Tanganian
JF-Expert Member
- Jan 27, 2025
- 5,087
- 8,804
Kasome surah inaitwa Iqra!Ni nani aliyempa Elimu mtume Mohammad?
Kasome surah inaitwa Iqra!Ni nani aliyempa Elimu mtume Mohammad?
,😀😀😀😀😀😀Ina maaa huyu mtume wetu ni tapeli?
Kama tumepigwa mnatusaidia vipi?
Kila mtume alikuja na hukmu na sheria zake kwa zama zake Kutaja baadhi tu waliotajwa kwenye quran na vitabu walivyokuja navyo.
1. Ibrahim (alayhi salaam) = suhuf
2. Musa (alayhi salaam) = taurat
3. Dawud (alahyi salaam)= zabur
4. Isa (alayhi salaam)= injil
5. Muhammad (swalalah alayhi wasalam) = quran
Mind you hawa ni mitume na vitabu walivyopewa vilivyobeba hukmu mbali mbali kutokana na zama walizokuwepo kuna ibada tunafanana nao na kuna nyengine ambazo sisi hatuzifanyi lakini wao walizifanya na kinyume chake.
HIvyo uislamu aliokuja nao ibrahim(alayhi salaaam) kama ungeletwa kwa sasa lazima kwa namna fulani ungekuwa tofauti na huu tulionao kwa sasa ila asilimia kubwa ya vitu vingebaki kama vilivyo mfano aqida (kuamini Mungu mmoja ) , funga, zaka, swadaqa, ndoa n.k
Na Allah (the almighty ) anajua zaidi.
Mbona haujajibu hayo maswali? Then unakimbilia hoja?Swali hili la kutumia akili kama kweli ni mzima kichwani ...Simple imeumbwa na Mungu mkuu...Kama una ushahidi baki lete hoja na mimi nilete hoja.
Nimejibu maswali yote nimejibu .Mbona haujajibu hayo maswali? Then unakimbilia hoja?
Mbona hujasema Qur'an ,imekataa kama Yesu,hakusulubiwa wala kuuliwa.Ni Aprotik ipi hiyo.Muhammad ndiye muanzilishi wa dini ya Uislamu, jamaa ameharibu watu kwa dini na kitabu cha kutunga kwa kuiba kutoka vyanzo hasa vya wayahudi na wakristo waasi ,Quran ni mkusanyiko wa vitabu vya Apokrifa kwa 80%
10% ni TAMADUNI za kiarabu, 10% ni mawazo ya Muhammad
Hadithi 20 Zinazopatikana Katika Qur’an na Vitabu vya Apokrifa
Kwanza nitoe utangulizi
Vitabu vya Apokrifa ni maandiko ya kale yanayohusiana na dini ya Kiyahudi na Ukristo, lakini havikujumuishwa katika Biblia rasmi kwa sababu mbalimbali. Wakristo wengi, hasa wa madhehebu ya Kiprotestanti, walivikataa kwa kuwa viliandikwa katika kipindi ambacho Mungu hakuwa akituma manabii (kipindi kinachoitwa Intertestamental Period au Silent Years – zaidi ya miaka 400 kabla ya ujio wa Yesu). Hata hivyo, baadhi ya madhehebu kama Wakatoliki na Waorthodoksi bado wanatambua baadhi ya vitabu vya Apokrifa.
Licha ya kutokubaliwa kama maandiko rasmi ya kiimani, vitabu hivi vina hadithi nyingi zinazofanana na zile zilizomo katika Qur’an, ambayo iliteremshwa karne kadhaa baadaye. Zifuatazo ni hadithi 20 zilizopo katika Qur’an na zinapatikana pia katika vitabu vya Apokrifa, pamoja na mwaka wa kushuka kwa Aya za Qur’an na mwaka wa uandishi wa vitabu vya Apokrifa.
