Kwanini msafara wa Rais huwa una speed kubwa?

Kwanini msafara wa Rais huwa una speed kubwa?

hata mimi huwa najiuliza. Sielewi rais anakuwaje salama kwa kumkimbiza kwa spidi kali namna hii. Nina hakika msafara wake husafiri kwa mwendo wa si chini ya kilomita 140 kwa saa. Ni hatari kwa magari mengi yanayofuatana kwa karibu kwenda mwendo kama huu.
professional drivers can driver cars at any speed
 
Niliongea na usalama wa taifa fulani,akasema ni njia moja wapo ya kiusalama,coz rais yuko answerable kwa watu wengi sana,so ikitokea amejeruhiwa au kuuawa iyo ni insu mkuu,angalia nchi kama ya Rwanda iliingia kwenye machafuko ile miaka ya 94,sababu mojawapo ilikua kuuwawa kwa rais,I stand to be corrected......!
 
Rais ndie baba wa ila rai. Ni mojawapo ya usalama coz hapendeki na wote lazma wata
 
Uendeshaji wa viongozi unayo elimu yake kulingana na ngazi ya kiongozi unayemuendesha kama pale chuo cha usafirishaji(n.i.t) wanafundisha na marais wengi wa afrika wamepata madereva toka pale tukumbuke pia barabara nayo huwa tupu kabisa hivyo kwanini aende polepole wakati watu wamesimamishwa wanasubiri rais apite. Nadhani hayo kwa leo inatosha.

Hizo ni mbwembwe za kuonyesha kuwa dola ipo!Nadhani ninyi ni mashahidi,msafara ukipita wakati watu mmesimamishwa kwa zaidi ya saa 1,ule mkwara wa spidi na vingora vintosha kukusisimua kuwa usichezee dola!
 
aya sasa majibu umepewa sijui yatamsaidia nini mwanafunzi wako, utupe feedback ya alichoelewa huyo mwanafunzi.
 
Sababu kubwa ni usalama japo kwangu huwa naona spidi yenyewe inaweza kuleta balaa kubwa ikiwa mtaka kufanya ibsya akaamua kuitumia kufanya tukio
 
Wana jamvi naomba kueeweshwa katika hili, kwa nini msafara wa Rais huwa una speed kubwa sana.? Je ni sheria gani y usalama barabaran inayoruhusu hilo.? Kwa nini katikati miji or penye makaz ya watu wasiwe wanapunguza speed.?? Naombeni msaada wenu wa mawazo

speed ake c kubwa Sanaa coz nilishawahivkuwa ktk moja ya magari ya msafara nikashangaa range rover almanusura itukate but defenders zikampa warning haitakiwi....speed ya 140-160 Nikawaida kwa msafara wake ilaa ni speed ya kiongozi....ila madereva vichaa wapo speed 180-230 hawaogopiii TOCHI,TRAFFIC WALA BARRIERS
 
Wanaogopa kuvamiwa tho kuna wengine waliuwawa japo walikuwa kwenye msafara R.I.P Edward Moringe
 
Back
Top Bottom