Kwanini Mpendazoe hakupewa mafao Zitto apewe?

Zito wewe ni mwanasiasa talented na smart sana,naamini haya yote unazushiwa tu kwa sababu ya wivu coz mti wenye matunda ndo upigwao mawe,Tunataka ukombozi na ukombozi wa ukweli ni kufuata misingi ya uasisi wa taifa letu kama ACT inavyosema.Tuna imani na wewe tuna imani na ACT pia.
wachawi huwa ndio waliaji wakubwa misibani,zitto is no exception...muulize kilichomsibu kikwete alipomteua kamati ya madini...alianza kumiliki hammer na vogue....mzalendo my ass.
 
jinga kabisa,you are blinded.Muulize zitto wako lini mjamaa nyerere aliwahi kumliki hammer na vogue?!!!! eti mzalendo.

Hilo Hammer na hilo Vogue nionesheni basi jamani. Maana mnayasema kila siku lakini hamuyaoneshi. Yapo wapi? Yameegeshwa wapi? Hayatembei? Namba za usajili ni zipi?
Acheni kulishwa propaganda. Mtu mzima akikwambia uzushi na wewe ukaamini ilhali unajua huna ushahidi na ni uzushi anakudharau.
Leteni santuri mpya basi hizi za Hammer zimechuja. Nawasihi malumbano ya mambo ya kijinga hayatusaidii. Twendeni tukajenge nchi kwa hoja
 
Zitto ni ccm lazima apewe, mshiko alikua anapokea kusalit chadema bado anao, anaongezewa mafao na pia bado mihela ya kukuza act: zitto ana akili sana anakula kote kote ndo mjin hapa, kala cdm, ccm na sasa act nyi mnapiga key board tu hapa zitto hongera role model wangu pesa ndo kila kitu kiume
 
Zitto piga ela kaka hata cuf ukiweza waingiza piga ela mengi ana mihela mwambie akukatie mshiko umjengee jungu la uraia rostam we piga ela habar ya mjin , we unapiga ela kwa akili si ka ma tibaijuka piga mihela mkuu nchi haielewek hii
 
Wanakulipa sh.ngapi? Hao maboss wako Babu Silaha & Dj Mbooowe ili umchafue ZZK?
 
Hilo Hammer na hilo Vogue nionesheni basi jamani. Maana mnayasema kila siku lakini hamuyaoneshi. Yapo wapi? Yameegeshwa wapi? Hayatembei? Namba za usajili ni zipi?
Acheni kulishwa propaganda. Mtu mzima akikwambia uzushi na wewe ukaamini ilhali unajua huna ushahidi na ni uzushi anakudharau.
Leteni santuri mpya basi hizi za Hammer zimechuja. Nawasihi malumbano ya mambo ya kijinga hayatusaidii. Twendeni tukajenge nchi kwa hoja
mimi kitu kimoja nachokijua ni kwamba hili swala lenu la ujamaa ni kama utapeli wa kisiasa mnataka kufanya mjamaa gani mkitaka kuongea na waandishi wa habari mpaka muende Serena hotel. ni ujamaa upi mnauzungumzia. hv kama msando kweli unaweza kumuita mjamaa mimi msando ninaemjua nje ndani awe mjamaa yule mtu acheni kuwaona Watz mabwege bana. mmekitangaza sana Chama chenu na mmealika watu mbali mbali kutoka ndani na nje ya nchi mnaweza kutuambia mmepata wapi hela zote hizo wajamaa wetu.
 
Mdogo wangu Zitto, kama kun siku umenena leo umenena, na ninakuomba utekeleze kwa vitendo. kazi tuliyo nayo sisi kama wapinzani nikuiondoa CCM madarakani lakini kama kutakuwana mpinzani anayetaka kukiondoa chama cha upinzani, huyo ni mwenza wazimu kabisa. Ili kuonyesha ukomavu wa kisiasa huna sababu yakuwashawishi viongozi wa UKAWA kujiunga na ACT TANZANIA . kwa vyovyote vile nilazima kutatokea mvutano. Ninakutakia kila laheri, waswahili wanasema ukimwacha mke usimzungumzie kwa mabaya kwani kukufanya hivyo unaonyesha kuwa ulishawishiwa kumuacha haikuwa ridhaa yako. sasa kupoove hilo piga kazi tumsake nyoka ccm. mwisho nakushauri ungana na UKAWA. kwakufanya hivyo hakuna atakaye kushambulia kutoka UKAWA. ni mimi MASEETO WA CHADEMA DAMUDAMU
 
Inadaiwa Zitto alitaka ajiunge na ACT-Kigoma tangu mwaka jana mwezi wa 9,na huu ndo unaweza ukawa mwezi ambao Zzk alichukua kadi ya chama chake that y ukitazama kwenye picha kadi yake unaonekana si mpya kabisa.