Hizi ni baadhi ya Hadithi ambazo Muhammad alisimuliwa na wayahudi na wakristo wa apokrifa akazicgukua na unazikuta ndani ya Qur’an ,Leo
- Yesu (Isa) kutengeneza ndege kwa udongo na kumpa uhai
Qur’an: Surah Al-Ma’idah (5:110) – Iliteremka takriban mwaka 631 CE
Apokrifa: Infancy Gospel of Thomas (karne ya 2 CE, takriban mwaka 140 CE)- Uzazi wa Bikira Mariamu (Maryam) bila kuguswa na mwanamume
Qur’an: Surah Maryam (19:16-22) – Iliteremka takriban mwaka 615 CE
Apokrifa: Protoevangelium of James (karne ya 2 CE, takriban mwaka 150 CE)- Yesu kuzungumza akiwa bado mtoto mchanga
Qur’an: Surah Maryam (19:29-30) – Iliteremka takriban mwaka 615 CE
Apokrifa: Arabic Infancy Gospel (karne ya 6 CE, takriban mwaka 570 CE)- Hadithi ya Mtume Idris (Henoko) kupaa mbinguni
Qur’an: Surah Maryam (19:56-57) – Iliteremka takriban mwaka 615 CE
Apokrifa: Book of Enoch (karne ya 3 BCE, takriban mwaka 300 BCE)- Hadithi ya Mtume Nuhu na gharika kuu
Qur’an: Surah Hud (11:36-48) – Iliteremka takriban mwaka 621 CE
Apokrifa: Book of Jubilees (karne ya 2 BCE, takriban mwaka 150 BCE)- Hadithi ya Mtume Suleiman (Solomon) na majini
Qur’an: Surah An-Naml (27:17-19) – Iliteremka takriban mwaka 616 CE
Apokrifa: Testament of Solomon (karne ya 1-3 CE, takriban mwaka 100-300 CE)- Hadithi ya Kijana wa Maajabu (Ashabul Kahf – Watu wa Pangoni)
Qur’an: Surah Al-Kahf (18:9-26) – Iliteremka takriban mwaka 620 CE
Apokrifa: Seven Sleepers of Ephesus (karne ya 5 CE, takriban mwaka 450 CE)- Kifo cha Nabii Zakariya na namna alivyouawa
Qur’an: Surah Al-An’am (6:85) – Iliteremka takriban mwaka 621 CE
Apokrifa: Protoevangelium of James (karne ya 2 CE, takriban mwaka 150 CE)- Hadithi ya Harut na Marut – Malaika waliokuja duniani kujaribiwa
Qur’an: Surah Al-Baqarah (2:102) – Iliteremka takriban mwaka 623 CE
Apokrifa: Book of Enoch (karne ya 3 BCE, takriban mwaka 300 BCE)- Malaika wakimfundisha Nabii Henoko hekima za mbinguni
Qur’an: Surah Maryam (19:56-57) – Iliteremka takriban mwaka 615 CE
Apokrifa: Book of Enoch (karne ya 3 BCE, takriban mwaka 300 BCE)- Hadithi ya Dhu’l-Qarnayn (Mtawala wa Mashariki na Magharibi)
Qur’an: Surah Al-Kahf (18:83-98) – Iliteremka takriban mwaka 620 CE
Apokrifa: Alexander Romance (karne ya 3 CE, takriban mwaka 300 CE)- Nabii Abraham (Ibrahim) kuvunjavunja masanamu ya mji wake
Qur’an: Surah Al-Anbiya (21:51-70) – Iliteremka takriban mwaka 622 CE
Apokrifa: Book of Jubilees (karne ya 2 BCE, takriban mwaka 150 BCE)- Nabii Musa na Samiri – Mchawi aliyewapotosha Waisraeli
Qur’an: Surah Taha (20:85-97) – Iliteremka takriban mwaka 621 CE
Apokrifa: Apocalypse of Moses (karne ya 1 CE, takriban mwaka 50-100 CE)- Nabii Yahya (Yohana Mbatizaji) alivyowekwa wakfu tangu utotoni
Qur’an: Surah Maryam (19:12-15) – Iliteremka takriban mwaka 615 CE
Apokrifa: Protoevangelium of James (karne ya 2 CE, takriban mwaka 150 CE)- Kifo cha Kaini baada ya kumuua Abeli
Qur’an: Surah Al-Ma’idah (5:27-31) – Iliteremka takriban mwaka 631 CE
Apokrifa: Book of Jubilees (karne ya 2 BCE, takriban mwaka 150 BCE)- Hadithi ya Adamu na Hawa kuanguka kutoka Peponi
Qur’an: Surah Al-Baqarah (2:30-38) – Iliteremka takriban mwaka 623 CE
Apokrifa: Apocalypse of Moses (karne ya 1 CE, takriban mwaka 50-100 CE)- Nabii Lut na miji ya Sodom na Gomora
Qur’an: Surah Hud (11:77-83) – Iliteremka takriban mwaka 621 CE
Apokrifa: Book of Jubilees (karne ya 2 BCE, takriban mwaka 150 BCE)- Mikaeli na Shetani wakigombania mwili wa Musa
Qur’an: Haijatajwa moja kwa moja
Apokrifa: Assumption of Moses (karne ya 1 CE, takriban mwaka 100 CE)- Uzima wa Milele kwa Wateule wa Mungu
Qur’an: Surah Al-Waqi’ah (56:10-40) – Iliteremka takriban mwaka 622 CE
Apokrifa: Book of Enoch (karne ya 3 BCE, takriban mwaka 300 BCE)
Unejibu kwenye post namba ngapi nikayasomeNimejibu maswali yote nimejibu .
Umemaliza mjadala.Umeelezea vizuri kabisa.Maswali yote hayana mantiki kwa sababu ,Mtumw alivumbuliwa miongoni mwa makabila ya waarabu ,enzi ya ujahili ( ujinga yaani kukosa elimu) ...Mtume alipata utume akiwa Mkubwa na ilishatabiriwa ndiyo maana hata alipotokq sehemu kwenda nyingine alipokelewa kwa vile taarifa zilishafika .
