Kwanini Mtume amepoteza watu hivi?

Kwanini Mtume amepoteza watu hivi?

Dini ziko nyingi acha kukariri hizo chache uzijuazo....

Dini ni neno la kiarabu linalomaanisha NJIA....

Ama dini ni neno la asili ya kibantu ama kutoka kabila lako ?!!

Well......

Hao Makureishi atokako mtume SAW walikuwa wanamuamini Mwenyezi Mungu muumba mbingu na nchi kupitia dini ya nabii ISHMAEL....baada ya miaka mingi "Orthodox" kupungua vizazi vikaanza kuchanganya hiyo dini ya nabii ISHMAEL na tamaduni zao....mseto ukawa ndio huo aliokuta mtume Muhammad SAW...yaani Mwenyezi Mungu wa ISHMAEL na miungu wasaidizi akina LATTA ,UZZA na MANATA.....
Mimi sijakariri wewe ndo umekariri na huo uzushi Hauna mantiki maana kama Ismael ni kizazi Cha Abraham basi Mungu wa Abraham hajawahi kuwa na hao wasaidizi acheni kumzushia
 
Uislamu Ulikuwepo tangu kuumbwa kwa dunia , Muhamad (P.B.U.H) ameshushiwa wahyi hakuna anajua chochote ...Hapakuwa na biblia wale uwezo wa kupata nakala za nyuma kabla yake

Muhamad (P.B.U.H) anakuwa ni Mtume bora kwa kuweza kupewa elimu ya vilivyopita kabla yake yeye ...Qur an imekamilisha dini na haina shaka ndani yake.
Wazazi wa Mohammed walikuwa dini Gani?
 
Kama Mungu wenu angekuwa wa kweli basi uislamu usingesambaa ,na Muhammad (P.B.U.H) ndiye analeta mabadiliko makubwa kuliko kiumbe chochote kuwahi kutokea dunia... Takwimu zinajieleza.
Mbona Uislam haujasambaa duniani kwote yawezekana nayo ni dini ya uongo Cha pili hakuna mabadiriko aliyoyaleta mtume kwasababu kakuta ukristo na uyahudi na kafa kauacha
 
Uongo wa kwanza huyo Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote hayupo.

Ndiyo maana hakuna aliyethibitisha yupo.
 
Mtume pekee aliyefanikiwa kuwahubiri malaika waasi yaani mashetani au majini hadi yakaamini ni mtume Mohamad SAW. Wengine wote walishindwa kuanzia Adamu hadi Yesu wote walishindwa (QURANI 72:1-14)
Hata ungekuwa wewe ndo Mohammed umepata nafasi ya kuandika Quran lazima ungejisifia alifanikiwa kukidanganya kizazi Cha kale kuwa kashushiwa Quran lakini haijulikani imeshushwa Toka wapi na mashaidi walikuwa akina nani
 
Muhammad ndiye muanzilishi wa dini ya Uislamu, jamaa ameharibu watu kwa dini na kitabu cha kutunga kwa kuiba kutoka vyanzo hasa vya wayahudi na wakristo waasi ,Quran ni mkusanyiko wa vitabu vya Apokrifa kwa 80%
10% ni TAMADUNI za kiarabu, 10% ni mawazo ya Muhammad



Hadithi 20 Zinazopatikana Katika Qur’an na Vitabu vya Apokrifa

Kwanza nitoe utangulizi

Vitabu vya Apokrifa ni maandiko ya kale yanayohusiana na dini ya Kiyahudi na Ukristo, lakini havikujumuishwa katika Biblia rasmi kwa sababu mbalimbali. Wakristo wengi, hasa wa madhehebu ya Kiprotestanti, walivikataa kwa kuwa viliandikwa katika kipindi ambacho Mungu hakuwa akituma manabii (kipindi kinachoitwa Intertestamental Period au Silent Years – zaidi ya miaka 400 kabla ya ujio wa Yesu). Hata hivyo, baadhi ya madhehebu kama Wakatoliki na Waorthodoksi bado wanatambua baadhi ya vitabu vya Apokrifa.


Licha ya kutokubaliwa kama maandiko rasmi ya kiimani, vitabu hivi vina hadithi nyingi zinazofanana na zile zilizomo katika Qur’an, ambayo iliteremshwa karne kadhaa baadaye. Zifuatazo ni hadithi 20 zilizopo katika Qur’an na zinapatikana pia katika vitabu vya Apokrifa, pamoja na mwaka wa kushuka kwa Aya za Qur’an na mwaka wa uandishi wa vitabu vya Apokrifa.



