Eswa
JF-Expert Member
- Dec 14, 2012
- 296
- 824
Wana jamvi naomba kueeweshwa katika hili, kwa nini msafara wa Rais huwa una speed kubwa sana.? Je ni sheria gani y usalama barabaran inayoruhusu hilo.? Kwa nini katikati miji or penye makaz ya watu wasiwe wanapunguza speed.?? Naombeni msaada wenu wa mawazo