Nikirudi kwenye hoja ya msingi inadaiwa Zzk alishauriwa na spika wa Bunge mama Anna Makinda kwamba akiachana na CHADEMA na kujiunga na chama alichokiasisi cha ACT-Kigoma,asingepata stahiki zake kibunge,akashauriwa kwamba anaweza kufikia maamuzi hayo ikiwa imebakia miezi 3-4 kabla ya bunge halijavunjwa yaani mwezi wa 7,that y Zzk aliufyata mpaka hapo juzi baada ya kuahikikishiwa kulipwa mafao yake yote ya kibunge,ndo akasepa,(hapa alijari tumbo lake zaidi).

Na hii pia itaihusu familia ya Komba ,watalipwa stahiki zote ambazo marehemu kapten Komba(R.I.P)angelipwa kama angefika mwezi wa 7 bunge litakapovunjwa.

Bt kwa Mpendazoe sijui ni lini aliacha kiti chake bt pia kujiunga kwake na CDM kulimkosti,Zzk ni kibaraka wao,that y wanambeba,shetani hawezi watupa mawakala wao.

Wewe chuki yako binafsi na Zitto inakufanya unakosa hata umakini na kuandika habari za kufikirika. Kama huna uakika na jambo si ukae kimya! Mleta mada amemnukuu Zitto akisema kuwa Mpendazoe alilipwa na inaweza kuthibitishwa lakini wewe unasema kujiunga na CDM kuli mu cost!

Acha ubabaishaji na kujivunjia heshima, kama ungekuwa mtu makini ungenukuu kanuni za bunge zinasemaje kuhusu mbunge kulipwa mafao iwapo ataacha ubunge kabla ya muda na siyo kuleta hapa story za kusikia kwenye vijiwe vya kahawa!
 
Simple!! Mpendazoe alikuwa anaadhibiwa kwa kujiuzulu ubunge wa chama tawala na kukiaibisha chama kwa kujiunga na wapinzani. Zitto kwa upande wake anapongezwa kwa kujitoa kwenye chama kikuu cha upinzani na hivyo kudhoofisha upinzani nchini.
 
Hilo Hammer na hilo Vogue nionesheni basi jamani. Maana mnayasema kila siku lakini hamuyaoneshi. Yapo wapi? Yameegeshwa wapi? Hayatembei? Namba za usajili ni zipi?
Acheni kulishwa propaganda. Mtu mzima akikwambia uzushi na wewe ukaamini ilhali unajua huna ushahidi na ni uzushi anakudharau.
Leteni santuri mpya basi hizi za Hammer zimechuja. Nawasihi malumbano ya mambo ya kijinga hayatusaidii. Twendeni tukajenge nchi kwa hoja
wajinga hawaelewi,wapuuze tu,kama tunavyopuuza
 
Hilo Hammer na hilo Vogue nionesheni basi jamani. Maana mnayasema kila siku lakini hamuyaoneshi. Yapo wapi? Yameegeshwa wapi? Hayatembei? Namba za usajili ni zipi?
Acheni kulishwa propaganda. Mtu mzima akikwambia uzushi na wewe ukaamini ilhali unajua huna ushahidi na ni uzushi anakudharau.
Leteni santuri mpya basi hizi za Hammer zimechuja. Nawasihi malumbano ya mambo ya kijinga hayatusaidii. Twendeni tukajenge nchi kwa hoja
Haya mmeambiwa leteni ushahidi
Hahaha vijana wa Bavicha naona leo mmekutana na kisiki na kila siku huwa nawambia mnachuki kwa sababu hamjui ukweli...leteni ushahidi hapa..... Naona Bavicha mna funzwa siasa safi..hakika Zitto ni mwalimu wenu...