Hizi ni baadhi ya Hadithi ambazo Muhammad alisimuliwa na wayahudi na wakristo wa apokrifa akazicgukua na unazikuta ndani ya Qur’an ,Leo


  1. Yesu (Isa) kutengeneza ndege kwa udongo na kumpa uhai
    Qur’an
    : Surah Al-Ma’idah (5:110) – Iliteremka takriban mwaka 631 CE
    Apokrifa: Infancy Gospel of Thomas (karne ya 2 CE, takriban mwaka 140 CE)
  2. Uzazi wa Bikira Mariamu (Maryam) bila kuguswa na mwanamume
    Qur’an
    : Surah Maryam (19:16-22) – Iliteremka takriban mwaka 615 CE
    Apokrifa: Protoevangelium of James (karne ya 2 CE, takriban mwaka 150 CE)
  3. Yesu kuzungumza akiwa bado mtoto mchanga
    Qur’an
    : Surah Maryam (19:29-30) – Iliteremka takriban mwaka 615 CE
    Apokrifa: Arabic Infancy Gospel (karne ya 6 CE, takriban mwaka 570 CE)
  4. Hadithi ya Mtume Idris (Henoko) kupaa mbinguni
    Qur’an
    : Surah Maryam (19:56-57) – Iliteremka takriban mwaka 615 CE
    Apokrifa: Book of Enoch (karne ya 3 BCE, takriban mwaka 300 BCE)
  5. Hadithi ya Mtume Nuhu na gharika kuu
    Qur’an
    : Surah Hud (11:36-48) – Iliteremka takriban mwaka 621 CE
    Apokrifa: Book of Jubilees (karne ya 2 BCE, takriban mwaka 150 BCE)
  6. Hadithi ya Mtume Suleiman (Solomon) na majini
    Qur’an
    : Surah An-Naml (27:17-19) – Iliteremka takriban mwaka 616 CE
    Apokrifa: Testament of Solomon (karne ya 1-3 CE, takriban mwaka 100-300 CE)
  7. Hadithi ya Kijana wa Maajabu (Ashabul Kahf – Watu wa Pangoni)
    Qur’an
    : Surah Al-Kahf (18:9-26) – Iliteremka takriban mwaka 620 CE
    Apokrifa: Seven Sleepers of Ephesus (karne ya 5 CE, takriban mwaka 450 CE)
  8. Kifo cha Nabii Zakariya na namna alivyouawa
    Qur’an
    : Surah Al-An’am (6:85) – Iliteremka takriban mwaka 621 CE
    Apokrifa: Protoevangelium of James (karne ya 2 CE, takriban mwaka 150 CE)
  9. Hadithi ya Harut na Marut – Malaika waliokuja duniani kujaribiwa
    Qur’an
    : Surah Al-Baqarah (2:102) – Iliteremka takriban mwaka 623 CE
    Apokrifa: Book of Enoch (karne ya 3 BCE, takriban mwaka 300 BCE)
  10. Malaika wakimfundisha Nabii Henoko hekima za mbinguni
    Qur’an
    : Surah Maryam (19:56-57) – Iliteremka takriban mwaka 615 CE
    Apokrifa: Book of Enoch (karne ya 3 BCE, takriban mwaka 300 BCE)
  11. Hadithi ya Dhu’l-Qarnayn (Mtawala wa Mashariki na Magharibi)
    Qur’an
    : Surah Al-Kahf (18:83-98) – Iliteremka takriban mwaka 620 CE
    Apokrifa: Alexander Romance (karne ya 3 CE, takriban mwaka 300 CE)
  12. Nabii Abraham (Ibrahim) kuvunjavunja masanamu ya mji wake
    Qur’an
    : Surah Al-Anbiya (21:51-70) – Iliteremka takriban mwaka 622 CE
    Apokrifa: Book of Jubilees (karne ya 2 BCE, takriban mwaka 150 BCE)
  13. Nabii Musa na Samiri – Mchawi aliyewapotosha Waisraeli
    Qur’an
    : Surah Taha (20:85-97) – Iliteremka takriban mwaka 621 CE
    Apokrifa: Apocalypse of Moses (karne ya 1 CE, takriban mwaka 50-100 CE)
  14. Nabii Yahya (Yohana Mbatizaji) alivyowekwa wakfu tangu utotoni
    Qur’an
    : Surah Maryam (19:12-15) – Iliteremka takriban mwaka 615 CE
    Apokrifa: Protoevangelium of James (karne ya 2 CE, takriban mwaka 150 CE)
  15. Kifo cha Kaini baada ya kumuua Abeli
    Qur’an
    : Surah Al-Ma’idah (5:27-31) – Iliteremka takriban mwaka 631 CE
    Apokrifa: Book of Jubilees (karne ya 2 BCE, takriban mwaka 150 BCE)
  16. Hadithi ya Adamu na Hawa kuanguka kutoka Peponi
    Qur’an
    : Surah Al-Baqarah (2:30-38) – Iliteremka takriban mwaka 623 CE
    Apokrifa: Apocalypse of Moses (karne ya 1 CE, takriban mwaka 50-100 CE)
  17. Nabii Lut na miji ya Sodom na Gomora
    Qur’an
    : Surah Hud (11:77-83) – Iliteremka takriban mwaka 621 CE
    Apokrifa: Book of Jubilees (karne ya 2 BCE, takriban mwaka 150 BCE)
  18. Mikaeli na Shetani wakigombania mwili wa Musa
    Qur’an
    : Haijatajwa moja kwa moja
    Apokrifa: Assumption of Moses (karne ya 1 CE, takriban mwaka 100 CE)
  19. Uzima wa Milele kwa Wateule wa Mungu
    Qur’an
    : Surah Al-Waqi’ah (56:10-40) – Iliteremka takriban mwaka 622 CE
    Apokrifa: Book of Enoch (karne ya 3 BCE, takriban mwaka 300 BCE)
Nyie makafiri mna tabu sana, hamfuatilii historia mnakuja na uzushi wenu kudanganya umma, u will burn in hell for eternity
 
Mbona Uislam haujasambaa duniani kwote yawezekana nayo ni dini ya uongo Cha pili hakuna mabadiriko aliyoyaleta mtume kwasababu kakuta ukristo na uyahudi na kafa kauacha
🤣🤣🤣Upo kote ,unqsambaa kwa kasi uliza hata kwa mzazi wako hapo.
 
