Kwanini Mtume amepoteza watu hivi?

Kwanini Mtume amepoteza watu hivi?

Naona umeniandikia siasa mara ccm wakati wala havihusiani na dini.
Hakuna ushahidi kuwa Mtume alikopi kokote kule!!!
Alikop sasa yeye mtume alijuajee mambo ya mariam na alizaliwa mbele miaka 500 ivi
 
Uislamu Ulikuwepo tangu kuumbwa kwa dunia , Muhamad (P.B.U.H) ameshushiwa wahyi hakuna anajua chochote ...Hapakuwa na biblia wale uwezo wa kupata nakala za nyuma kabla yake

Muhamad (P.B.U.H) anakuwa ni Mtume bora kwa kuweza kupewa elimu ya vilivyopita kabla yake yeye ...Qur an imekamilisha dini na haina shaka ndani yake.
Mmmmmmh uongoo huuu huyuu mtu aliewaza ngono
 
Naona umeniandikia siasa mara ccm wakati wala havihusiani na dini.
Hakuna ushahidi kuwa Mtume alikopi kokote kule!!!

Nimekuwa mfano ndio maana mnatakiwa msome falsafa na theolojia ili mpate muda wa kwenda mabaki zaidi kujua kile mlichojifunza madrassa . Madrasa ni kama Nursary School .Ukijifunza hesabu Nursary school halafu unaishia hapo hutakiwa mtu mwingine zaidi ya mpumbavu na mjinga .Utajua kuhesabu mwisho ni Elfu moja na kwa sababu hujaendelea kusoma vitu vingine utaona wewe ndiye mwenye elimu kubwa na hutataka ukoselewe.

Wakatoliki wanasoma historia ya dini zote .
Seminari kiarabu ni somo .
Kwenye theolojia wanasoma mpaka elimu ya nyota mpaka dini za asili na mithology . Wakatoliki na wanajua mambo mengi sana ya dini zote unazoziona duniani lakini hua hawakashifu dini ya mtu au kuweka midahalo ya kidini hata siku moja .Wanajua wakifanya hivyo watasababisha vurugu kwani mtu mwenye PhD kama Kadinali Pengo hawezi kubishana na Mtu wa Nursary inayoitwa Madrassa ambaye amesoma kwa kukariri sio kwa kuingia Library, kusoma ,kufanya utafiti na kufanya mitihani mbalimbali na kisha kuelewa na kuwa na uwezo wa kuhoji na kuona mapungufu na mafanikio ya imani yake katika jamii. Sasa kitabu kimenichanganya sana lakini mtu anaambiwa hakuna shaka katika kitabu hicho wala hakuna mtu anaweza akakikosoa lakini hawajatujibu wasomi wakakikosoa na kuweka kwenye mitaala .
Wakrsto wa Roma wanasoma mpaka wanajenga hoja ya kuwa hakuna Mungu kisha wanajadili .Sasa utawaeweza vipi watiubkama hao wa ashindwe kuandika vijuzuu thelathini vyenye mashairi kama Albam tano za Nyombo za Diamond .

Nimekuambia tafuta Biblia ya kanisa katoliki kisha soma vitabu vya :
Tobiti
Yudithi
1 Wamakabayo
11 Wamakabayo
Hekima ya Suleiman
Hekima ya Yoshua bin sira na
Baruku
Ndani ya hivyo vitabu Utaona jinsi wayahudi walivyokua wanalazimishwa kula nyama ya nguruwe lakini walikua wanakataa na kuuawa.
Utaona jinsi Biblia ilivyokataza kabisa sanamu yoyote ile iliyochongwa au kutengenezwa na mtu yeyote hata kuiinamia .
Cha ajabu wakatoliki hao hao wananamia sanamu ya Maria na ya Yesu jambo ambalo Biblia ya kikatoliki ilekataza sana kuliko hata ile Biblia ya Kiprotestanti iliyozoeleka mitaani ambayo hata waislam nao wanayo majumbani mwao.

Kumaliza kusoma hivyo vitabu ni aya nyingi kuliko Korani nzima lakini ndani ya biblia ni vichache sana maana biblia ina vitabu vingi zaidi ya 70.
Ukimaliza hapo kasome tena vitabu vya hadithi za mtume .

Bila kusoma Thioloji huwezi kujua historia na namna dini zilivyoanishwa utabaki unasifia na kufia dini na kuambia kuwa ukikojolea korani itakua kichaa au utakufa halafu unakutana na mtoto aliyefundishwa na kuelewa kuwa vile ni vitabu kama vitabu vingine vilivyochapishwa kwenye viwanda basi ataikojolea bila kupata athari yoyote .
Kumbe ungemfundisha tu kuwe ni vibaya kukojolea kitabu chochote hata cha hesabu na kiswahili kwani vinatumika kutoa elimu ambayo ni muhimu kwa maisha ya mtu.