Alipingww vikali na watu wa karibu yake , mmoja wapo ni mjomba wake Abuu lahab(baba wa moto ) sio jina lake halisi.
Elimu kuhusu Zama ambazo kazaliwa mtume ,mbona issah na Daudi au Mussa hawakuwa zama moja?
Enzi za ujahili hata wazazi wake walikuwa majahili ,kumbuka uislamu hauwezi kuhukumu mtu mpaka ujumbe wa Mungu uwafikie ,wametumwa mitume ili kufika ujumbe .
Ukisoma tu suratul Iqra basi 🤣🤣inajitosheleza na Qur an nzima Mungu amejitambulisha ..Utaona kuna maneno '' Mungu anaseme'' yapo mengine mbalimbali .
Hija pale Meccah ndiyo uthibitisho kwamba uislamu Ulikuwepo ,rejea jeshi la ndovu lilitoka kuvunja kaaba ,mali ile iliachwa na manabii waliopita ambao ni Waislamu... Katika zama zile walikosa elimu (ujahili) basi wakawa wanatumi lile eneo kufanya ushirikina yaani kulikuwa na masanamu ...Ila Mtume alipewa wahyi wa kwenda kufanya hija na ile sehemu ni mali ya waislamu ... Mwishoe yale masanamu yaliondolewa na mila zote zikaondok mji ule ni wa waislamu kutoka na Kaabah .
Huu ndio ukweli.Kama Mungu wenu angekuwa wa kweli basi uislamu usingesambaa ,na Muhammad (P.B.U.H) ndiye analeta mabadiliko makubwa kuliko kiumbe chochote kuwahi kutokea dunia... Takwimu zinajieleza.
Mti wenye matunda ndio unapigwa mawe.Uislamu ndio mti wenye matunda.Mti wenye nyoka kila siku lazima upopolewe na mawe
Pole sana kwa kulishwa matango mwitu.Uislamu Ulikuwepo tangu kuumbwa kwa dunia , Muhamad (P.B.U.H) ameshushiwa wahyi hakuna anajua chochote ...Hapakuwa na biblia wale uwezo wa kupata nakala za nyuma kabla yake
Muhamad (P.B.U.H) anakuwa ni Mtume bora kwa kuweza kupewa elimu ya vilivyopita kabla yake yeye ...Qur an imekamilisha dini na haina shaka ndani yake.
Huu ndio ukweli,umeelezea vizuri,watajifanya hawajakuelewa.Lakini mtume si alileta wongofu ,wanaoweza kuadhibiwa na wale tu waliokaidi ujumbe ulioletwa na mitume na ukawafiki...Kuanzia Mtume alipotata utume basi ilikuwa zama mpya za wongofu.
Kama ujumbe haujakufukia hauwezi kuadhibiwa kwa kitu usichokijua..
Surah Al-Israa (17:15):
"Mwenye kuongoka basi anaongoka kwa faida ya nafsi yake. Na mwenye kupotea basi anapotea kwa hasara ya nafsi yake. Wala habebi mbebaji mzigo wa mwengine. Nasi hatukuwa wenye kuadhibu mpaka tumpeleke Mtume."
Wongofu unaanza mpaka apelekwe mtume kabla ya hapo ni ujahili(uncivilized)
Pole kwa kulishwa matapishi ,jahili mkubwa!Pole sana kwa kulishwa matango mwitu.
Akikujibu niite.Hana jibu.Sawa.....
Vitabu vya APOKRIFA vilijulikana na WASOMI na WANAFALSAFA walioizunguka dunia na kujifunza haswa.....
Ni wapi huko mtume Muhammad SAW alipata KUSOMA na KUJUA kuandika ?!!
Kama unavijua vyema vitabu vya APOKRIFA basi hushindwi kuwajua walimu wa dini na falsafa wa mtume Muhammad SAW...haya niorodheshee majina ya hao walimu na wakufunzi wake......
Ushuzi mtupu, hivi unajua hats umeandika nini kobazi weweUislamu Ulikuwepo tangu kuumbwa kwa dunia , Muhamad (P.B.U.H) ameshushiwa wahyi hakuna anajua chochote ...Hapakuwa na biblia wale uwezo wa kupata nakala za nyuma kabla yake
Muhamad (P.B.U.H) anakuwa ni Mtume bora kwa kuweza kupewa elimu ya vilivyopita kabla yake yeye ...Qur an imekamilisha dini na haina shaka ndani yake.
Miti mingine inapigwa mawe ili kumpiga nyoka aliyejificha huko akisubiri kuleta madhara wa wanadamuMti wenye matunda ndio unapigwa mawe.Uislamu ndio mti wenye matunda
Acha kukaa kwenye vijiwe vya pombe za kienyeji,ukadanganywa na kudanganyikaIna maaa huyu mtume wetu ni tapeli?
Kama tumepigwa mnatusaidia vipi?
Hakuna nyoka anayepigwa mawe akiwa juu ya mti.Mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe.Miti mingine inapigwa mawe ili kumpiga nyoka aliyejificha huko akisubiri kuleta madhara wa wanadamu