cc masai dada
 
Last edited by a moderator:
Hilo Hammer na hilo Vogue nionesheni basi jamani. Maana mnayasema kila siku lakini hamuyaoneshi. Yapo wapi? Yameegeshwa wapi? Hayatembei? Namba za usajili ni zipi?
Acheni kulishwa propaganda. Mtu mzima akikwambia uzushi na wewe ukaamini ilhali unajua huna ushahidi na ni uzushi anakudharau.
Leteni santuri mpya basi hizi za Hammer zimechuja. Nawasihi malumbano ya mambo ya kijinga hayatusaidii. Twendeni tukajenge nchi kwa hoja

.....Msiamini maneno ya wanasiasa...., hilo gari nilipewa zawadi/ nunuliwa na rafiki zangu....., nionyesheni hilo gari liko wapi......!?!?!

Mimi nasema hivi ikiwa kweli umesaliti mageuzi kwasababu yeyote ile, ilihali ukijua fika hata wewe kwa wakati fulani uliishi maisha magumu yasiyokuwa na matumaini mpaka mageuzi yakakubadilishia history...... Mungu mwenyewe ajuaye mambo ya sirini akuhukumu!

What will it profit a man if he gains the whole world and loses his life/personality?
 
Simple!! Mpendazoe alikuwa anaadhibiwa kwa kujiuzulu ubunge wa chama tawala na kukiaibisha chama kwa kujiunga na wapinzani. Zitto kwa upande wake anapongezwa kwa kujitoa kwenye chama kikuu cha upinzani na hivyo kudhoofisha upinzani nchini.

Mkuu acha kutudanganya...leta ushahidi hapa wakutolipwa....! tumesha ambiwa amelipwa.
 
.....Msiamini maneno ya wanasiasa...., hilo gari nilipewa zawadi/ nunuliwa na rafiki zangu....., nionyesheni hilo gari liko wapi......!?!?!

Mimi nasema hivi ikiwa kweli umesaliti mageuzi kwasababu yeyote ile, ilihali ukijua fika hata wewe kwa wakati fulani uliishi maisha magumu yasiyokuwa na matumaini mpaka mageuzi yakakubadilishia history...... Mungu mwenyewe ajuaye mambo ya sirini akuhukumu!

What will it profit a man if he gains the whole world and loses his life/personality?

Mkuu naona dawa imekuingia...huyu ndio mwalimu wa siasa safi..
 
Zitto acha unafki... eti sula la pesa sio la msingi kwenye maamuzi yako, unahisi unamdanganya nani? wale jamaa wa usalama walikua wanakutumia bila malipo? stori kama hizi wapelekee mwandiga!

Teh Teh unaleta story za vijiweni...hahaha
 
Last edited by a moderator:
Hilo Hammer na hilo Vogue nionesheni basi jamani. Maana mnayasema kila siku lakini hamuyaoneshi. Yapo wapi? Yameegeshwa wapi? Hayatembei? Namba za usajili ni zipi?
Acheni kulishwa propaganda. Mtu mzima akikwambia uzushi na wewe ukaamini ilhali unajua huna ushahidi na ni uzushi anakudharau.
Leteni santuri mpya basi hizi za Hammer zimechuja. Nawasihi malumbano ya mambo ya kijinga hayatusaidii. Twendeni tukajenge nchi kwa hoja
ngoja tukuletee ushahidi hapa msaliti mkubwa wee.acha kutapeli watu kwa kujiita mjamaa.mjamaa gani anafanyia mikutano Serena Hotel?uliuza majimbo ya chadema unajifanya una mapenzi na chama,umewauza mpaka wapiga kura wako kwa ccm na kukimbilia kigoma mjini.je umekuwa wa mwisho kutoka chadema?
 
Mkuu naona dawa imekuingia...huyu ndio mwalimu wa siasa safi..

Kumbe? Hebu itafute post yenye utetezi wake mwenyewe kuhusu gari hilo hapahapa JF then uje hapa unifafanulie hiyo siasa safi......

Anayemdhulumu masikini anamdhulumu Mungu mwenyewe, kama aishivyo huyo Mungu basi uelewe kwamba hata nyamaza kimya atajibu tena kwa moto!
 
Back
Top Bottom