Hivi waarabu Korani itakuaje na elimu kubwa kuliko Biblia wakati Biblia ina elimu waisrael waliyoipata kwa Wamisri ,Wababiloni huko Mesopotamia ya kale ,Wagiriki au ,Wayunani na Warumi amani wote waliishi nao na kujifunza mila zao ,dini zao na elimu yao.
Mungu aliwapeleka huko kote kwa makusudi na mwisho kabisa akawatawanya dunia nzima na sasa wameshikilia uchumi na teknolojia ya dunia halafu mtu anasema wamelaaniwa .🤣🤣🤣🤣🤣

Soma Biblia Mkuu huko ndiko ulikoambiwa unapokosa jibu kwenye Korani basi kasome vitabu vya waliowatangulia kabla yenu utapata elimu kubwa .
Mohamad Elimu aliyopata ni ya kukariri huko Misri na kupata elimu kidogo sana tofauti na Musa . Musa alikulia Ikulu kwa Mfalme akasomeshwa kama mtoto wa mfalme akajua imani zao na siri zake kisha akarejea kwenye dini ya baba zake baada ya kugundua yeye ni Muebrania na kuwa Imani ya baba zake ndiyo sahihi .
 
Broo wewe una akili sanaa
 
Uislamu Ulikuwepo tangu kuumbwa kwa dunia , Muhamad (P.B.U.H) ameshushiwa wahyi hakuna anajua chochote ...Hapakuwa na biblia wale uwezo wa kupata nakala za nyuma kabla yake

Muhamad (P.B.U.H) anakuwa ni Mtume bora kwa kuweza kupewa elimu ya vilivyopita kabla yake yeye ...Qur an imekamilisha dini na haina shaka ndani yake.
UONGO, uongo, hiyo ni uongo bwana. Kama Uislam ulikuwepo tokea enzi na enzi then Waislamu wangekua marafiki wakubwa na Waisrael/Wayahudi. Lakini pia, calendar za Kiislamu zingeonesha mwaka halisi but guess what? Mwaka wa Kiislam to date ni 1446 wakati calendar za kawaida, hu ni mwaka 2025
 
Hata kwako ni uwongo mtupu , usilazimish kubeba ujinga wako
 
Mtume pekee aliyefanikiwa kuwahubiri malaika waasi yaani mashetani au majini hadi yakaamini ni mtume Mohamad SAW. Wengine wote walishindwa kuanzia Adamu hadi Yesu wote walishindwa (QURANI 72:1-14)
Acha uongo.
 
Hata kwako ni uwongo mtupu , usilazimish kubeba ujinga wako
Jibu hoja bro; kama uislma ungekua ulikuwepo karne na karne then:-
1. Wayahudi na Waarabu wangekua dini moja cause Uislam unawakubali manabii wote wa Kiyahudi, Ibrahim, Yakobo, Yusuf, Musa, Daudi, Suleiman, Yesu nk. Huwezi kusema hao walikua Waislamu halafu leo tena unapingana nao kivitendo.
2. Kama Uislam ungekua upo karne na karne (kwa madai ya kwamba hao manabii nilio wataja hapo No 1 walikua Waislamu ) then why mwaka wa Kiislam hadi sasa ni mwaka 1446 AD? Yaani kwa maana ya mwaka wa kawaida, huku kwetu hata ukoloni ulikua bado haujafika.

Ni uongo, tena uongo kamili kudai eti uislamu ulikiwepo karne na karne, UONGO. Uislam umeletwa na Mohammed, ndio maana huwezi kuutaja uislamu halafu ukamuondoa Mohammed, haiwezekani. Mohammed kazaliwa mwaka 525, akatokewa na lile jitu mwaka 600 AD na moja ya watu waliotakiwa kuthibitisha utume wake ni padre wa kanisa la Roman Catholic la pale pale Saudia.
 
Acha uongo kabisa , wayahudi wako simalar na uislamu kuliko ukristo , tafuta hata clip uone
 
Kwenye kula nyama ya nguruwe pekee yake ndio mnafanana. The rest hamfanani. Wao wana mwamudu Yehova, waislamu wana mwabudu Allah. Again, we ni mgeni hata humu? Ukisikia muislam anataja kafiri, ujue kafiri huyo ni Myahudi na Mkristo, so wana fananaje hao?
 