Kama ni wa juzi,mbona ina ongoza duniani.
Fanya research vizuri.
Islam ni ya pili su ya tatu
Pili njia iliyotumika kueneza ya upanga ndio ilisaidia,ingeenezwa kwa hiari isingefika popote.
Tatu shetani ana wafuasi wengi sana,akina zuchu,diamond wote ni waislam jina,uislam ni dini nzuri ila waislam wengi wa bara hawaelewi kinachofundishwa.
Ukienda segetea asilimua 80 ya wafungwa ni waislam.
Uislam ni mchanganyiko wa dini ya kiyaudi na ushirikina
Sheikh yahya kwa aliyokuwa skiyafanya ni kinyume na mafundisho ya kiislam
 
🤣🤣🤣Upo kote ,unqsambaa kwa kasi uliza hata kwa mzazi wako hapo.
Unachekesha kweli uislam ndo dini pekee inayotumia mabavu kujilinda na sio hoja ndo maana ndo maana huko unakuosambaa jamii na Iman za huko zimeruhusu kwasababu Wana jua mungu wanayemuabudu ila Sasa Kwa waislam mtu akibadili dini ni vitisho kwakuwa hamna hoja
 
Mtume pekee aliyefanikiwa kuwahubiri malaika waasi yaani mashetani au majini hadi yakaamini ni mtume Mohamad SAW. Wengine wote walishindwa kuanzia Adamu hadi Yesu wote walishindwa (QURANI 72:1-14)
Ndio maana Kuna uhusiano wa Moja kwa Moja wa majini/mashetani na uislam.

Bible inasema shetani/nyoka utamponda kichwa. Wewe unamwendea kwa appeasing.
 
Ukristo na uislam zote zinaitwa Dini za Ibrahim
1.Mussa alileta tourati
2.Daudi alileta Zaburi
3.Issa bin Mariam alileta Injili
4.Muhamad alileta Quoran

Issa alileta Injili ila hakuleta ukristo
Muhamad alileta Quoran hakuleta uislam
Muelewe hilo sisi binadamu ndio tulikaa sasa tukaona tuseme Yesu kaleta Ukristo mfano mzuri
Huwezi kuanzisha chama cha siasa bila kukipa jina
Hali kadhalika Muhamad MUNGU alimteremshia aya za Quoran ndio sasa kukaja neno Islam yaani amani ndio maana ikaitwa Uislam.
Hivyo vitabu nilivyotaja vinne hapo juu kwa hizo namba 1 na 2 sio mali ya wakristo au Waislam ni ya wote
Tofauti ya hizi dini ilianzia kwa Ibrahim na wakeze Sara na Hajira yule mjakazi
Lakini wote hawa ni ndugu moja.
Agano la kale sio mali ya wakristo peke yake mjue hilo bali agano jipya
MUNGU alimtuma Issa bin Mariam kuongoa watu kupitia Injili baada ya kusulubiwa ikapita miaka 570 ndio MUNGU akamtuma Muhamad.Na ndio maana chunguza sana kalenda ya Gregory ukitoa 570 unapata mwaka wa kiislam
 
1. Kabla ya tukio la pango la Hira Muhamad alikuwa akiabudu mungu yupi?
2. Baba na mama wa Muhamad walikuwa dini gani?
3. Ni wapi Allah amejitabulisha kwa Muhamad kwamba yeye ni Mungu?
4. Kwa nini Waislam wanafanya waliyokuwa wakifanya wapagani wanapo kwenda hija Makkah?
Uzuri Quran ipo wazi na ina majibu yote... anza na hii Quran 93 :6-7 kisha malizia na hii Quran 42:52
 
Kaa usome sio chuki ,ujinga unalazimisha niamini upumbavu wako . Unaweza kupita kushoto.
Hujui hata hustoria ya huo upagani wenu ulioboreshwa na mudi ulianza lini? Kwa kukusaidia ulianza 670 AD
 
Unachekesha kweli uislam ndo dini pekee inayotumia mabavu kujilinda na sio hoja ndo maana ndo maana huko unakuosambaa jamii na Iman za huko zimeruhusu kwasababu Wana jua mungu wanayemuabudu ila Sasa Kwa waislam mtu akibadili dini ni vitisho kwakuwa hamna hoja
🤣🤣Sio dini ya wanyonge ...The fastest growing religion in the world so far.
 
Back
Top Bottom