Tony Gwanco
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 5,913
- 1,218
Wana jamvi naomba kueeweshwa katika hili, kwa nini msafara wa Rais huwa una speed kubwa sana.? Je ni sheria gani y usalama barabaran inayoruhusu hilo.? Kwa nini katikati miji or penye makaz ya watu wasiwe wanapunguza speed.?? Naombeni msaada wenu wa mawazo
me huwa napenda niukutane naye njiunge kwenye msafara poster dakika tatu