Acha ubishi, wayahudi wanasali na waislamu ila hawawezi kusali na wakristo hata siku moja .
 
Mungu fundi sana Mtume Muhammad angejua kusoma na kuandika naic dunia nzima ndio mngesema kajitungia yeye iv hizo story zote amahadithiwa halafu ye kaifadhi we unaweza kufanya ivyo

Alafu tofautisha hadith za mtume na Ktabu cha Quran mkuu Hadith za mtume hazipo kwenye msahafu
 
Muhammad ndiye muanzilishi wa dini ya Uislamu, jamaa ameharibu watu kwa dini na kitabu cha kutunga kwa kuiba kutoka vyanzo hasa vya wayahudi na wakristo waasi ,Quran ni mkusanyiko wa vitabu vya Apokrifa kwa 80%
10% ni TAMADUNI za kiarabu, 10% ni mawazo ya Muhammad

Hadithi 20 Zinazopatikana Katika Qur’an na Vitabu vya Apokrifa

Kwanza nitoe utangulizi

Vitabu vya Apokrifa ni maandiko ya kale yanayohusiana na dini ya Kiyahudi na Ukristo, lakini havikujumuishwa katika Biblia rasmi kwa sababu mbalimbali. Wakristo wengi, hasa wa madhehebu ya Kiprotestanti, walivikataa kwa kuwa viliandikwa katika kipindi ambacho Mungu hakuwa akituma manabii (kipindi kinachoitwa Intertestamental Period au Silent Years – zaidi ya miaka 400 kabla ya ujio wa Yesu). Hata hivyo, baadhi ya madhehebu kama Wakatoliki na Waorthodoksi bado wanatambua baadhi ya vitabu vya Apokrifa.

Licha ya kutokubaliwa kama maandiko rasmi ya kiimani, vitabu hivi vina hadithi nyingi zinazofanana na zile zilizomo katika Qur’an, ambayo iliteremshwa karne kadhaa baadaye. Zifuatazo ni hadithi 20 zilizopo katika Qur’an na zinapatikana pia katika vitabu vya Apokrifa, pamoja na mwaka wa kushuka kwa Aya za Qur’an na mwaka wa uandishi wa vitabu vya Apokrifa.

Hizi ni baadhi ya Hadithi ambazo Muhammad alisimuliwa na wayahudi na wakristo wa apokrifa akazicgukua na unazikuta ndani ya Qur’an ,Leo

