?!! Ha ha ha

Kama uislam ulikuwepo kabla ya mtume na kuluwan, sasa nini uliokuwa msingi wa imani hiyo ya uislam wa kabla ya mtumee na kitabu chakee
 
Sasa kama wenu wa kweli mbona ukristo umesambaa, mudi kilaza ataleta mabadiliko gani?

Soma kitabu cha mmarekani Michael hart cha most influencial people in the world Labda nikuwekee picha hapa ya summary yake kutoka wikipedia .
 

Attachments

  • Screenshot_20250329_210633_Opera.jpg
    Screenshot_20250329_210633_Opera.jpg
    207.1 KB · Views: 15
Mbona hueleweki umeandika nn?

Kutoelewa kwako, hiyo siyo shida yangu.

Kama huelewi muktadha rahisi kama huu, ndiyo utaelewa kweli kiarabu cha zamani cha kwenye kuluwan mnayo kutana nayo msikitini tuu kwa kurudia rudia maneno yale yale kwa muda wa masaa mawili mfululizo?
 
Soma kitabu cha mmarekani Michael hart cha most influencial people in the world Labda nikuwekee picha hapa ya summary yake kutoka wikipedia .
Lete summary sina muda wa kusoma kitabu ambacho hakipo kwenye mipango yangu, halafu top 10 ni ya nini hadi mudi awe juu ya Yesu Kristo?
 
Nje ya mada hivi kwann Kipenzi cha Allah alianza kuoa wake wengi baada ya Bi Khadija tajiri kufa kwann hakuoa wake wengi kipindi akiwa na Bi Hadija
 
Kama uislam ulikuwepo kabla ya mtume na kuluwan, sasa nini uliokuwa msingi wa imani hiyo ya uislam wa kabla ya mtumee na kitabu chakee

Kila mtume alikuja na hukmu na sheria zake kwa zama zake Kutaja baadhi tu waliotajwa kwenye quran na vitabu walivyokuja navyo.

1. Ibrahim (alayhi salaam) = suhuf

2. Musa (alayhi salaam) = taurat

3. Dawud (alahyi salaam)= zabur

4. Isa (alayhi salaam)= injil

5. Muhammad (swalalah alayhi wasalam) = quran

Mind you hawa ni mitume na vitabu walivyopewa vilivyobeba hukmu mbali mbali kutokana na zama walizokuwepo kuna ibada tunafanana nao na kuna nyengine ambazo sisi hatuzifanyi lakini wao walizifanya na kinyume chake.

HIvyo uislamu aliokuja nao ibrahim(alayhi salaaam) kama ungeletwa kwa sasa lazima kwa namna fulani ungekuwa tofauti na huu tulionao kwa sasa ila asilimia kubwa ya vitu vingebaki kama vilivyo mfano aqida (kuamini Mungu mmoja ) , funga, zaka, swadaqa, ndoa n.k

Na Allah (the almighty ) anajua zaidi.
 
Back
Top Bottom