  1. Yesu (Isa) kutengeneza ndege kwa udongo na kumpa uhai
    Qur’an
    : Surah Al-Ma’idah (5:110) – Iliteremka takriban mwaka 631 CE
    Apokrifa: Infancy Gospel of Thomas (karne ya 2 CE, takriban mwaka 140 CE)
  2. Uzazi wa Bikira Mariamu (Maryam) bila kuguswa na mwanamume
    Qur’an
    : Surah Maryam (19:16-22) – Iliteremka takriban mwaka 615 CE
    Apokrifa: Protoevangelium of James (karne ya 2 CE, takriban mwaka 150 CE)
  3. Yesu kuzungumza akiwa bado mtoto mchanga
    Qur’an
    : Surah Maryam (19:29-30) – Iliteremka takriban mwaka 615 CE
    Apokrifa: Arabic Infancy Gospel (karne ya 6 CE, takriban mwaka 570 CE)
  4. Hadithi ya Mtume Idris (Henoko) kupaa mbinguni
    Qur’an
    : Surah Maryam (19:56-57) – Iliteremka takriban mwaka 615 CE
    Apokrifa: Book of Enoch (karne ya 3 BCE, takriban mwaka 300 BCE)
  5. Hadithi ya Mtume Nuhu na gharika kuu
    Qur’an
    : Surah Hud (11:36-48) – Iliteremka takriban mwaka 621 CE
    Apokrifa: Book of Jubilees (karne ya 2 BCE, takriban mwaka 150 BCE)
  6. Hadithi ya Mtume Suleiman (Solomon) na majini
    Qur’an
    : Surah An-Naml (27:17-19) – Iliteremka takriban mwaka 616 CE
    Apokrifa: Testament of Solomon (karne ya 1-3 CE, takriban mwaka 100-300 CE)
  7. Hadithi ya Kijana wa Maajabu (Ashabul Kahf – Watu wa Pangoni)
    Qur’an
    : Surah Al-Kahf (18:9-26) – Iliteremka takriban mwaka 620 CE
    Apokrifa: Seven Sleepers of Ephesus (karne ya 5 CE, takriban mwaka 450 CE)
  8. Kifo cha Nabii Zakariya na namna alivyouawa
    Qur’an
    : Surah Al-An’am (6:85) – Iliteremka takriban mwaka 621 CE
    Apokrifa: Protoevangelium of James (karne ya 2 CE, takriban mwaka 150 CE)
  9. Hadithi ya Harut na Marut – Malaika waliokuja duniani kujaribiwa
    Qur’an
    : Surah Al-Baqarah (2:102) – Iliteremka takriban mwaka 623 CE
    Apokrifa: Book of Enoch (karne ya 3 BCE, takriban mwaka 300 BCE)
  10. Malaika wakimfundisha Nabii Henoko hekima za mbinguni
    Qur’an
    : Surah Maryam (19:56-57) – Iliteremka takriban mwaka 615 CE
    Apokrifa: Book of Enoch (karne ya 3 BCE, takriban mwaka 300 BCE)
  11. Hadithi ya Dhu’l-Qarnayn (Mtawala wa Mashariki na Magharibi)
    Qur’an
    : Surah Al-Kahf (18:83-98) – Iliteremka takriban mwaka 620 CE
    Apokrifa: Alexander Romance (karne ya 3 CE, takriban mwaka 300 CE)
  12. Nabii Abraham (Ibrahim) kuvunjavunja masanamu ya mji wake
    Qur’an
    : Surah Al-Anbiya (21:51-70) – Iliteremka takriban mwaka 622 CE
    Apokrifa: Book of Jubilees (karne ya 2 BCE, takriban mwaka 150 BCE)
  13. Nabii Musa na Samiri – Mchawi aliyewapotosha Waisraeli
    Qur’an
    : Surah Taha (20:85-97) – Iliteremka takriban mwaka 621 CE
    Apokrifa: Apocalypse of Moses (karne ya 1 CE, takriban mwaka 50-100 CE)
  14. Nabii Yahya (Yohana Mbatizaji) alivyowekwa wakfu tangu utotoni
    Qur’an
    : Surah Maryam (19:12-15) – Iliteremka takriban mwaka 615 CE
    Apokrifa: Protoevangelium of James (karne ya 2 CE, takriban mwaka 150 CE)
  15. Kifo cha Kaini baada ya kumuua Abeli
    Qur’an
    : Surah Al-Ma’idah (5:27-31) – Iliteremka takriban mwaka 631 CE
    Apokrifa: Book of Jubilees (karne ya 2 BCE, takriban mwaka 150 BCE)
  16. Hadithi ya Adamu na Hawa kuanguka kutoka Peponi
    Qur’an
    : Surah Al-Baqarah (2:30-38) – Iliteremka takriban mwaka 623 CE
    Apokrifa: Apocalypse of Moses (karne ya 1 CE, takriban mwaka 50-100 CE)
  17. Nabii Lut na miji ya Sodom na Gomora
    Qur’an
    : Surah Hud (11:77-83) – Iliteremka takriban mwaka 621 CE
    Apokrifa: Book of Jubilees (karne ya 2 BCE, takriban mwaka 150 BCE)
  18. Mikaeli na Shetani wakigombania mwili wa Musa
    Qur’an
    : Haijatajwa moja kwa moja
    Apokrifa: Assumption of Moses (karne ya 1 CE, takriban mwaka 100 CE)
  19. Uzima wa Milele kwa Wateule wa Mungu
    Qur’an
    : Surah Al-Waqi’ah (56:10-40) – Iliteremka takriban mwaka 622 CE
    Apokrifa: Book of Enoch (karne ya 3 BCE, takriban mwaka 300 BCE)
Wenyewe mnaanza Kutoa Siri Sasa kuwa Kuna vitabu vingine vimefichwa

Kazi mojawapo ya Quran ni kufichua maandiko ya Mungu ambayo makafiri waliyaficha Ili kuwapoteza watu Kwa makusudi

Mmoja wapo ni wewe uliyepotezwa na makafiri wenzako

Na nakumbusha na story nyingine sijaiona hapo

Story ya Nabii Salehe alifanya muujiza wa Kutoa Ngamia katika jiwe nabii Salehe hatokani na bani Israel hivyo habari zake hakuna katika vitabu vya wayahudi Sasa sijui na hii alisimuliwa na nani?

Pia nakupongeza Kwa kukubali kuwa habari zilizoandikwa ndani ya Quran ni za kweli ila unadai kuwa mtume alicopy na kupest

Allah alishajua kuwa Kuna kafiri kama wewe utaleta hoja kama hizo na ndio maana sifa kubwa ya mtume Muhammad ni kuwa hakujua kusoma Wala kuandika Sasa sijui alicopy na kupest vipi hilo utajua wewe
 
Back
Top Bottom